Namna ya kuamsha hamasa ya mwanamke

Kuongezea tu ni kuwa kiungo chochote cha mwili wa mwanadamu(haswa mwanamke) ambacho ni mithili ya ncha au upaba(mathalani chuchu, masikio, midomo, kinena) au maungio ya viungo(kwenye kona nyuma ya goti, shingoni)...hizi sehemu ni muhimu sana kwenye kumpa hashiki mwenzi...
Wakati wa chakula cha usiku jaribu kuzipapa, kulamba na hata kupitisha pumzi sehemu hizo taratibu na kwa ustadi mkubwa.
i thought you are under age kumbe lol!.......... nimeng'aduliwa???? mdogo wangu unakua haraka sana siku hizi narudia tena kukuambia.
 
duh! leo nimeaini mmu watu wanapenda kurushwa maji lol! kuna wengine nilijua ni watoto lkn wanashuka nondo kama watu wazima lolest! wengine kwa harufu tu mate ya wajaa mdomoni, sijui wakiona itakuwaje.

kama kazi zimefanyika sijui kwa mtindo wa hii sred.
 
duh! leo nimeaini mmu watu wanapenda kurushwa maji lol! kuna wengine nilijua ni watoto lkn wanashuka nondo kama watu wazima lolest! wengine kwa harufu tu mate ya wajaa mdomoni, sijui wakiona itakuwaje.

kama kazi zimefanyika sijui kwa mtindo wa hii sred.
Rafiki, achana na watoto wa siku hizi, wanakuacha mjini.
kuna siku mama mmoja rafiki yangu alikuwa anaongea na mumewe ambaye alikuwa anashangaa binti yao anatoroka kwenda kwa bf, eti dingi anasema hivi huyu hata ku......na anajua kweli? Mama mtu akajibu "mume wangu, mat..si ambayo Hawa watoto wanafanyana sisi hatujawahi kuyafanya miaka yote hii tuliyooana, lol! Kila nikikumbuka hiyo statement huwa nacheka mwenyewe kama mwehu
 
Wanaume wengi huelewa kuwa kuna umuhimu wa kumuandaa mwanamke kwa kumshika shika maungo yake ya mwili lakini wengi hupuuzia suala hili kwa kuwa wao hamasa yao ya mapenzi huamka na mwili husisimka tayari kwa kuanza kushiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kuona mwili wa mwanamke ukiwa mtupu.

Mwanaume wa namna hii huwa hawezi kumfikisha mwanamke kwani mara baada ya kumuingilia mwanamke ambaye hayupo tayari kuingiliwa kimwili kwa kuwa hajaandaliwa, mwanaume hujikuta anafikia mshindo ndani ya sekunde kadhaa na hata akitaka kuzuia bao hushindwa kufanya hivyo, hivyo hujikuta amemaliza haja zake za kimwili na kumuacha mwanamke pengine akiwa hata wazimu haujampanda na kwa bahati mbaya aking'amua hushindwa kurudia tena tendo kwani haitasimama tena.

Wataalamu mbali mbali wa mapenzi wanabainisha ya kuwa wanaume wenye kutumia muda mwingi kumuandaa mwanamke huweza kujizuia kufika mshindo mapema na hivyo hudumu kifuani kwa muda mrefu na hata kufanikiwa mfikisha mwanamke kileleni zaidi ya mara moja.

Hata hivyo muda wa kushikana shikana hutofautiana baina ya mwanamke na mwanamke, wanawake wengi husisimka kutokana na kushikwa matiti, matiti ya mwanamke mara nyingi ni yenye kusisimka sana endapo yatatomaswa vizuri kimahaba ama kwa kutumia mikono au mdomo kupekecha chuchu mithili ya mtu anayemung'unya pipi na wazimu ukianza mpanda ncha za matiti husisimka na kujitokeza yaani hudinda na hali hiyo hujitokeza sehemu zake za siri pia kwa mashavu ya k kupanuka na kuwa na hali ya kusisimka huku kinena kikimsimama na tezi zake hutoa ute.

Ute hutoka mahususi kuruhusu uume kupenya kwa urahisi, hata hivyo si wanawake wote huamsha hamasa ya mapenzi kwa kuchezewa matiti hivyo basi mwanamke anatakiwa kumwongoza mwanaume kwa maneno ama kwa kuweka mikono eneo anataka ashikwe ili apate hamasa ya mapenzi.

