Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

Hivi wewe?
Wewe ni ndugu yake na anakupenda kwa dhati, mkewe naye ni soul mate wake na anampenda kwa dhati..
Kwa hiyo mapenzi yote mliyopewa hayawatoshi hata muamue kumkatili huyo binadamu mwenzenu mwenye mapenzi mema na hii dunia kiasi hicho?
Si bora ungebaka kuku ili tujue umeshapagawa?
Naenda zangu nyumbani sichezi na nyie tena, kha!
 
Punguza uroho dogo mke wa mtu si sumu

"Mavi hayana Miba ukiyakanyaga lazima Uchechemee"
 
unaleta usanii hapa, kapige stori kama hizi kijiweni kwakwo au huko dorm kwa makinda wenzako
 
Jf this days bwana. nyie watoto hayo mambo ya facebook msirete huku jamani.
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Ama kweli we mwanaharamu kbs. Unataka tukushauri nn katika kutenda dhambi mbaya dhidi ya ndugu yako wa damu! Huna maana, kafie mbali.
 
Huyu dogo anavuta bangi ndio zinamtuma vibaya. Unatudhalilisha sisi wanaume kwa story zako hizi. Sisi hatutamanitamani tu, nawe jifunze hilo. Utamtamani hata mama yako ukiendelea hivo. Foolish!
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

USHAURI WA BURE:

TII KIU YAKO... piga mbunye weeee, halafu siku ukishikwa na bro litakalotokea rudi tena jamvini utujuze maana wengine hatuna uzoefu wa kupigwa kope na mashem wetu! nitaomba 'mlishonyuma' ukishafanikiwa kumchapa huyo shem wako.
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Hiki kitendo chako ni sawa na kulala na huyo kaka yako. Hizi ni tabia chafu zaidi kuwahi kuzisikia na zinatakiwa kulaaniwa na wanajamii wote wenye mapenzi mema na jamaa zao. Hii ni level ya juu kabisa ya immorality na ni kukosa adabu mbele ya kaka yako na huyo shemejiyo na jamii nzima ya watanzania.
Hebu fikiria, ukimkuta mkeo kalala na kakayako utajisikiaje? Acha tabia chafu bwana mdogo.
 
acha uwongo wako huyo nabii yuko ktk biblia gani au mnadanganywa na mafundisho yake huyu mama wa kimarekani?
alipoota ameenda mbinguni akaona amri za mungu afu moja tu ndio inaanga zaidi yaani ile ya kisabato?
hata hivo tumekuelewa ushauri wako.kwa sasa dhambi inayotesa wengi sio uzinzi pekee ndugu yapo mauwaji,rushwa,ufisadi,wivu,nk
?bora ungesema biblia inasemaje kuhusu uzinzi
kijana unaetaka ushauri naona unata,mani kukatwa kichwa na kakako afu pata picha unazini na shemejio afu unabana hapo hapo hadi kakako aje.
Kweli nimeamini kuwa neno la Mungu haliwezi pita bure. Mungu kupitia Nabii E.G.White alisema Dhambi itakayotesa watu wengi siku za mwisho ni dhambi ya uzinzi wewe endelea tu na huo ushetani wako then uje ulie.
The unseen is illustrated by the seen.
 
yani mwenzio asogeze we ujilie tu?Tafuta kwa nguvu zako c kupitia nguvu za wenzio.mndo nyie mnaoibia marafiki zenu madem hovyooooooooooooooooooooo..........
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?
Kijana popote pale ulipo ebu piga magoti nikuongoze sala ya toba kwanza,
Unaweza sababisha nikamrudisha kijiji yule mdogo wangu ninaekaa nae sababu yako.
 
Kemea pepo la ngono ulilonalo ni hatari sana achana na wake au waume za watu ...ni hatari sana sana utakufa kibudu achaa na kemea pepo
 
Huyo kaka yako unampenda kweli? Mjinga kweli wewe mtoto... Nenda kasome acha upuuzi... Tamaa za kijinga hzo.. Sex sex we c uoe wa kwako, hvi sex ndo umeona mwisho wa mambo? Kwani binti ni huyo tu... Mjinga kweli wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom