Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?
Kwetu Kwao naona umechoka kabisa kuishi kwenye hii dunia, au una hamu ya kuzibuliwa chamber zako! mtu anauwawa kwa kutembea na mtu wa mbali kabisa, itakuwa huyo mke wa kaka yako, kwanza huoni kinyaa kaka yako kila akitaka kulima analimia huko, kakako kila anapotaka kuzimwaga anazimwagia huko, na we unataka ukachovye hukohuko! hivi jamani wanaume wengine mkoje lakini?? aarrgghhh!
 
Kapimeni akili mwaweza kuwa mnaenda na wazimu! Mnaanzaje kutamaniana ilhali mwaelewa kuwa kwa vyovyote vile mnachokitaka ni ubinafsi na uroho wa ngono!
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

halafu nahisi kama kidogo changu hiki!!!!!!!!!!
kama kweli utakuwa ndiye wewe jaribu kulala na mke wangu kama ndo shukrani ya wema niliokutendea na ninaozidi kukutendea utajua kwa nini nina pumbu moja!
funza zimekuisha miguuni sasa unatamani kurudi kijiji.
 
Mwambie kaka yako... kuwa unamtaka mkewe...
 
kwanza huna hata haya unaweza kuomba ushauri kwa upuuzi? na kwa akili yako unategemea nan akukubalie ujinga huo. kwanza unafugwa na kaka yako halafu unataka kumpa asante kwa kumtaka mkewe we kwel ni wa ajabu. . ndo shukran ya punda hyo uumpayo kaka yako?
 
kwanza huna hata haya unaweza kuomba ushauri kwa upuuzi? na kwa akili yako unategemea nan akukubalie ujinga huo. kwanza unafugwa na kaka yako halafu unataka kumpa asante kwa kumtaka mkewe we kwel ni wa ajabu. . ndo shukran ya punda hyo uumpayo kaka yako? toka kwa kakayo ukaendeleze pepo la ngono kwngne
 
mleta maada napenda kukuuliza maswali: hivi wewe ungeleikuwa ndie kaka ukasikia mdogo wako anataka kutembea na mkeo ungejisikiaje? Je, unapoandika hii thread haujavuta bangi, au madawa ya kuleva? hujui kaka yako ni baba yako kulingana na mila za kiafrika punde wazazi wako wakiwa wamefariki kaka yako atakuwa kama mzazi wako. Je, unataka kutuaminisha tumesha fika sodoma na gomora?
 
Acha uthenge wewe, kiuno nini!!!!!
Mke wa kaka yako anakuhusu????tafuta malaya mwenzio achana na mke wa kakako nyamaf!!!!!!!!
 
Husiwe kama Ryan Giggs wa Man U, aliyeramba ngoma ya mdogo wake kwa miaka 8, waafrika ni wastaarabu. Utaanza kwa shemeji hiyo dhambi hataishia hapo, utakuja kwa mdogo wa mkeo, housegirl na mwisho utafunga kazi kwa binti yako wa kumzaa... acha hizo.

  • :twitch:

Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

u must be choosing a way to die out of 1000 ways. Blood is thicker than water but nt in love. Jaribu ujue kaka yako ana roho gani
 
halafu nahisi kama kidogo changu hiki!!!!!!!!!!
kama kweli utakuwa ndiye wewe jaribu kulala na mke wangu kama ndo shukrani ya wema niliokutendea na ninaozidi kukutendea utajua kwa nini nina pumbu moja!
funza zimekuisha miguuni sasa unatamani kurudi kijiji.

yan nimecheka leo ad machoz..dah jf ni funiko..dah et atajua kwanin una...moja,hahahahahahaha ya leo kali kuliko
 
Dogo huko ni kujiendekeza.Punguza ukaribu na shemeji yako.Tena kama bro kapunguz mauwezo kunako uwanjan ni shiida.Angalia ucje ukarudishwa kijijini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom