Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

yaani leo nakumbuka jinsi ambavyo nilikuwa naandika huu ujumbe.nilikuwa nina hali mbaya sana.nimenyang'anywa kila kitu,mgonjwa na kumpoteza mwanangu ambae aliuliwa na mjumbe wa shetani.lkn Mungu ni mkubwa sana kwani alinisaidia sijawahi kuona.Walionifanyia ubaya wameaibika wao.wanatamani ardhi ipasuke waingie.hali zao mbaya sana.kila walichoniibia hata sijui kimeenda wapi.jamani malipo ni hapahapa duniani.usimtendee mtu ubaya kwani kuna malipo.loh!
malipo duniani mpendwa...
 
duh! pole mnooooooooooo ila mi nakushauri usifanye unachotaka kufanya huku ukiwa na hasira nyingi kiivo
 
Back
Top Bottom