Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Msaada kwa wa wataalam wa dawa 'amoxicilin comprimes dispensibles tablets 250mg. Naomba kujua matumiz kwa mtoto wa miaka 2 na miezi 8
 
Swali;

Nina vipele ambavyo vimeniota kisogoni kwa miaka mingi sasa, ukibikamua vinatoa usaa kidogo na damu zaidi. Baadaya hapo vinakauka kabisa lakini baadaya siku chache hujaa tena.
Je, vinatibika? Na kama vinatibika dawa yake inaitwaje?

Ahsante.
 
Nami nasubiri jibu
 
Doc?,mbona hujanijibu swali langu?
Lips kuwa reddish, kavu na mwasho:- It's an easily fixable problem. Simply see your primary care physician or dermatologist for an anti-yeast medication, hiyo alergy!!
au jaribu kuppaka petroleum jelly can also be applied to restore moisture and heal the area
 
nasumbuliwa fungus kwenye ngozi ya kichwa cha uume,,natumia candiderm naona hainipi matokeo mazuri,,ipi dawa sahihi na nzuri ambayo naweza kutumia
 
Unamaanisha sildenafil(VIAGRA)? Sildenafil ni PHOSPHODIESTERASE-5-INHIBITOR. Kazi yake ni kuinhibit/kuzuia enzyme phosphodiesterase type-5(PDE5) kwenye corpus carvenosum(sehem ya uume), Corpus carvenosa ni part ya erectile tissue iliyopo kwenye uume inayohifadhi damu kwenye uume unaposimama.

Tunapopata msisimko wa kimwili, nerve impulses zinatumwa kutoka kwenye ubongo kwenda kwenye corpus carvenosa, ambapo signal substance Nitrogen monokside(NO) inazuia kuvunjwavunjwa kwa GTP(Guanine-5-triphosphate) - cGMP(Cyclic Guanine monophosphate) inayosababisha muscles zirelax na uume usimame.

Kumbuka cGMP inavunjwavunjwa na PDE5. Kwahio PDE5 ikiwa inhibited na phosphodiesterase inhibitor/sildenafil kunakuwa na muongezeko wa cGMP inayosababisha uume kusimama.
Mkuu naona upo vizuri kwenye pharmacology
 
nasumbuliwa fungus kwenye ngozi ya kichwa cha uume,,natumia candiderm naona hainipi matokeo mazuri,,ipi dawa sahihi na nzuri ambayo naweza kutumia
Mkuu hakikisha nguo zako za ndani unazianika juani na zinakauka kabisa pia uwe unabadilisha nguo za ndani mara kwa mara angalau uwe nazo zaidi ya moja.

Halafu ungeelezea uliupataje huo ugonjwa maana kama sio vikojolea vya waawake mimi sijui pia uwe unatumia condom hivyo vidimbwi sio kabisa
 
dah kwel vikojolea ni nuksi nahisi nami ndo nilipoutoa huko kama usaf ninao sana,,hakuna namna ingine ni vikojolea tu,,ila kwa condom natumiaga au huenda zilikuwa na zenyewe (condom) zimesha expire,,maana hii ki2 cjawah kuipata isije ikakata hiki kichwa,nimekoma
 
Pole mkuu hayo ndio matumizi mabaya ya condom na una bahati ungeshaukwaa ukimwi.
siki nyingine uitumie condom vizur ili uepuke magonjwa kumbuka ikitumiwa vizur ndio hupunguza kasi ya maaambukizi pole sana mdogo wangu we uko rafu inaonyesha
 
naombeni mnisaidie dawa ya macho yanauma chqnzo kuchati,screen, na kopyuta nitafte dawa gain lnaombeni msaada
 
naombeni mnisaidie dawa ya macho yanauma chqnzo kuchati,screen, na kopyuta nitafte dawa gain lnaombeni msaada
Hujaeleza kuwa unavyo chat wakati gani? kama ni usiku kwenye giza au muangaza? kunywa supu ya mchicha au juisi ya karoti kwa wingi itakusaidia tengeneza mwenyewe usinunuwe juisi za Maboksi hazifai. Maumivu yakizidi kamuone Daktari.
 
Nina UTI KILA NIKIPEWA DAWA NAAMBIWA NILUDI BAADA YA SIKU KAZAA NIKILUDI NAPIMWA NAAMBIWA BADO NINA UTI DAWA NAMALIZA SHIDA NN
 
Habari wana JF...? Mke wangu alikuwa mjamzito lakini ilivyofikia karibia na miezi miwili na nusu alianzana kubreed na tulipokwenda hospitali kupima aliambiwa ana UTI pia damu ndogo na akaandikiwa dawa ya Salbutamol,Spamclox na Chupa ya maji flani hivi ya kuongeza damu lakini alivyokuwa anatumia dawa hizo breed ndio ilizidi kutoka tulirudi tena pale hospitali kumueleza Dr.lakini kwa bahati mbaya tulimkuta Dr. mwingine sio yule ambaye aliyetuandikia zile dawa tulimueleza yule tuliyemkuta na alisema aendelee tu kutumia na mwisho wa siku mke wangu alitokwa na kitu kama nyama hivi alipokwenda kujisaidia haja ndogo. Sasa sijajua hizi dawa zilikuwa zinatibu tatizo au zilikuwa zinatoa kiumbe kilichokuwepo? Naomba jibu ndugu zangu
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

A

B

C

D

E

F
Dr.naomba kujua nimepima mkojo nikaambiwa nina UTI na ishaanza kushambulia figo nini tiba yake
 
Dr.naomba kujua nimepima mkojo nikaambiwa nina UTI na ishaanza kushambulia figo nini tiba yake
Nitumie dawa gani nzuri niliandikiwa dawa mara ya kwanza baada ya kumaliza dozi nikaenda kupima nikakuta bado ipo nikapewa tena dawa sasa naona bado tatizo halijaisha naomba ushauri wako na dawa sahihi ya kutumia
 
Back
Top Bottom