Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,054
71,340
If a woman mistreats her man, it is only because he lets her....YES ITS BECAUSE OF YOU MAN !!.

Mnatia Hasira sana nyie wasenge, haiwezekani, haiwezekan ... Na ndio Sababu mmekuja na makampeni yenu uchwara ya "Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli".

Wanaume mmekua wa hovyo sana, mmetanguliza upole, na ubebi bebi mwingi sana , mmekua wadhaifu mlopitilizaa, mnawaogopa Wanawake wenu , mmekua aina ya "Yes Baby" Kila jambo la Mwanamke, mnaumilia moyon , hamna kabisa self awareness , mmekua zaidi ya wasenge kabisaa, sishangai kwann Sasa mnakimbizana na Wanawake kupelekewa moto, yote sababu mmeuacha unaume wenu !!! ... Mamaeee Tungekua tunaishi Kifalme na Mimi ndo Mfalme wenu, Ningewatembezea Fimbo za kutosha !!.

nimekua Mtumiaji wa JF Toka 2017, malalamiko ya wanaume Kila siku yanaongezekaa ,Mke wangu vile, Mpenzi wangu vile ..... Hivi wazee wetu wao walifaulu vipi?? Na wauliza nyie Mbwa, Waee wetu walifaulu vipi ?? Mbona hawakusumbuliwa ??.

najua mtaleta habari za Utandawazi Mara nn, Mara nn, Uongo huoo, ukweli ni kwambaz Utandawazi naona unajaribu kizazi Cha kiume sana kiasi kwamba wanaume wamebaki na Uanaume wa Jinsia ,. Siwaoni wanaume kwenye kukutongoza mwanamke, siwaoni wanaume kwenye kumtawala mwanamke, siwaoni wanaume kwenye kua na Mamlaka na mwanamke, siwaoni wanaume kwenye kua Baba na Mume na Kichwa Cha familia .

wapuuzi nyinyi, Matatizo mengine mnayasababisha wenyewe na macho na akili zenu maninaaa !!

Mnawasikiliza Akina Dr Mwaka ? Kwamba mwanamke anahitaji kubembelezwa, kudekezwa? manina zenu ,wapuuzi wakubwa .


Naandika Huu Uzi Leo baada ya kusoma Uzi wa jamaa hapa

Post in thread 'Sijamuelewa mke wangu' Sijamuelewa mke wangu

Et Mwanamke alitaka kwenda kwenye sherehe za vikoba atalala hukohuko,,,, baadae akasema , tumeahirishaz tutaenda mikumi na kulala hukohuko...



Siku Moja nikawapa hints kuhusu Vikoba

Thread 'Vikoba/vikundi vya michezo vimekuwa chanzo cha wake za watu kuchepuka' Vikoba/vikundi vya michezo vimekuwa chanzo cha wake za watu kuchepuka

Wengine mkaja na hoja za ohoooo vipi mwanamke mwenye Elimu kubwa na Pesa zake.... Nikawambia Pesa na Elimu yake hivo ni vyake, havikuhusu, na Wala usikae kuruhusu vitu vya mwanamke Ivo viathiri Maisha yako ,Hawa viumbe wameletwa kwaajili yetu sisi wanaume. .... Nikalielezea hapa.
Thread 'Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!' Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

Mambo ya Ajabu kabisaaa mamaee... Hivi Mke wamtu anaanzaje kulala nje kisa tu vikoba ?? Mamaeee kabisa, Et unamwambia , anakufokea ?? Na anakufokea kabisa ?? Naweee mwanaume unanywea ??.

Mnakera sana, ipi nafasi yako Sasa ya Kichwa Cha familia ambacho unatakiwa usikilizwe ?? Unahofia nn?? Unahofia Ndoa ?? Sibora umfukuzilie mbali, na jamiii ijuez jamaa alimfukuza mwanamke wake kwakua mwanamke alitaka kutenda anayotaka bila kumsikiliza Mumewe..

Nitarudi....

Juzi nilimwambia hapa kua. Thread 'Watu hamjanielewa naposema "Mwanamke ni chombo Cha Starehe" Sasa nieleweke hivi !!.' Watu hamjanielewa naposema "Mwanamke ni chombo Cha Starehe" Sasa nieleweke hivi !!.

Wengi wenu hamkunielewa au pengine mnaogopa mtaonekanaje, kama mnawaamin Akina Dr Mwaka, niamini namimi basi nachowaambia na mkipractice kidogo muone matokeo yake... Mnanibishia lakini maandishi yangu nayaandika kiasili yaan jinsi ambavyo Asili ya mwanamke ilivyo na inavyotaka..

Ukishajua hayo, nikawambia, Usifanye haya

Thread 'Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!' Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Humo ndani nmewaonya kwamba usiishi na mwanamke kidemokrasi, kua DIKTETA yes Mkoloni,. Usimpe kipaumbele mfanye awe kipaumbele chako Cha 2 au 3 au 4 au 5 , Usiogope migogoro, usiukimbie Uanaume wake, usimfanye ajue yuko peke Ake , Usifiche changamoto zako inapohitajika na nikasema hakikisha unapambana Kila siku kubadilika.

Na Kuna Mahali nikasema ili umuweze mwanamke kupitia migogoro, ni kumfanya awe mtumwa wa kihisia kwako,,, unawezaje fanya ivooo,nikasema kupitia Kucheza na Hisia zake "Hisii juuu, Hisia chini" ... Nikalielezea hapa

Thread 'Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake' Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

Tena baadae nikawaongezea mbinu namna yakiendelea kumfanya ajue wee ndio kiboko yake na kwahivo atakutiii na kukusikiliza

Thread 'Wasifieni Wanawake zenu...' Wasifieni Wanawake zenu...

