ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,122
- 5,332
yaa sio hizoAnhaaa kumbe. So ni zile kende mbili zilizo ndani ya pumbu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaa sio hizoAnhaaa kumbe. So ni zile kende mbili zilizo ndani ya pumbu?
Sturving Blood Sugar yangu ni 7.1 wakati rbs hufika 11.7 which position am I? I do enough exercises, jogging gym 3 times a week yet at night I go for urage 2-3 times hii ni kufikia asubuhi what should I do to stabilize the situation I,e not waking up at night for urage and lower my be am over 61 now the situation is endangering to go diabetic.Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana.
A
B
C
D
E
F
Mi mwenyewe natafuta hiyo tiba vipi hujaipata tu?Nauliza et kuna fugus za lip za mdomo km zipo tiba yk ni ipi
Upikaji wa punyeto pia husababisha kuwa na umbile dogoInategemea Je umbile hilo dogo umezaliwa nalo au limekupata ukubwani kwa maana ya kwamba umbile lilikuaga kubwa then ghfla likawa dogo. Kama limekua dogo ghfla basi kuna tatizo la kiafya ambalo pengine laweza tibika. Lakini kama umbile Ni dogo tu tangu utotoni basi hilo Ni umbile lako tu Ni kuliacha kama lilivyo. Nasikiaga kuna dawa za kienyeji za kurefusha hiyo kitu pia. Anyway me sio doctor ila nimejaribu kureason tu maana naona hakuna aliyejibu swali lako had sasa doctor yuko busy labda yuko bar au safarini
Kivipi? Linatibika?Upikaji wa punyeto pia husababisha kuwa na umbile dogo
Tiba yake moja wapo ni kuacha punyeto unarudi kua katika umbile la awli ila itachukua mdaKivipi? Linatibika?
Kwani nini kinachotokea Wakati wa punyeto kinachopelekea uume kuwa mdogo?Tiba yake moja wapo ni kuacha punyeto unarudi kua katika umbile la awli ila itachukua mda
acha punyetoKivipi? Linatibika?
Mi sipigi hiyo kitu. Tunasaidia kujibu swali la member mmoja aliyeomba asaidiwe tatizo hilo. Soma vzr vyanzo vya majadilianoacha punyeto