Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

Mimi nikukute au nisikie siku hiyo utajuta kwanini ulikuwa ndugu yangu
 
halafu nahisi kama kidogo changu hiki!!!!!!!!!!
kama kweli utakuwa ndiye wewe jaribu kulala na mke wangu kama ndo shukrani ya wema niliokutendea na ninaozidi kukutendea utajua kwa nini nina pumbu moja!
funza zimekuisha miguuni sasa unatamani kurudi kijiji.

Mkate mbupu moja mfanane.. anajiona amekua sasa.
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Pumbaf kabisa, ikiwa unanyege nenda Mori and Afrika sana, na ukiona hawakutoshi nenda Buguruni, ama Joly Club.

Ni lazima utakuwa mgonjwa wa akili wewe.
 
mkuu umenikumbusha uku kwetu kuna jamaa alikula muke ya bro wake za mwizi arobain alipgwa ubao akapoteza maisha wakashindwa wachukue hatua gan wakipeleka ktk vyombo vya dora familia itakua imepungua idadi ya watu wawili ikabd wapge kimya mpaka wa leo em jaribu kuona hii video ujifunze bonyeza hapa
 
wewe kwa akili zako hizi zakipuuz ngekufaham hata nikukute mchana kweupe ukiliwa tgo/----- lako hakika ngewalipa mshahara+konyagi mabaria walio kutia nanga kunako puru.......
 
:rolleyes:
nyie wote mlio mshauri sikubaliani hata kidogo.......................

huyu kaka ndo mgomvi yy kamtamani shemeji yake hadi shemeji kamstukia, sasa eti anataka aashtaki kwa kaka ashtaki nini?

Soma vizuri hiyo mada kabla ya kucomment,maana naona kwenye comment ni kama umetunga mada mpya
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Tamaa zako zitakuuwa jiulize kama wqna virus vya HIV itakuwaje akikuambukiza?
 
we bado waish kwa kakako na kumchungulia chungulia shemejio,hama hapo kabla hujachomwa visu vya ma,ta.koni
 
Yaani wewe huna tofauti na ng'ombe, unamtamani shemejio!! Acha kabisa tabla Hiyo.
 
Hivi homa ya dengue nayo inapanda kichwani kama malaria?

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom