SANING'O LOSHILU
Senior Member
- May 19, 2012
- 144
- 11
Karibia utampata best ongeza spidi kidogo!
Erotica, you know it is not enough...I mean hakuna mwanaume na akili zake timamu akakubali hilo...ndo maana nikasema mapema kabisaaNdio kukata tamaa kwenyewe huko. huwezi art ya negotiation?
Ikitokea you are selected basi utakuwa unawaona siku ya kwenda klinik. c inatosha?:eyebrows:
Imany John kwa woga wako wa kujaribu unanitisha? mimi na wewe nani kauzu? teh teh teh
teh teh teh. unataka niende in detatils?
Wapi klorokwini, wapi Ndahani, wapi Kaunga mje mumueleze mtotowamjini mambo yetu ya mjini!
Erotica, you know it is not enough...I mean hakuna mwanaume na akili zake timamu akakubali hilo...ndo maana nikasema mapema kabisaa
so you wanna negotiate? we must have a win-win situation....I get...you get....rite?:israel:
(hivi hii forum ilikuwa don kwa muda gani in total? daamn)