Najuuta ku mpigia kura sugu awe mbunge wangu

Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki..... Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.

Mff!!! kaka kapige mswaki kwanza. Hivi darasa la saba ulibahatika kumaliza? Naona kama bado vile!!
 
JOSEPH MBILINYI mbunge wa mbeya mjini wana MAHUSIANO na yule mkurugenzi wa zamani wa bank kuu aliyeiba mipesa miaka ya 80 kisha akachoma bank kupoteza ushaidi?msipo nijibu hapa ntaweka thread wana jf waichangie.
Baada ya hapo tutapata jibu la mleta hoja,but just remember(MTOTO WA NYOKA NI NYOKA)
 
Ilete hoja yako tuijadili.
 
Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki..... Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.
hebu kwanza nifafanulie hayo maneno yenye red fonts ili niweze kuchangia vizuri please!!
 
kichwa cha habari na contents haviendani, nilifikiria utaongea vitu vya maana. wewe umechukia kwa mr2 kumaliza uhasama na ruge wewe kweli hufai
 
Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki..... Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.

Ama kweli ishi uyaone.........leo nimeyaona
 
kalipwa fidia y asisign?
 
Wewe lazima utakuwa ni miongoni mwa wale form four waliomaliza mwaka huu. Na sijui kwanini lakini nashindwa kuilazimisha akili yangu isiamini kuwa umesoma AL-FARUQ SEMINARY.
 
sio kweli. Ungekua shabiki usingechukizwa na mafanikio yake. Ungemuunga mkono pale anapo timiza malengo yake.

Unasapoti "cause" ama "person"? Kwa tunaosapoti cause sapoti yetu hukatika pale person aliyekuwa anaji identfy na respective cause anapoikacha/itosa.
 
wewe ulitaka bifu liendelee hadi kaburini? sasa hivi tuna ukurasa mpya,tunasonga mbele kwani tulicho kihitaji ndio hicho kimekuja,sasa wewe unataka kuturudisha nyuma
 
One thing I have learnt from this: don't mess with clouds, sidhani kama vinega ni washindi kama wanavyotuaminisha katika hili ingawa I support their cause.

Inategemea na walichokua wanapigania vinega,kama yameafikiwa basi itakua ni washindi,nimesikia studio iliyojengwa na serikali tayari inatoka mikononi mwa tht!
 
Chuki binafsi tu hizi, kwani wakati ana bifu na Ruge huko mbeya mlikuwa mnafaidika kitu gani ambacho sasa mtakikosa? au mnaona utaaamu watu wakiwa wana bifu? hamjui kuwa wagombanao ndio wapatanao? Ndugu wakigombana wee beba jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune, sio kushobokea mambo binafsi ya watu
 
Huna hadhi ya kumpigia kura Mr II wewe na uzee wako huo wote. Great Stinker wa hapa JF huoni aibu kuibuka na hicho Kiswahili cha ki-Kuria huku ukijitia kujadili mambo ya Mbeya kwa Kamanda Sugu?

Wewe usituletee mzaha sisi Wakurya, hatushindwi kukupata tukiamua kukuadhibu halafu tutakufundisha Kiswahili kilichonyooka vilevile.
 
Back
Top Bottom