cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
umeona eeeee mke mwenza wa sirini!!! nisindikize makaburini kinondoni nikamuombee mlengwa! hizi topoc za leo za MziziMkavu hizi, kwanza aliye na kei yangu narudia tena anirudishie, siioni hapa nilipo kabisaaaaaa!KEEEEEEEREUWIH! MziziMkavu haya unaona watu hatutafanya kazi leo hapa,naombeaje mwalimu mwenzangu gfsonwin awe na vipindi mpka jioni na mke mwenzangu wa sirini cacico nae awe busy au hata Elizabeth Dominick awe na dili kali kweli kweli wasije huku!
Last edited by a moderator: