Najuuta ku mpigia kura sugu awe mbunge wangu

Kutokana na uamuzi wa sugu kufikia muafaka na LUGE kumeleta utata mkubwa sana wa sintofaham juu ya hatma ya VINEGA na kusababisha mvulugano.

Mnamo mida ya saa 3 usiku kwenye ofis ya MAPACHA iliyopo MWENGE msikitin palifanyika kikao cha zarula cha VINEGA juu ya uamuzi wa sugu kuna walio pinga na wengine waliunga mkono matokeo yake majibishano makali ya maneno yaliyokuwa na vitisho yalitawala hali iliyopelekea kukwidana mashati na kutaka kutandikana makonde.

Vinega nilio bahatika kuwaona ni DOTO,MKOLONI,KULWA,JAMES.
Kikao hicho kiliisha kwa style hiyo ambapo mkolon aliingia kwenye gari la sugu na kutokomea kwa kasi ya ajabu.Ila sugu yey hakuwepo.
 
Mawingu hawaishi visa.
 
Ukisikia chukua chako ndo hiyo sugu kawapiga blue baa wenzake.

Sugu hana cha kupoteza kakipata alichokitaka ka amua kukaa kando kazi kwao vinega walio bakia kama walikuwa bendera fuata upepo bora wavunje mlingoti ili wasipepee tena.

Ujue sugu alikuwa anaumia sana jins alivyopigwa bao la kisigino na LUGE kwenye mradi wa maralia haikubaliki kaitwa katulizwa na kupewa kidogo dogo kakausha.

Wahenga wanena
ATAFUTAE HACHOKI AKICHOKA UJUE KESHAPATA
 
yaani mnajifanya hamjui mtoa hoja anasema nini?

nyie chekeni na wanasiasa!!!

kwaio waberoya unataka kusema Sugu amefanya makosa kupatana na Ruge??vipi kuhusu zile comment zako za nyuma kuhusu huu mgogoro!

Sitaki kuamini zile chuki zenu zipo hadi kwa Sugu.
 
sio kweli. Ungekua shabiki usingechukizwa na mafanikio yake. Ungemuunga mkono pale anapo timiza malengo yake.

Well protected...

Let's be fair to ourselves as individuals and let's be fair to our nation as well bcoz we tend to be blind of not to see the reality just because it's POLITICS and it doesn't Matter what level of education is needed to be an MP,

Honestly we don't know what we want!
Means of achieving what we want.
Priority and goals to be achieved .

By having our needs well stated and highlighted that's where we can decide who do we need as our Representative.

Mind you, this doesn't reflect SUGU as SUGU and Chadema . HELL NO

This is our major problem we as Tanzanians, hivi unamchagua mtu Kama Prof . Maji marefu what do you expect ?

The funniest thing is even wale ambao wanaupeo na wamekwenda shule nao wamekua washabiki wa Chama badala ya kua results and standard oriented.

Sasa itafikia stage hata km Chama kiksimamisha TAAHIRA tutampigia kura kwani hatujui mahitaji yetu Tunashabikia tu,

Kwanini sehemu nyingine kuna Qualifications?

Kama tumeamua kuwa watu wa kutojali then we are Ready to face the facts.

Na Kama a mere Standard seven can be an MP, then why questioning his delivery and production?

Sasa I'm not saying it takes an educated to deliver but atleast we should consider Academic qualifications ili hata ukimhukumu mtu unakua unamtendea haki!

Nahili ni tatizo la Chadema na CCM na vyama vyote sasa endeleeni kutukanana mpaka mpate Aina ya ukichaa unaotokana na kupenda kitu kiasi cha kutokuona mapungufu.
 
Hi,Kabla sijachangia chochote naombeni mnieleweshe Hiyo VINEGA na Antvirus ni nini? na zinahusu nini?,na inahusika vipi na upatanisho huu kati ya SUGU na RUGE, b'se kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba ugomvi kati ya watu hao wawili ulianza kitambo sana kabla hata ya uchaguzi mkuu wa 2010 na sikuwahi kusikia lolote kuhusu hicho kitu VINEGA KWAMBA ILIKUWA NDO SOURSE YA UGOMVI?,please nielewesheni katika hilo.
 
Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki.....

Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......

Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.

Nadhani sasaivi Sugu anahaha kuziondoa albam zake za matusi (ANTIVIRUS) sokoni ili kumtumikia Ruge vizuri
 
sio kweli. Ungekua shabiki usingechukizwa na mafanikio yake. Ungemuunga mkono pale anapo timiza malengo yake.

Well protected...

