Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
- Thread starter
- #61
Kuna mwanamke alijinyonga sababu niligoma kumbusu tu, nawe pia nakuonea huruma maana bahati haikuwa yako!
Atakua alijinyonga sabb alitumwa kukua na adui zako kwa njia ya kukukiss,
Mungu akakuokoa ukadhani kajinyonga kwa ajili ya kiss kumbe alifeli mission
ya kukuua hivo na yeye she had to kill herself or auawe! Shtuka.