Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,086
Mzizi mkavu kuiba huku ni ngumu sana maana watu wanajuana na hata ukiamua kwenda zile sehemu za kupumzikia unajulikana tu kuwa wewe ni mwizi mbaya zaidi zana za vita kupata ni ngumu hivyo kulifanya zoezi zima kuwa gumu,najaribu kuweka akili yangu kwenye kazi ila yule mwanamke kanifanyia mbaya sana.mkuu Joseph Iba tu lakini si unajuwa Za mwizi zake ni siku 40................... ikifika Arubaini yako utakamatwa....... iba lakini uende mbali na unapokaa wasije majirani wakakuchomea kwa mke wako...................