Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 739
- 484
Hilo tunda linaitwa bitter melon, sio tikiti maji bali ni tango pori linalotumika kwenye juisi au saladi na chakula. ni chungu na linatumika kutibu magonjwa mengiJamani wana jamii F,nauliza better melon ni tunda gani?