Namzimia mume wa jirani

Pepo ushindwe kabisa. Tuondolee balaa hapa kama vijana hawajakupenda mpaka sasa hao waume za watu watakuonaje? Usione chapendeza mke kakigharamia na utakula kwa macho kudadeki, mtam wewe au unakurupuka. Nenda jollyz ndo utawapata wa kukupa ushauri wa kishenzi unaoutaka not here. Nyie ndo mnaopata magonjwa kwa kupenda, ukute libaba la watu linaishi kwa matumaini unataka kumlazimisha akuue SHAME ON U. Usitamani mume asie wako wewe hata amri ya mungu imekataza, Chip.
 
Not enough una matatizo usije ukafikiri sijui kuwa unamzengea mume wangu. In fact mume wangu pia anajua kuwa unamzengea na tulishakubandika jina siku nyingi, huwa tunakuona kama kituko tu.
Tulia na uliyenaye kabla hatujamtumia ushahidi wa mkandahalisi ukose vyote.
..........ujumbe umekufikia nadhani tulia mwanamke.

kazi kweli kweli!!!
 
Kwanza ni vema tubadilishane mawazo ni kwa nini kuna baadhi ya Wanawake wanapenda kudate Married Men. Badala ya kuanza kumshambulia tu ni vema tuliangalie suala hili kwa mapana zaidi.

Wanawake wanaodate wanaume waliooa wanaweza kuwa na sababu zifuatazo:

1. Kuna ambao wanapenda challenge tu ya kuwa na mtu wanayeamini hawezi kumpata na wanaweza kufanya hivyo ili kujiridhisha tu. Ni kama vile baadhi ya wanaume wakwale ambao wanatamani kupata wanawake tofauti.
2. Wanawake wa namna hii pia hawataki commitment kwa kuwa wanajua mwanaume huyo tayari ana familia na yuko commited na mke wake. Wengine wanafanya hivyo for fun.
3. Kuna ambao wanashindwa kupata mwenzi wa maana kutoka ambao hawajaoa. Wanadai hawana Bahati ya mapenzi au kupata wapenzi. Wanawake wa namna hii wako radhi kuiba waume wa watu au kuwa na mahusiano nao.
4. Kuna wengine ambao wanapenda tu married man kwa sababu mbalimbali: kavutiwa nae, ama ana pesa, ama wako naye karibu kazini nk.


Kama unataka kuchukua risk ya kudate a Married Man basi unaweza tu kupata wanaume wa namna hii:

attachment.php



1. Casanova: Hawa ni wanaume waliooa ambao hawatosheki. Ni wale ambao kila opportunity ya kupata mwanamke ikitokea anataka ampate.
2. Wanaotafuta radha tofauti: Mara nyingi hawa ni wanaume ambao wako committed katika ndoa zao na wanawependa wenzi wao na familia zao. Lakini kuna mabaye anaweza akawazuia pale ambapo wanahitaji kupata kingine cha ziada na kuna nafasi ya namna hiyo?
3. Wale ambao ndoa zao zina matatizo; Hii ni kwa sababu wanaume wakati wote wanahitaji "Love na Affection" (I hope wengi mmewahi kusikia kuwa Wanaume ni viumbe dhaifu". Katika kipindi cha matatizo baadhi ya wanaume wanadai wanahitaji faraja. Na hapa ndo wale Wanaotaka kudate Married Men wanakuwa na urahisi wa kuwapata.

Katika hali ya kawaida hushauriwi Kudate Married Man na wala si jambo jema kwa sababu zifuatazo:

1. Married Mana tayari ana lifetime commitment ambazo hawezi kuziacha. Ana mke, familia na watoto na anawajali tayari. Na hayo ndiyo maisha. Sikuzote atawapa top priority na hata kama ina maana ikibidi akutose wewe.
2. Married Man wenye affairs mara nyingi hawatataka wenzi wao na marafiki zake wajue kwa kuwa nu uhusiano haramu. Hili ni jambo ambalo litakunyima raha na halina radha ya mapenzi.
3. Rafiki, ndugu na jamaa ambao wanajua unadate married Man hawakusupport. Umeshaona michango mingi hapa JF inakulaumu sana.
4. Vipi kuhusu future yako. Bila shaka utapenda upate watoto wako utakaowapenda na kuwalea kwa uhuru na mapenzi. So, why risk?
5. Ni dhambi kudate Married Man; Immoral na Irrational. Uhusiano huo hautakufikisha mahali zaidi ya kukuletea machungu baadaye na kukupotezea muda. Jitahidi upate wako wa kukufaa. Labda issue ni tukusaidie mawazo kuwa utapata vipi wako?
 