Let's be fair to ourselves as individuals and let's be fair to our nation as well bcoz we tend to be blind of not to see the reality just because it's POLITICS and it doesn't Matter what level of education is needed to be an MP,

Honestly we don't know what we want!
Means of achieving what we want.
Priority and goals to be achieved .

By having our needs well stated and highlighted that's where *we can decide who do we need as our Representative.

Mind you, this doesn't reflect SUGU as SUGU and Chadema . HELL NO

This is our major problem we as Tanzanians, hivi unamchagua mtu Kama Prof . Maji marefu what do you expect ?

The funniest thing is even wale ambao wanaupeo na wamekwenda shule nao wamekua washabiki wa Chama badala ya kua results and standard oriented.

Sasa itafikia stage hata km Chama kiksimamisha TAAHIRA tutampigia kura kwani hatujui mahitaji yetu Tunashabikia tu,

Kwanini sehemu nyingine kuna Qualifications?

Kama tumeamua kuwa watu wa kutojali then we are Ready to face the facts.

Na Kama a mere Standard seven can be an MP, then why questioning his delivery and production?

Sasa I'm not saying it takes an educated to deliver but atleast we should consider Academic qualifications ili hata ukimhukumu mtu unakua unamtendea haki!

Nahili ni tatizo la Chadema na CCM na vyama vyote sasa endeleeni kutukanana mpaka mpate Aina ya ukichaa unaotokana na kupenda kitu kiasi cha kutokuona mapungufu.

sio kweli. Ungekua shabiki usingechukizwa na mafanikio yake. Ungemuunga mkono pale anapo timiza malengo yake.

Well protected...

Let's be fair to ourselves as individuals and let's be fair to our nation as well bcoz we tend to be blind of not to see the reality just because it's POLITICS and it doesn't Matter what level of education is needed to be an MP,

Honestly we don't know what we want!
Means of achieving what we want.
Priority and goals to be achieved .

By having our needs well stated and highlighted that's where *we can decide who do we need as our Representative.

Mind you, this doesn't reflect SUGU as SUGU and Chadema . HELL NO

This is our major problem we as Tanzanians, hivi unamchagua mtu Kama Prof . Maji marefu what do you expect ?

The funniest thing is even wale ambao wanaupeo na wamekwenda shule nao wamekua washabiki wa Chama badala ya kua results and standard oriented.

Sasa itafikia stage hata km Chama kiksimamisha TAAHIRA tutampigia kura kwani hatujui mahitaji yetu Tunashabikia tu,

Kwanini sehemu nyingine kuna Qualifications?

Kama tumeamua kuwa watu wa kutojali then we are Ready to face the facts.

Na Kama a mere Standard seven can be an MP, then why questioning his delivery and production?

Sasa I'm not saying it takes an educated to deliver but atleast we should consider Academic qualifications ili hata ukimhukumu mtu unakua unamtendea haki!

Nahili ni tatizo la Chadema na CCM na vyama vyote sasa endeleeni kutukanana mpaka mpate Aina ya ukichaa unaotokana na kupenda kitu kiasi cha kutokuona mapungufu.
 
Mnafiki awe chakula cha mamba! nyie nyie mnaojidai kumpinga sugu hapa kwa kupatana na Ruge...kipindi kile mlikuwa mnapinga kitendo cha yeye kutoelewana na ruge..sasa mlikuwa mnatakaje? Mlichokuwa mnakipinga kipindi ile kimeisha naona mmegeukia upande wa pili! Hamjulikani mnataka nini! Kutwa kucha nyuma ya keyboard kulalamika na kuponda tu!
Chagueni moja enyi wanafiki!
 
Yaliyopita si ndwele tugange yajayao!!!!Hata vitabu vinatufundisha tuwe na roho ya kuzimaliza tofauti zetu na kusameheana +kusahau kabisa!!!One love Sugu,One love Ruge amani ya ukweli kwa vinega.Angalizo naomba Ruge na clouds media group wawachukulie wasanii wa vinega poa na kuwatendea haki sawa na wasanii wengine once wanapotoa tracks zao,wasikumbuke zile dis zilizokuwepo awali,kama watatoa track ambayo inafaa kuchezwa wasiiache kapuni!!
 
pole mkuu usimchague tena 2015 .. jamaa anamaliza kipindi chake akizunguka kuzindua album yake ya antivirus:lol:
 
tulikuwa nae safari moja,
sugu keshatutosa, sasa inakuwaje hapa.
Jitahidini kuogelea na mbele namwona mamba ameachama kinywa chake tayari kwa malisho,nguvu zimewaishia na sioni hata wakuwabackup!!!Teh teh teh,tih tih tih!!
 
Back
Top Bottom