Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

Neno la Mungu lasema; "Usikubali kushindwa na ubaya, bali ushinde ubaya kwa wema." - Warumi 12:21***Nakushauri uupitie mlango mzima wa 12, utapata amani ya moyoni, it teaches a lot on how to live with people, tena binadamu wenye maudhi!!!
kwa kuongezea, hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu...nimesahau ni Mithal ngapi.
 
this time labda akimbilie machame.but ustaarabu nao una mwisho
Achana na roho ya kisasi, utajuta baadae!Alafu mbona unajifanya una uchaji wa Mungu na kumbe ....! Haijalishi mbaya wako alikukosea nini lakini hastahili kutishiwa kutolewa uhai wake. Huoni hata hatari ya kuja kuanika huu upuuzi wako hapa, kesho akauawa si utaambiwa ni wewe?Tuliza hasira zako, muombe huyo Mungu unayedai kumcha na tumia busara kidogo tu ulizopewa bure na Muumba wako.
 
nikwambie MaryGlory, uzoefu wa maisha umenifundisha kuwa kisasi kinaumiza zaidi, kuliko hata maumivu ya kukosewa.
 
Ukifanyiwa, halafu na wewe ukafanyiza, matokeo yake ni mzunguko wa kufanyiziana na hatima ya yote ni kuangamizana ........ unaweza ukaaangamia wewe! Yaani kama unavyosema unasikia harufu ya damu, inaweza kuwa ya kwako inataka kumwagika. Tafakari kisha chukua hatua!
 
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!

Mficha ugonjwa kilio kitamuumbua na Mficha uchi kamwe hawezi kupata mtoto. Hapa naona unazunguka mbuyu tu lakini hakuna ulichoongea zaidi ya kulalama. Hapa nilichopata ni suala la kujaribiwa kutenda mabaya tu. Zaidi umerudiarudia tu hayo maneno.
 
Ni halisi.maudhi,ubabe dharau,wwizi,utapeli ndo vinavyochochea.sijui kama mtamwona tena hapa jf!
Mary, nashindwa kuelewa nini kinaendelea pamoja na jitihada zote za kutaka kujua.... A good fight or at least protection usually goes silently, lakini wewe naona unapublicise sana, is there a special reason for this?? It seems huyu mtu unayepambana naye ni mbaya lakini pia ni mvumilivu, kwani angekua master si ajabu ungeshakufa!!! hebu tujuze tena kwa kumtaja jina live, ni nani huyo? (jina halisi na si la JF) MTM
 
mhh huyu mdada jamani mpaka mi ananishangaza kwa kweli hata kama ni vita ndo mbinu gani hizi.....kuna watu matatizo wanayatafuta kwa udi na uvumba hasaa!
 
From the way I read you, you need God and if you don't believe God can free you of your revenge attitude and anger, then seek help from professional counselor. Usiingilie kazi ya Mungu, yeye anasema "kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa..."
 
"Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu Mimi, Mimi nitalipa, anena Bwana"
Warumi 12:19

From the way I read you, you need God and if you don't believe God can free you of your revenge attitude and anger, then seek help from professional counselor. Usiingilie kazi ya Mungu, yeye anasema "kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa..."
nakwambia hata wewe ungekasirika kuhusu haya mambo yaliyonipata.kahamia facebook na anaeneza sumu vibaya sana.yan me nakwambia huyu jamaa atanitambua safari hii.unajua amezoea.mwanamke wake wa kwanza alimfanyia vitu vibaya sana.me sikuwepo ila nilikuja simuliwa kuwa ex wake alimfanyia vitu vibaya sana na mpaka sasa ana kesi mahakamni.me siendi police wala nn namfundisha adabu mm mwenyewe.na hafanyi kazi anategemea kipato cha mke.this time atajua kuwa kumbe mwanamke naye ni binadamu.mabaunsa wangu wako tayari tayari just wait
 
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!

ahh pole jaman dada
whats hapen?
pole ..i can fil t ...pole mama
 
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
mh! baby girl, upo kwenye mtihani mkubwa. njoo kwangu nitakusaidia. mimi ni counselor na mtaalamu wa mambo kama hayo, nitakushauri jinsi ya kuepuka such problems
 
nakwambia hata wewe ungekasirika kuhusu haya mambo yaliyonipata.kahamia facebook na anaeneza sumu vibaya sana.yan me nakwambia huyu jamaa atanitambua safari hii.unajua amezoea.mwanamke wake wa kwanza alimfanyia vitu vibaya sana.me sikuwepo ila nilikuja simuliwa kuwa ex wake alimfanyia vitu vibaya sana na mpaka sasa ana kesi mahakamni.me siendi police wala nn namfundisha adabu mm mwenyewe.na hafanyi kazi anategemea kipato cha mke.this time atajua kuwa kumbe mwanamke naye ni binadamu.mabaunsa wangu wako tayari tayari just wait
When a woman is fade up there is nothing you can do about.....
 
As long as unaendelea kuishi, utaendelea kujaribiwa tu... Mpaka pale utakapo amua kuamua.

Yes or No, it is in your Power.
 
si bora ningekuwa nakunywa ningepoteza mawazo.lkn natamani sana kama kungekuwa na ulimwengu mwingine ningeopt kwenda kuish huko coz naona kabisa nakaribia kupata kesi ya mauaji.nasikia harufu ya damu!eeh mungu nisaidie!

vipi damu imeshamwagika au bado.
 
Back
Top Bottom