Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

Ushwahi kusikia mtu anauziwa mbuzi kwa kusikiliza mlio? Yaani sura yangu hata hujawahi iona unasema unaniota....unaniotaje sasa? Yule aliyekuwa anakunyemelea labda ulishakutana naye sehemu ukamfurahia...tatizo hukumtaarifu BF wako..akawa anakuja bila kumtaarifu

Ndahani..
 
Last edited by a moderator:
Kaizer mbona kuna vitu naona kama unaqualify, unakata tamaa haraka hivo? :shock::shock::shock:

Sio kwamba nakata atamaa ila kama Torres, imnabidi nije makukumu yangu...I mean kukaa bench kwen 'fainali' kubwa kama hii sio mpango kabisa:shock::tongue:
 
Mwenzangu...labda ana macho yenye darubini zenye kupita mpaka ukutani.

Nadhani ni jambo la kawaida. . .
Hata wanaofikaga kwenye nyumba zilizojaa nyasi kila kona hua wanapenda kuchungulia ndani waone kama hali ya mle inatofautiana na ya nje.
 
Sio kwamba nakata atamaa ila kama Torres, imnabidi nije makukumu yangu...I mean kukaa bench kwen 'fainali' kubwa kama hii sio mpango kabisa:shock::tongue:


Ndio kukata tamaa kwenyewe huko. huwezi art ya negotiation?

Ikitokea you are selected basi utakuwa unawaona siku ya kwenda klinik. c inatosha?:eyebrows:
 
Eroticaaaa Erocious!!!! all the best mamiiii hope ushapata by now!!


sante mamito! Nimepata list kabambe! mchuano ni mkali sana watoto nina hakika watakua

maraisi wa dunia wakiwa wakubwa na watatafiti ambayo bado yamebaki kutafitiwa.
 
Back
Top Bottom