Aidha, wanawake wengine huwa hawana ujasiri wa kumwongoza mwanaume kumtomasa sehemu inayomnyegesha, hivyo kujinyima raha ya mapenzi. Hivyo mwanaume anapaswa kumshika shika mwanamke sehemu mbali mbali kama shingoni, mabegani na kumbusu sehemu ya juu ya mwili wake taratibu akiteremsha mikono kwenye sehemu za siri za mwanamke lakini ahakikishe hana kucha zenye ncha na vidole vikavu ili kutomuumiza mpenziwe na kusababisha ashki impotee gafla na asitake tena mambo!

Hapa ili zoezi liwe lenye mafanikio mwanamke anatakiwa kuonyesha ushirikiano kwa kutoa miguno ya kumchanganya mwanaume huku akitanua vema miguu ili mwanaume aweze kushughulika vema na sehemu inayozunguka kinena, hadi atakapobaini mabadiliko ya moyo wa mke, ngozi kuwa na joto, pumzi kuongezeka, uso kukunjamana mithili ya mtu anayeumia na anaweza lia kwa utamu anaousikia na hapo mwanaume anaweza kumwingilia kwani huwa tayari kuingiliwa kimwili.

:-Ukisoma mada hii mtumie na rafiki yako link hii ili ajifunze kwani lengo la blog hii ni kuelimisha jamii nzima ili kila mtu afurahie mapenzi.!
Sasa kwenye maelezo hayo yote mbona hakuna kipya? Au WanaJF wengi waliokusifu ndio wanayasikia haya leo hii kwa mara ya kwanza? Mi sijaona kipya chochote, may be kwa watoto wenye rika la kwenda jando!
 
mmh! salam hii kwa sauti hii, na madaha haya, mmh! nahisi wataka kunipandisha fuso nirudi kwetu wewe.
Usijali bibie gfsonwin nina hamu ya kukuona tutakuja siku tuonane inshallah vilima kwa vilima havikutani ila wadamu huwa wanakutana tutaonana Mungu akipenda.
 
Last edited by a moderator:
bibie gfsonwin tunazungumza na watoto wetu humu ndani pasipo na kujuwa ehhh umemshtukia kuwa huyu watu8 ni bwana mdogo? bibie hujambo? habari za kupoteana?

Mkuu naona wanichomea hahaha...pamoja na umri kuwa mdogo nikilinganisha na umri wenu lakini bado nima,nafasi ya kusaidia pindi mdaada unapohitajika, na huu niliotoa ni moja ya msaada kwa kundi kubwa la wanaume wasiojua kuwapa wake zao haki ya ndoa...
 
Last edited by a moderator:
mmh nimekua dada yangu na haya mambo hayana wa kuyakwepa, kujifunza ni muhimu...

Mkuu naona wanichomea hahaha...pamoja na umri kuwa mdogo nikilinganisha na umri wenu lakini bado nima,nafasi ya kusaidia pindi mdaada unapohitajika, na huu niliotoa ni moja ya msaada kwa kundi kubwa la wanaume wasiojua kuwapa wake zao haki ya ndoa...
kwa stail hii mmh!
hivi kati ya beckham na torres nani mpira wake uko juu kwa sasa?
 
kwa stail hii mmh!
hivi kati ya beckham na torres nani mpira wake uko juu kwa sasa?

hahah! to my world wote viwango vipo sawa pamoja na umri kutofautiana na ligi wanazochezea kuwa tofauti....
labda niulize kuna kigezo cha umri ili kuweza kuchangia MMU, au ni uzoefu, uelewa na ujuzi ndio vigezo??
 
hahah! to my world wote viwango vipo sawa pamoja na umri kutofautiana na ligi wanazochezea kuwa tofauti....
labda niulize kuna kigezo cha umri ili kuweza kuchangia MMU, au ni uzoefu, uelewa na ujuzi ndio vigezo??

hhahahha! labda kama even at 45 mtu anakuwa mchezaji wa timu ya taifa but kama sio ni wazi kwamba vijana ndo wachezaji wazuri kama vile wewe.

mm nimesha zeeka mdogo wangu, hapa nilipo mshale ni mbili kasorobo.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom