Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,953
- 93,924
hhahahha! labda kama even at 45 mtu anakuwa mchezaji wa timu ya taifa but kama sio ni wazi kwamba vijana ndo wachezaji wazuri kama vile wewe.
mm nimesha zeeka mdogo wangu, hapa nilipo mshale ni mbili kasorobo.
Ooh nimekupata, hapa MMU mie hujitahidi sana kuchangia zile threads ambazo watu huona aibu kutoa ujuzi, uzoefu au uelewa....
Ufahamu wangu wa mambo haya hauna uhusiano wowote na uhalisia wa maisha ya watu8, mimi ni mtu anayependa kujifunza mambo mapya hivyo hunilazimu kusoma sana vitabu, majarida, mitandao n.k ambavyo uhusika na masuala ya mapenzi n.k