Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Tumor ni mass of tissue,which may be solid or fluid filled.Tumor inaweza kuwa na cancer au bila cancer.Tumor zinatokea cells za mwili zikiwa zinakuwa na kujigawanya bila mpangilio.Kama kuna unbalance kwenye cell growth au matatizo kwenye immune system.
Vitu vinavyoweza kusababisha tumor ni:

  1. Benzene and other chemicals and toxins
  2. Drinking too much alcohol
  3. Environmental toxins, such as certain poisonous mushrooms and a type of poison that can grow on peanut plants (aflatoxins)
  4. Excessive sunlight exposure
  5. Genetic problems
  6. Obesity
  7. Radiation exposure
  8. Viruses
Types of tumors known to be caused by viruses are:

  • (human papillomavirus)
  • (hepatitis B and hepatitis C viruses)
Ni dawa zipi zinasaidia kuondoa tumor?
 
nakuwa nawashwa katika mapaja
mpk eneo la vidole vya miguu wkt
mwingine ktk tumbo, najikuna
mno napojikuna vinatoka vipele
ambavyo baada ya muda
vinaungana na kuisha kwa saa 1,2
hata 3 haswa jioni, siku nyingine
naweza kuamka nakuta mdomo
wa juu ama wa chini umevimba
mpk saa 7 mchana hali hy inakuwa
imetoweka.
 
nakuwa nawashwa katika mapaja
mpk eneo la vidole vya miguu wkt
mwingine ktk tumbo, najikuna
mno napojikuna vinatoka vipele
ambavyo baada ya muda
vinaungana na kuisha kwa saa 1,2
hata 3 haswa jioni, siku nyingine
naweza kuamka nakuta mdomo
wa juu ama wa chini umevimba
mpk saa 7 mchana hali hy inakuwa
imetoweka.
Tunaomba majibu
 
Ninasumbuliwa na misuli ya mguu wa kushoto,usiku hasa au nikifanya mazoez,nikiyembea mwendo mfupi kwa kipindi kama cha mwaka sasa,leo nimeenda kwa kairuki nimeambiwa nina upungufu wa madini ya calcium wakati mm ni mlaji saaaaana wa chumvi na dagaa samaki na mayai, maziwa ,inakuwaje hii????I'm so confused!
 
Mke wangu ana tatizo la watoto kufia tumboni..mimba ya kwanza ilifika miezi nane ya pili ikafika miezi saba..je tatizo ni lipi? Je anaweza kuzalishwa mapema ili kuokoa mtoto?? Pia akiwa mjamzito anakosa hamu ya kula
 
Mke wangu ana tatizo la watoto kufia tumboni..mimba ya kwanza ilifika miezi nane ya pili ikafika miezi saba..je tatizo ni lipi? Je anaweza kuzalishwa mapema ili kuokoa mtoto?? Pia akiwa mjamzito anakosa hamu ya kula
akikosa hamu ya kula ajilazimishe tu. ahakikishe anafuata ushauri wa kidaktari wakati wa ujauzito ikiwa ni pamoja na utumiji wa madini ya chuma & folic acid.
pia akapimwe hormones kama ziko sawa
 
Dr hapa nilipo ninasumbuliwa na kuumwa kwa moyo hasa wakati wa baridi na huuma kama unavyosogeza kaa la moto kwenye ngozi.Je tatizo ni nini na ninaweza kupata dawa.Nb bado sijaenda hospitali.
 
Dr hivi ni kwa nini vipimo vya malaria hutofàutiana Kati ya hospital Moja na nyingine? Kwa mfano hospitali ya kwanza unaandikiwa 4 MPS/200 WBC na muda huohuo unakwenda hospitali nyingine unaambiwa 15 MPS/200 WBC.. Ipi ni sahihi?
 
Dr hivi ni kwa nini vipimo vya malaria hutofàutiana Kati ya hospital Moja na nyingine? Kwa mfano hospitali ya kwanza unaandikiwa 4 MPS/200 WBC na muda huohuo unakwenda hospitali nyingine unaambiwa 15 MPS/200 WBC.. Ipi ni sahihi?
kuhesabu vijidudu kwa kuangalia kwenye microscope sio kazi rahisi hivyo wengine huhesabu kwa juu juu tu..
ukiandikiwa 15mps/200WBCs maana yake kwa kila seli nyeupe za damu 200 kuna vidudu vya malaria 15, sasa hii si kazi rahisi hasa unapokuwa na sample za wagongwa wengi na wote wanasubiri majibu ya vipimo.
we hapo tumia tu dawa maana una malaria.
 
Mkuu,nataka nijue dawa ya kutibu lips zinazokuwa nyekundu,painful ,kukauka,vidonda vidogo na sometimes bleeding or at different phases of the situation.
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

A


B


C


D


E



F

KISUKARI NAMNA YA KU-CONTROL SUGAR

Hutokea mara moja moja kuamka sukari iko juu(8-10) nina 55yrs

Aidha kwa sbb zisizoeleweka(Malaria) au kubadilika muda wa kula au chakula hasa matunda/juice au hata kiwango cha chakula .

Hii hutokana na mazingira ya kazi yangu(safari n.k),

Dawa natumia Amarly M2 au Gema 2 asubuhi baada ya breakfast na usk baada Dinner.

Swali langu : je ukijikuta asb mfano sugar iko 9 na unasikia njaa na unahisi mwili uko weak unahitaji kula vizur na ushibe vzr, ni nini cha kufanya ?

1. Kuongeza dawa ? yaani badala x2 unywe x3 ?

2. Kuongeza dawa ? yaani badala 1 tab unywe kidonge 1na nusu x2 tu ?



Tafadhali naombeni USHAURI WENU Dr's na hata wagonjwa wenzangu.
 
Ninasumbuliwa na maumivu ya kichwa upande mmoja na nikiwa na Mafua ule upande wenye maumivu unatoa makamasi yenye mchanganyiko na damu ila tundu lingine la pua halitoi damu.naomba madaktari mnisaidie hili tatizo gani?
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom