Najuuta ku mpigia kura sugu awe mbunge wangu

Well protected...

Let's be fair to ourselves as individuals and let's be fair to our nation as well bcoz we tend to be blind of not to see the reality just because it's POLITICS and it doesn't Matter what level of education is needed to be an MP,

Honestly we don't know what we want!
Means of achieving what we want.
Priority and goals to be achieved .

By having our needs well stated and highlighted that's where *we can decide who do we need as our Representative.

Mind you, this doesn't reflect SUGU as SUGU and Chadema . HELL NO

This is our major problem we as Tanzanians, hivi unamchagua mtu Kama Prof . Maji marefu what do you expect ?

The funniest thing is even wale ambao wanaupeo na wamekwenda shule nao wamekua washabiki wa Chama badala ya kua results and standard oriented.

Sasa itafikia stage hata km Chama kiksimamisha TAAHIRA tutampigia kura kwani hatujui mahitaji yetu Tunashabikia tu,

Kwanini sehemu nyingine kuna Qualifications?

Kama tumeamua kuwa watu wa kutojali then we are Ready to face the facts.

Na Kama a mere Standard seven can be an MP, then why questioning his delivery and production?

Sasa I'm not saying it takes an educated to deliver but atleast we should consider Academic qualifications ili hata ukimhukumu mtu unakua unamtendea haki!

Nahili ni tatizo la Chadema na CCM na vyama vyote sasa endeleeni kutukanana mpaka mpate Aina ya ukichaa unaotokana na kupenda kitu kiasi cha kutokuona mapungufu.
 
Wakati mwingine mnamlaumu Sugu bure..tunapaswa kujiuliza,hivi Sugu alikuwa anapigania nini? alikuwa anapigana na mtu au anapigania hoja..kama ni mtu kweli kakosea maana Ruge bado ni mzima,lakini kama ni hoja sioni kama kuna tatizo,hivi kama hoja zimekubaliwa na kuonekana kuwa za msingi mnataka Sugu aendeleze mapambano na Ruge ya nini? Wakati mwingine tuwe tunatoa hoja tukiwa na msingi wa kuitetea...Ruge amesarenda sasa mnataka Sugu aendeleze mapambano wakati hoja zimejibiwa?

Kumbukeni kuwa mwanzo mwa hii movement wengi wetu atukumuelewa Sugu,na inawezekana hata leo hii wengi wetu hatuelewi VINEGA wana lengo gani hasa..lengo lilikuwa ni madai ya wasanii,na hayo yaliyokuwa yanaminywa na Ruge kwasababu ya urafiki wake na viongozi wa nchi hii ameyakubali na kuyaacha..nadhani mapambano yaendelee kwenye haki miliki nk...na ndio maana Sugu amesema kwenye taarifa yake kuwa mapambano bado yanaendelea kuwanyoosha virusi wengine waliobaki...hiki kirusi cha kwanza kime-skaniwa na kimepatikana na kufutwa..sasa mnataka tuendelee ku-scan file ambalo tayari tumemaliza kazi? twendeni kwa wengine...

Mimi namuunga mkono Sugu na twende kwa virus wengine....
 
Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki.....

Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......

Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.
Niliposoma kwa haraka nilidhani una hoja ya msingi. Lakini nadhani andika vizuri ueleweke vizuri. Kwa kiongozi anayejali masilahi ya wengi kama Sugu asingeweza kuendelea kushika bango kuibiwa lile dili. Nadhani anajua vizuri hata akienda mahakamani hakuna atakachopata. Waswahili wana usemi mzuri unaosema "MKONO USIOWEZA KUUKATA UUBUSU"! Kifedha kapoteza lakini mantiki bado ipo! Big Up Sugu!
 
Mtoa hoja kwa vyovyote vile alibugia sumu nyingi kutoka kwa Sugu kiasi cha kuwa na bifu kali na Ruge pasipofahamu kuwa issue ilikuwa wanagombea maslahi yao tu.
 
I do not think kama utaeleweka kwa wanambeya, ingawa naamini umefikiria mbali sana na kwa hili nakubaliana na wewe kwa 100% kwani kwa mtu kama sugu kushindwa kudeliver ni likely na kufanikiwa ni sawa na miujiza.
 
kwaio waberoya unataka kusema Sugu amefanya makosa kupatana na Ruge??vipi kuhusu zile comment zako za nyuma kuhusu huu mgogoro!

Sitaki kuamini zile chuki zenu zipo hadi kwa Sugu.

sio kosa kupatana....nikosa kubwa kushawish wenzio na kuwasaliti....hatamimi simsupport kabisa
 
sioni tatizo kwanini ushindwe kumpigia kura ,kama tatizo ni kunyeshewa na mvua hizo ni hobby zako ungekaa nyumbani kwako yasingekukuta haya .bado una nafasi ya kumpigia kura kama ulivyofanya mwanzoni .tafakari:poa
 
Wakati mwingine mnamlaumu Sugu bure..tunapaswa kujiuliza,hivi Sugu alikuwa anapigania nini? alikuwa anapigana na mtu au anapigania hoja..kama ni mtu kweli kakosea maana Ruge bado ni mzima,lakini kama ni hoja sioni kama kuna tatizo,hivi kama hoja zimekubaliwa na kuonekana kuwa za msingi mnataka Sugu aendeleze mapambano na Ruge ya nini? Wakati mwingine tuwe tunatoa hoja tukiwa na msingi wa kuitetea...Ruge amesarenda sasa mnataka Sugu aendeleze mapambano wakati hoja zimejibiwa?

Kumbukeni kuwa mwanzo mwa hii movement wengi wetu atukumuelewa Sugu,na inawezekana hata leo hii wengi wetu hatuelewi VINEGA wana lengo gani hasa..lengo lilikuwa ni madai ya wasanii,na hayo yaliyokuwa yanaminywa na Ruge kwasababu ya urafiki wake na viongozi wa nchi hii ameyakubali na kuyaacha..nadhani mapambano yaendelee kwenye haki miliki nk...na ndio maana Sugu amesema kwenye taarifa yake kuwa mapambano bado yanaendelea kuwanyoosha virusi wengine waliobaki...hiki kirusi cha kwanza kime-skaniwa na kimepatikana na kufutwa..sasa mnataka tuendelee ku-scan file ambalo tayari tumemaliza kazi? twendeni kwa wengine...

Mimi namuunga mkono Sugu na twende kwa virus wengine....

Huo ndio ukweli! Na Sugu,hakuchaguliwa huko Mbeya,kwa sababu ya kupambana au kwa issue ya Ruge! Na hilo BIFU,alikuwa anawawakilisha wasanii wote,wanaodhurumiwa. Njia ya ufumbuzi,imeonekana. Aendelee kumkaba koo Ruge kwa lipi tena? Na,nina wasiwasi na wanaompinga sasa,kama walikuwa wanamuunga mkono kabla!
 
Hivi ukipigania haki na ukapewa basi ukatae? Ni mawazo ya masaburi kudhani kuwa jitihada alizofanya Sugu ziishie kutaka maisha ya mabifuuu tuuu wala hakuna kupata. Kwanza wewe sio shabiki wa Sugu, lau ungekuwa shabiki wa Sugu ungesapoti track yake ya "Imetosha sasa" aliitoa na Profesa J. Hivi agenda yako nini hasa maana nikikusoma uanonekana ni kama wale wasiomtakia mema Sugu hivi. Ulikerwa sana na ushindi wake wa kisiasa na sasa unachanganya mambo na kujifanya eti ni mpiga kura wake.
 
kwa mpango huu tuwaache wafu wakazikane wenyewe, ukizingatia ccm wabishi kiana cdm hawaambiliki hivyo wanastahili kuongozana ktk safari yao ya kifo
 
Sugu rais mbeya nchi, umetumwa humu jamvini ili kuja kuleta propaganda za magamba.
 
Back
Top Bottom