Namna ya kuamsha hamasa ya mwanamke

KEEEEEEEREUWIH! MziziMkavu haya unaona watu hatutafanya kazi leo hapa,naombeaje mwalimu mwenzangu gfsonwin awe na vipindi mpka jioni na mke mwenzangu wa sirini cacico nae awe busy au hata Elizabeth Dominick awe na dili kali kweli kweli wasije huku!
umeona eeeee mke mwenza wa sirini!!! nisindikize makaburini kinondoni nikamuombee mlengwa! hizi topoc za leo za MziziMkavu hizi, kwanza aliye na kei yangu narudia tena anirudishie, siioni hapa nilipo kabisaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
yeah i can imagine ndio mwaelekea winter sasa...
huku ni hatari mvua huu ndio mwezi wake na ikishamalizika mvua itakuja snow barafu hakukaliki huku hakuna cha Krismax wala nini ni barafu mtindo mmoja ni kuvaa nguo nyingi mwilini unakuwa mweupekwa barafu usifanye mchezo nitalitamani joto la Dar watu8 ikifika December 25 hatari Snow ya huku inakwenda mpaka -10 inatoka Sifuri mpak hiyo kitu kaka usicheze............ Ulaya kwa baridi sikupendi kabisa
 
Heeeeeeeeeeey! Peopleeeeeee! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee! Namna gani kuleta mada hizi mida ya kumpa chake kilicho chake Kaisari!!!! Im tryng to concentrate over here!!!!!!!!! NAMNA GANI KUPANDISHANA GENYE MIDA YA KAZI!!!!!!! Nitarudi usiku kusoma kwa umakini!
 
MziziMkavu leo kaamka nazo zikiwa pomoni!! kuja pande za huku mganga wetu wa jadi jamvini upatiwe tiba! kuna vijukuu kule chit chat Asprin atakupatia ambavo havijakaguliwa! lol
 
Last edited by a moderator:
Heeeeeeeeeeey! Peopleeeeeee! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee! Namna gani kuleta mada hizi mida ya kumpa chake kilicho chake Kaisari!!!! Im tryng to concentrate over here!!!!!!!!! NAMNA GANI KUPANDISHANA GENYE MIDA YA KAZI!!!!!!! Nitarudi usiku kusoma kwa umakini!

maandalizi inabidi yafanyike mapemaaa...yaan by the time unarudi home ukiguswa tu vitu vinaamka
 
Polesana wewe upo kwa watu wa uamsho Joseph Uko hakuna mchezo kwa ndugu zangu yakhe wanajuana kwa kila hali usifanye mchezo huko utaozeshwa ndoa ya mkeka usijaribu kabisa.....................
Hapo ndio pabaya zaidi maana huku wanachezeana wenyewe kwa wenyewe sio wengine tukigusa tu utasikia mak........ri hao hawafai kugusa dada zetu.

umeona eeeee mke mwenza wa sirini!!! nisindikize makaburini kinondoni nikamuombee mlengwa! hizi topoc za leo za MziziMkavu hizi, kwanza aliye na kei yangu narudia tena anirudishie, siioni hapa nilipo kabisaaaaaa!

ah!tutapanga siku twende haya masredi haya angekuwepo lol!ah mi staki kulia bana!
 
MziziMkavu
Mkuu walah natengeneza zengwe ofisin la kuumwa nirud home mie...
tena ngoja nianze kumchokodha hapa thru sms....

ahahahahhahhahah MziziMkavu mi niliyajua haya yatatokea muda si mrefu! Mkusa mi nakuunga mkono na miguu hebu jimuvuzishe bana!ah kazi kitu gani banaaaaaa!watu tufe kisa kazi!kazi nchi hii,kwanza nchi yenyewe ishauzwa bora uhamasishe kwa sms! mi ntakuandikia sick sheet bana!nikikumbuka lakini maana na mimi kama vile nataka kuumwa tumbo vile ahahahhahahhahha
 
Last edited by a moderator:
mzizi mkavu,mzizi mkavu.ahsante kwa somo,ila kuna w.ke wengine wanajua ku fake ile mbaya,miguno atakutolea utajua yes,hapa ndio penyewe,kumbe ana mahesabu yake au anajaribu kukuridhisha wewe tu,ujione kidume cha nguvu na kazi unaiweza.
 
nime i copy nitaiifadhi, mpaka nitakapo oa..tena ngoja niitoe photocopy..manake softcopy cku hiz haziaminik saaana.
Aksant mzizi mkavu...
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom