Naipenda jf kwa sababu ya. . . . . .(Mtaje mtu/watu wanaokufanya uipende jf)

Mimi nikipenda nasikia hadi kwenye kifua changu kunakuwa na joto fulani,
kweli mimi penda wote, japo sometime BEGAH na BOFLO wanauzi
but mimi penda wote mrembo wangu.

much love and respect to you dear Sisy
have blessed morning.:A S-heart-2:
 
Mimi penda wote tena nawapenda kutoka bottom of my heart.
Hata mimi wanipenda?



avatar10043_50.gif
 
Mimi kama mimi kwanza....kama mmiliki wa JF ndio maana naingia najivunia hilo, Pili members woooote...wananishawishi kuja kujumuika nao hapa kutekeleza kile JF founder alikusudia kwa wamiliki wa JF kama alivyosema Max kwenye mahojiano na Bongocelebrity.
 
Back
Top Bottom