Attachments

  • Picture1.png
    Picture1.png
    43 KB · Views: 152
Niambie unakaa wapi nije niwe jirani yako.

Hisia zako ni sahihi hata kama kuna watu wanakuponda hapa, kwani kila binadamu ameumbwa kivyake.

Kuna baadhi ya watu humu wanaponda hisia zako ila nina hakina kama ni wanaume, wakiona vimini vimepita wanababaika na kutoa udenda.

Hivyo hata kwa mwanamke kuwa na hisia kwa mwanaume ni kuwa wewe umekamilika.

tatizo moja tu kwamba unampenda mtu ambaye ana wake sasa si vizuri kuingilia, tafuta pengine mbona wapo tele tu hapa mjini.

siamini kama wewe umekamilika ukose wa kukuliwaza, mume au mke wa mtu ni sumu- na wengi yamewatokea puani.

mtaanza taratibu lakini ukikolezwa wewe lazima utasema tu na kujifanya sasa ni kama wako, bora usijaribu kabisa. :bump:
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

Pole dada soikushauri, bora utulie tu!! Nahisi unatania humaanishi.
 
Vumilia utampata tu..afu ukimpata tu mpe tigo upate mtelemko zaidi
 
mie sipingi wewe kumpenda huyo mume wa mtu,because pete ya ndoa hakumfanyi more or less of a person anabaki kuwa MTU ambaye mtu mwingine yeyote anawaweza fall in love naye,ila ninachopinga ni wewe bidada kototafuta ustaarabu mwingine baada ya kuona hapo hutakiwi!!! huoni unakuwa kero sasa? kama ni wanaume wamejaa kibao,na kama taste yako ni wanaume za watu wamejaa kibao nao! acha kuwa kero!!!!
 
mie sipingi wewe kumpenda huyo mume wa mtu,because pete ya ndoa hakumfanyi more or less of a person anabaki kuwa MTU ambaye mtu mwingine yeyote anawaweza fall in love naye,ila ninachopinga ni wewe bidada kototafuta ustaarabu mwingine baada ya kuona hapo hutakiwi!!! huoni unakuwa kero sasa? kama ni wanaume wamejaa kibao,na kama taste yako ni wanaume za watu wamejaa kibao nao! acha kuwa kero!!!!

Pauline nakutafuta.....
 
Do,sikujua kuwa mme wa mtu ni hatari hivi. Watu wako tayari kuua sababu eti mme kaliwa,lakini akifa huyu na wanawale wengine bado wako wengi,wazuri na wanamuona huyo mwanaume si utaua wanawake wengi?Huyu dada nimemsifu kwa sababu kulitoa rohoni kapata ufumbuzi wa awali, sikujua kumbe ndio maana kina dada wanaweza kulia machozi akimtaka mwanaume?Its sad kuwa hujapata mshauri but men are very weak,huyo hujamfanyia timing ya maana,kama huwezi kumueleza basi hujazidiwa kiasi hicho muache mapema usije ukazidiwa,wengi humu hawakuelewi,mimi naelewa uchungu unaoupata ndio maana nakushauri umuache mapema kabla ile stage mbaya haijafikia :A S 20:.
 
Dada wewe mume wa mtu sumu hasa mke akijua huwa ni hatari sanasana. Muombe mungu akupe wa kwako na wewe ummiliki kama huyo unayemuonea gere. Ila kama umekomalia ushauri wangu ni huu hapa

Anza kumsifia ukikutana nae barabarani, then vizia siku ingine kama una gari usitumie omba lifti, ukipata nafasi ya kuongea nae msifie mkewe , mtoto wake. pia kama ana mtoto mdogo anza kumzoea pia. siku nyingine ukimwona anapita jifanye na wewe unatoka msalimie muulize anaelekea wapi mida hiyo,then akishakuwa karibu kidogo tu na wewe anza kama kuomba ushauri wa kitu fulani, siku ingine ukipata nafasi ongelea umefiwa hivi hata kama uongo liaaaaaaa ataanza kukubembeleza akiwa anakubembeleza toa lile jicho flani hv, taratibu we utaona kaanza mazoea fulani ila wewe siku zote jifanye huna interest nae, Na kuulizia kama home hawajambo?mwisho kabisa mambo yatajiseti yenyewe tu wewe mtu mzima bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom