Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

Kwetu Kwao

Member
Jun 7, 2012
16
3
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?
 
we kijana embu mweshim kaka yako, utavunja udugu kisa mapenzi. by the way, inaezekana shemeji yako wala hakutamani ila ni tamaa zako ndo zinazopelekea uone kwamba shemeji yako na yeye anakutaman. Angalia wewe mke wa mtu sumu, atakutafutia watu waku-cameron..
 
Kama unakaa kwao, hama, nenda kwa ndugu mwingine au ukapange, kama unaishi kwako au Chuo, hosteli, punguza kwenda kwa Kaka yako mara kwa mara, hasa kama akiwa amesafiri, usije ukajisahau kwa vile amesafiri, ukajifanya Baba mwenye nyumba, mwenye Mke, utajaumbuka one day ukifanya hivyo
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?
 
ni kwamba wanawake wameisha au domo zege?
Ndo maana maradhi hayaishi....

Tembea nae na wewe utakapooa kaka yako kitembea na mkeo ndo akili itakukaa sawa?
 
Kweli nimeamini kuwa neno la Mungu haliwezi pita bure. Mungu kupitia Nabii E.G.White alisema Dhambi itakayotesa watu wengi siku za mwisho ni dhambi ya uzinzi wewe endelea tu na huo ushetani wako then uje ulie.
The unseen is illustrated by the seen.
 
nyie wote mlio mshauri sikubaliani hata kidogo.......................

huyu kaka ndo mgomvi yy kamtamani shemeji yake hadi shemeji kamstukia, sasa eti anataka aashtaki kwa kaka ashtaki nini?

sasa kama unashtaki mweleze ukweli huyo kaka yako kwamba wewe unamtamani mkewe na hadi mkwewe kagundua na hivyo anakufanyia vtuko. kisha yeye takupa jibu

Yaani ndugu wa mume ni kiroba cha mavi, au debe lenye mkaa wa moto au gunia la misumari hawabebeki. mwisho wa siku victim hapa atakuwa ni huyu mama tu. Ungekuwa shemeji yangu ungeaga nusu dk tu, manake ungeisoma namba ya kegete. hii ni balehe ya kwanza si bure
 
Kabla hujamtaka mke wa kaka yako kimapenzi, naomba umtake kwanza kaka yako kimapenzi
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?
 
nyie wote mlio mshauri sikubaliani hata kidogo.......................

huyu kaka ndo mgomvi yy kamtamani shemeji yake hadi shemeji kamstukia, sasa eti anataka aashtaki kwa kaka ashtaki nini?

sasa kama unashtaki mweleze ukweli huyo kaka yako kwamba wewe unamtamani mkewe na hadi mkwewe kagundua na hivyo anakufanyia vtuko. kisha yeye takupa jibu

Yaani ndugu wa mume ni kiroba cha mavi, au debe lenye mkaa wa moto au gunia la misumari hawabebeki. mwisho wa siku victim hapa atakuwa ni huyu mama tu. Ungekuwa shemeji yangu ungeaga nusu dk tu, manake ungeisoma namba ya kegete. hii ni balehe ya kwanza si bure
gfsonwin umemsoma huyu jamaa vizuri kweli...............?
Kama vile hujamwelewa ,....................
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa na ujasiri ningekuita "mpumbavu". Huyo ni shetani na nakuhakikishia hatakuacha hadi utakapotimiza ndoto zako. Ngoja nikupe story hii ya Yuda Iskariot aliyemsaliti Yesu. Yuda aliomba ushauri kwa shetani, akamuuliza "nifanyeje, hawa mafarisayo na makuhani wameniahidi pesa nyingi nikimsaliti Yesu, na mimi nimeshuudia mara nyingi wakija kumkamata Yesu lakini mara zote Yesu amekuwa akipita katikati yao na kuondoka, sasa hapa siwezi kula dili nakajichukulia hizi hela?" najua hawawezi kumkamata yesu, maana Yesu ni mwana wa Mungu!! Shetani akamwambia, "yes, we Yuda una akili sana, hata mimi nilikuwa nafikiria hivyo hivyo" Baada ya Yuda kumsaliti Yesu, akashangaa jamaa wamemkamata, wanampiga mijeredi na mabuti kibao, Yuda akamwendea shetani akamuuliza, nifanyeje, mbona wamemkamata? Shetani akamjibu " du umefanya kosa kubwa sana, hadi mimi mwenyewe nakuogopa, yaani umemsaliti Mwana wa Mungu, sina cha kukushauri bora ukajinyonge" Yuda akaona huo ndo ushauri sahihi akaenda kunyonga badala ya kutubu. Nakushauri uache kabisa mawazo ya kishetani huo ni upumbavu, Muombe Mungu akusaidie!!!!!!
 
Dogo kama vp kumbuka kuvaa sox maana nackia kakako na shemejio wameathirika, so shemeji anakutega akugaiye kamdudu. Yaani analipa kisasi cha kuambukizwa na kakako! Kalaghabaho
 
Unauliza maswali na kujijibu hapo hapo. Kama unahisi shemeji yako anakutega, then iambie akiri yako kuwa huo ndo ukweli
 
duh!! hii kali ila inatokea na kweli wewe kijana umekuwa mkweli kuhusu hisia zako. sasa mwana kwa kuwa umegundua kuwa una hisia za kimapenzi kuelkea kwa shem wako ni vyema basi ukapunguza ukaribu uliokuwa nao kwake.
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Jiandae kutengwa na jamii yako!!.
 
[acha izo m2 wangu ataharibu ndoa ya kaka ako kisa tamaa za kijinga tafuta dem wako mbona wako lundo kaka tena wazuri ka nn!
 
Kama una dada ni bora umtake huyo dada,
aibu hiyo itabaki ndani ya familia yenu...
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Una laana ya Mungu wewe...Yaani wanawake wote hapa duniani hukuwaona hadi kumtamani mke wa kaka yako!?....Pole sana :twitch:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom