Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

Pumb..afu kabisa wewe!
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?
 
sasa wewe mwehu.nasemahivi kaka aako namjua nawewe ucena akili nishakujua.Nahuyo mwanamke mwenyewazimu pianamjua nauwasha moto namwambia kakayako mbona namjua.
 
sasa wewe mwehu.nasemahivi kaka aako namjua nawewe ucena akili nishakujua.Nahuyo mwanamke mwenyewazimu pianamjua nauwasha moto namwambia kakayako mbona namjua.

Ha!ha!ha! Mkuu povu limekutoka,kijana hajui muke wa mutu ni sumu!
 
jamani musimlaumu sana hiyo ni balekhe mpeni ushauri ili aweze kuelewa hiyo hali wengi inawakuta yeye kawa muazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom