Najuuta ku mpigia kura sugu awe mbunge wangu

sisi soko matola tunamkubali we utakuwa wa same ,mbunge wako ni hahahah
 
Sijaelewa kwanini watu hawapendi mapatano.
Sugu alikuwa hapatani na ruge kwa sababu flani zilizo wazi kwa wote,sasa kama pande zote wameafikiana kulimaliza hilo, tatizo liko wapi? Chaaa,
 
Sijaelewa kwanini watu hawapendi mapatano.
Sugu alikuwa hapatani na ruge kwa sababu flani zilizo wazi kwa wote,sasa kama pande zote wameafikiana kulimaliza hilo, tatizo liko wapi? Chaaa,

Msome Peen Lawyer ili ujue kwanini baadhi ya watu wanaona sugu kauza mechi
 
poleni vinega mwenzenu keshapata alichokua anapigania nyie endeleleeni mpaka na nyie mpate chenu.
 
Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki.....

Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......

Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.

Kilichonifanya nicheke ni hicho kiswairi chako kizuri sana
 
Sugu ni msaliti!asingekuwa msaliti angewashirikisha vinega wote lakini sasa hivi alijichimbia peke yake na hao kina Ruuuge wakati kwenye movement kila k2 alikuwa akiwashirikisha!hata mwenyewe kakiri udhaifu kwenye wall ya fb!!hivyo sugu ni kiongozi mganga njaa!!Kuhusu vinega wengine ninawapa shavu ile kinoma!ila wamwambie sugu asiendelee kuwachoresha kiwaki vinega wenzake!wengi wenu mtabisha tu maana mmechanjiwa ubishi!amini usiamini sugu ni coward ili kuthibitisha hili ingieni kwenye ukurasa wake wa fb maneno yake full utata na amekubali hisia za magenge kwamba alikosea kufanya mazungumzo kuwa siri!
 
Tembelea hizo attachment chini kabla ya kutoa maoni
 

Attachments

  • SUGU.JPG
    SUGU.JPG
    166.2 KB · Views: 54
  • SURU.PNG
    SURU.PNG
    48.5 KB · Views: 49
hv inakuwaje? ilitakiwa wafe bila kupatana au? acheni kushabikia uadui! mungu hapendi hivyo!
 
Kwenye siasa, there is neither permanent enemy nor permanent friend.
Bifu la Sugu haliwahusu wana mbeya, ni la wasanii wanaodhulumiwa na wanaowadhulumu na sababu zinajulikana wazi. Sugu amesema waliyokuwa wanayapigania VINEGA ( malipo, studio n.k) yote yamekubaliwa, sasa mnataka watu waendelee kutukanana mpaka lini?
Vita huwa inaisha pale malengo yake yanapotimia. CHA MUHIMU NI KUONA HUO UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YAO, Ikiwa kinyume ndo turudi jamvini na kutoa lawama kama hizi
 
yaani mnajifanya hamjui mtoa hoja anasema nini?

nyie chekeni na wanasiasa!!!
 
Back
Top Bottom