mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
sioni sababu ya kumpinga mleta hoja,
ki ukweli sugu hana msismamo hata kidogo.
ki ukweli sugu hana msismamo hata kidogo.
Niliposoma kwa haraka nilidhani una hoja ya msingi. Lakini nadhani andika vizuri ueleweke vizuri. Kwa kiongozi anayejali masilahi ya wengi kama Sugu asingeweza kuendelea kushika bango kuibiwa lile dili. Nadhani anajua vizuri hata akienda mahakamani hakuna atakachopata. Waswahili wana usemi mzuri unaosema "MKONO USIOWEZA KUUKATA UUBUSU"! Kifedha kapoteza lakini mantiki bado ipo! Big Up Sugu!Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki.....
Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......
Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.
MoD tuondoleee Huu u.puuzi !JF is for great thinkers!!
kwaio waberoya unataka kusema Sugu amefanya makosa kupatana na Ruge??vipi kuhusu zile comment zako za nyuma kuhusu huu mgogoro!
Sitaki kuamini zile chuki zenu zipo hadi kwa Sugu.
Wakati mwingine mnamlaumu Sugu bure..tunapaswa kujiuliza,hivi Sugu alikuwa anapigania nini? alikuwa anapigana na mtu au anapigania hoja..kama ni mtu kweli kakosea maana Ruge bado ni mzima,lakini kama ni hoja sioni kama kuna tatizo,hivi kama hoja zimekubaliwa na kuonekana kuwa za msingi mnataka Sugu aendeleze mapambano na Ruge ya nini? Wakati mwingine tuwe tunatoa hoja tukiwa na msingi wa kuitetea...Ruge amesarenda sasa mnataka Sugu aendeleze mapambano wakati hoja zimejibiwa?
Kumbukeni kuwa mwanzo mwa hii movement wengi wetu atukumuelewa Sugu,na inawezekana hata leo hii wengi wetu hatuelewi VINEGA wana lengo gani hasa..lengo lilikuwa ni madai ya wasanii,na hayo yaliyokuwa yanaminywa na Ruge kwasababu ya urafiki wake na viongozi wa nchi hii ameyakubali na kuyaacha..nadhani mapambano yaendelee kwenye haki miliki nk...na ndio maana Sugu amesema kwenye taarifa yake kuwa mapambano bado yanaendelea kuwanyoosha virusi wengine waliobaki...hiki kirusi cha kwanza kime-skaniwa na kimepatikana na kufutwa..sasa mnataka tuendelee ku-scan file ambalo tayari tumemaliza kazi? twendeni kwa wengine...
Mimi namuunga mkono Sugu na twende kwa virus wengine....