Humo ndani nikasema Mara Moja Moja muwe mnawasifia, wajione wamekuweza, wamekukamata lakini wee una lako kichwani

Kwa kulikazia hili Suala la kumakata mwanamke kupitia Kucheza na Hisia zake, nikaongezea Tena Huu Uzi

Thread 'Furaha ya Mwanamke inakutegemea wewe Mwanaume!' Furaha ya Mwanamke inakutegemea wewe Mwanaume!

Baadae nikawashauri na kitandani

Thread 'Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)' Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)

Nikaja nikawagusia Sasa kumpenda mkeo

Thread 'Mwanaume Mpende Mkeo..Mwanamke Mtii Mumeo !!.' Mwanaume Mpende Mkeo..Mwanamke Mtii Mumeo !!.


Ila nyuma niliwah waambia Mwanamke anayekupenda anakuaje , nikaelezea kinaga ubaga hapaaa , na hapa muelewe, mwanamke akikupenda haya ni lazima uyaone, kama hayapo, Achana naye Mara Moja

Thread 'Mwanamke akikupenda, ni lazima afanye mambo haya' Mwanamke akikupenda, ni lazima afanye mambo haya



Nyuma niliwaonya ,usije thubutu kufanya Maisha na Mwanamke wa aina hiii , USITHUBUTU KABISAA.
Thread 'Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!' Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Kwa
mnaoanza kutongoza ,nikawashauri hapa, ili msiingie kwenye mtego wa kua mtumwa wa mwanamke

Thread 'Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!' Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa! .



NIWAOMBE SANA SANA, KAMA NYINYI MMESHAPOTEZA UANAUME WENU, BASI ANGALAU ,WALEENI VIJANA WENU KAMA NYUZI ZANGU ZINAVYOHITAJI, WAPENI WANENU HIZI NASAHAA WAKAZIISHI SIKU ZOTE.


KAMA HAMNIELEWI, NAWAAMBIA, MNAENDA KUA NA NDOA AMBAZO, MWANAMKE ATANUNUA DILDO, YAAAN UKISHAMKOJOZA KIMOJA, NAYEYE ANAKUGEUZA ANAKUSUGUA NA DILDO .




MODERATOS, HUU UZI MKA UPIN, UKAWE KUMBUKUMBU KWA VIZAZI KWAMBA HUKO NYUMA KUNA BABU YETU ALITUFUNZA KUA WANAUME
 
Kiasili wanawake wanataka mwanaume dikteta, wao kutawaliwa ujisikia amani na salama zaidi, kuliko demekrasia. Shida huja kwenye malezi, dikteta ni mtu anaetumia nguvu nyingi akili kidogo. SAsa sababu ya malezi hili jambo huwa gumu umelelewa kwenye malezi ya maadili maadili ni matumizi ya akili kuliko nguvu, utaanzaje kumfanyia udikteta mwanamke hali ukupa malezi ya kidikteta.
 
Mwanaume anatakiwa kuishi na mwanamke kwa misimamo thabiti.
Mwanaume hua hayumbishwi na mwanamke.
Mwanaume hawezi kukubali usawa 50/50 ndani ya nyumba.
Mwanaume anakua dictator aka bandidu.
Labda uwe wa kuoa na kuacha,kuna wanawake bandidu usiombe kukosea kuoa.
Mfano umeoa single mama,anatokea kabila la wakorofi halafu ni sanguini yaani mshari shari hapo uamue utimue,ukeep distance au uoe mke wa pili.
Dawa ya mwanamke jeuri ni mwanamke mwenzake
 
Mungu awabariki wanaume wote ambao mna misimamo ya kiume, tunawapenda sana huu ndiyo ukhalisia..!!

Wanaume wengi mno nowadays hawana tena ile 'manhood' ndani yao, simping culture imewaharibu mno..!!

Carlos usiache kuwaambia ukweli tafadhali inaweza ikawashtua toka kwenye huo usingizi wa pono..!!

Nina hiyo kifaa yangu kwanza akiongea tu kwa mamlaka natii huku inani turn on..!!

Kuweni wanaume bhana, msikimbie nafasi zenu hebu, mnaboa..!!
 
Labda uwe wa kuoa na kuacha,kuna wanawake bandidu usiombe kukosea kuoa.
Mfano umeoa single mama,anatokea kabila la wakorofi halafu ni sanguini yaani mshari shari hapo uamue utimue,ukeep distance au uoe mke wa pili.
Dawa ya mwanamke jeuri ni mwanamke mwenzake
Hata sihaelewa umeandika nini mkuu, maana sisi tunajadili nafasi ya mume ndani ya nyumba, lakini wewe naona unaleta mambo za kushindikana na sijui mke wangapi huko...... mimi nasema wewe kama mwanaume nafasi yako ni ipi ndani kwako?? Je unaitambua nafasi yako ndani kwako??
 
Mungu awabariki wanaume wote ambao mna misimamo ya kiume, tunawapenda sana huu ndiyo ukhalisia..!!

Wanaume wengi mno nowadays hawana tena ile 'manhood' ndani yao, simping culture imewaharibu mno..!!

Carlos usiache kuwaambia ukweli tafadhali inaweza ikawashtua toka kwenye huo usingizi wa pono..!!

Nina hiyo kifaa yangu kwanza akiongea tu kwa mamlaka natii huku inani turn on..!!

Kuweni wanaume bhana, msikimbie nafasi zenu hebu, mnaboa..!!
Hamchelewi kuvunja vunja vioo vya magari nyinyi alafu mnaanza kudai 50 zenu km mliziweka... Kuna clip moja imesambaa sana huko SA mwanamke kavunjavunja BMW moja kali saana ya jamaa kisa wivu wa kipumbavu
 
Back
Top Bottom