Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

Kwani kakufanya nini hadi utamani kunywa damu yake?

Hata hivyo kama ni mambo ambayo unaona ni very personal basi funga hii thread ili umalizane naye peke yako!!

Ila uangalie vizuri usije ukaenda kumtoa roho ukapoteza yako....Kumbuka kuandika wosia kabla ya kufanya uamuzi wowote!
 
Huyu dada kila akishapiga chupa zake za konyagi anakuja na mambo ya ajabu mara nimemkopesha mume wangu hataki kulipa,mume kumuua mwanetu,kanizuia kuingia kwangu kazungusha ukuta kwa hela zangu mradi vurugu tupu na ukimuuliza maswali anataka um-pm,ukimshauri hataki. Nadhani ni mtu anayependa kuonewa huruma mjomba wangu anawaita tumefiwa type lol !
 
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!

Becareful..kuna uwezekano mkubwa una "stress" ya nguvu. Kumbuka vyanzo vya stress ni vingi mfano mapenzi, uchumi, kazi, shule, biashara, jamii etc.....lakini kwa hapa wewe binafsis unawezekana umegundua hilo moja tu ulilosema hapo juu na hivyo kuhamisha hasira zako kwa kitu kimoja au mtu mmoja ambacho ni "catalyst" nadhani lugha sahihi ni kichocheo. Kwa kufanya hivyo unaweza kuamua kumfanyizia huyo jamaa lakini ukabakia kushindwa kuondoa stress uliyonayo yaani mambo yakabaki kuwa mabaya na hakuna amani moyoni.

Anyway, that's my view. Ukweli unaujua wewe mwenyewe na utaumaliza wewe mwenyewe, lakini kumbuka jino kwa jino mara nyingi uchochea moto na sio kuzima moto.
 
naomba ruhusa kuitumia hiyo ya uncle wako, ''tumefiwa type'', sounds yummy,lol!

Huyu dada kila akishapiga chupa zake za konyagi anakuja na mambo ya ajabu mara nimemkopesha mume wangu hataki kulipa,mume kumuua mwanetu,kanizuia kuingia kwangu kazungusha ukuta kwa hela zangu mradi vurugu tupu na ukimuuliza maswali anataka um-pm,ukimshauri hataki. Nadhani ni mtu anayependa kuonewa huruma mjomba wangu anawaita tumefiwa type lol !
 
kuna mod anawindwa hapa, jamani mods wangepewa ulinzi,lol

MG, kama ni yale mapenzi yetu ya kwenye pm si ungemchinjia tu huko huko chumbani ukanywa na kisusio?
Ni halisi.maudhi,ubabe dharau,wwizi,utapeli ndo vinavyochochea.sijui kama mtamwona tena hapa jf!
 
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
Muombe Mungu akushindie, maana unaweza kuua mtu
 
kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kiujazacho moyo wake....

Huyu dada nakumbuka alikuwa na bifu na drphone hapa mara ya mwisho kuwasoma. Sasa naona karibu watauana.
 
kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kiujazacho moyo wake....Huyu dada nakumbuka alikuwa na bifu na drphone hapa mara ya mwisho kuwasoma. Sasa naona karibu watauana.
this time labda akimbilie machame.but ustaarabu nao una mwisho
 
likizo??how?????
Saaa nyungine umekaa sana darasani Umechukua notice nyingi sana sasaKila kitu unasoma mara mbili mbili hakunaKinachopanda sababu umechoka..Unachofanya unatoka nje kupata fresh airLabda na maji kidogo ukirudi unawezaKu concentrate na ku process vitu vema zaidi..
 
pole mwaya, dawa ya moto ni moto kwani ni nani yeye mpaka akufanye uwe na mastress yote hayo lol

kama kakutapeli na wewe mtapeli, kama kakudharau na wewe mdharau, kama kakuibia na wewe mwibie, unamwogopa nini

umeyakubali mwenyewe bana
 
Msiniite kwenye ushahidi, naondoka sijasikia wala kuona kitu! Jela inakuita.
 
Neno la Mungu lasema; "Usikubali kushindwa na ubaya, bali ushinde ubaya kwa wema." - Warumi 12:21

***Nakushauri uupitie mlango mzima wa 12, utapata amani ya moyoni, it teaches a lot on how to live with people, tena binadamu wenye maudhi!!!
 
My dia,anaweza akawa amekutendea mabaya mengi na unayajua lakini thamani ya yote hayo mabaya haifikii uhai wako wala utu wako sasa kwa nini ujishushe ili umtendee mabaya,just ignore him/her,unathamani kuliko yeye,kaa chini sali mwambie Mungu akusaidia naamini atakusaidia,hapa jf tunakupenda tena sana usipoteze muda,hakukuumba huyo,
 
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!

Mary put it clear what is your problem?
The magnitude of the problem will lead people on how to advise you. Majaribu yanaweza kuwa mengi na ushauri wa watu utakuwa tofauti sana.

All in all, hakuna haja ya kulipa mabaya yaani jini kwa jino. There are other opportunities waiting for your out there...
 
Back
Top Bottom