Namzimia mume wa jirani

Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

umenikumbusha kuna dada mmoja alienda kwa mganga akamfanye mume wake atulie. Mganga akamwambia apeleke unyoya wa simba ila auchomoe mwenyewe kutoka kwa simba. Mdada akaanza kuhangaika dar zoo apate unyonya. Katumia kila ulaghai akafanikiwa ila sio kwa kuuchomoa, aliupata ndani kwenye banda la simba.
Alivyofika kwa mganga kumkabidhi mganga akashangaa sana. Akamuuliza kweli huu unyoya umeuchomoa kwa simba? Mdada akaitika ndio. Mganga akamwambia ama kweli wewe mwanamke jasiri. Kama umeweza kuchomoa unyoya wa simba na ukali wake unashindwaje kumtuliza binadamu?
Tumia mbinu kama hizi ulizotumia kupata unyoya umfanye mumeo atulie. Mdada akatoka ameshushuka.
MAFUNZ0: mbinu unazo mwenyewe, na kama unaona mumeo sio bora tumia mbinu zako mwenyewe kumfanya awe bora zaidi ya huyo wa jirani.
NB: ujanja hauna shule.
 
hahahaha...Michelle nakuaminia kwa mawazo yako makini...thats why i love you ooopss sorry i like you
My dear,naona umedhamiria,kama umefanya kila kitu haja respond,mpotezee,si kwamba hakuoni bali hakuhitaji,unajichoresha tu kwa tamaa ambazo una uwezo wa kuzizuia hata ukifanya bidii kidogo.....yaani mbele ya macho yake anakuona pepo fulani hivi linalotaka kumuharibia maisha yake.....mwanaume angekuwa anakutaka mbona tayari mngekuwa mbali? mtafute wa peke yako acha kuendekeza tamaa kwa wanaume wa wenzio waliotunzwa vizuri,tafuta wako mtengeneze vizuri.....you deserve your own man.....acha desperation,unaonekana kituko........

Lakini pia waweza muuliza mkewe alimpataje kama ukiona huwezi kabisa!!!! :laugh::laugh::laugh:
 
wewe unamtaka kizamani,siku hizi unakuwa upfront,mpe live kuwa umemzimikia then atakuambia kama vipi atakumega,competition imeongezeka,juzi tu kuna katoto kameniaproach live ilibidi nistuke kidogo,nimekapotezea live-kimtindo(niko bize na maisha atanipotezea muda wangu +life plans)
inshort dada wewe mwambie wala usiogope kumbuka siku hizi wanaume wanaogopa sheria za nchi hii za kubaka :) inabidi uonyeshe full intent kama ulaya wanavyofanya
Nipo nilikuwa napitia comment nione kama kuna mwenye msaada. Naona nyie wote ni wazushi tu.
 
My dear,naona umedhamiria,kama umefanya kila kitu haja respond,mpotezee,si kwamba hakuoni bali hakuhitaji,unajichoresha tu kwa tamaa ambazo una uwezo wa kuzizuia hata ukifanya bidii kidogo.....yaani mbele ya macho yake anakuona pepo fulani hivi linalotaka kumuharibia maisha yake.....mwanaume angekuwa anakutaka mbona tayari mngekuwa mbali? mtafute wa peke yako acha kuendekeza tamaa kwa wanaume wa wenzio waliotunzwa vizuri,tafuta wako mtengeneze vizuri.....you deserve your own man.....acha desperation,unaonekana kituko........

Lakini pia waweza muuliza mkewe alimpataje kama ukiona huwezi kabisa!!!! :laugh::laugh::laugh:

michelle hivi avarta yake ni weekly? maana kila mara unabadili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom