Naipenda jf kwa sababu ya. . . . . .(Mtaje mtu/watu wanaokufanya uipende jf)

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Be honest. Nani anakufanya/wanakufanya uipende jf? Why?

Mimi wa kwanza Kongosho! Anajibu thread haraka, avatar yake mnh, afu simwelewi anachangi kama mwanaume na sometime kama mwanamke
 
ha ha ha, Ron M una utani na mie

mie nawapenda wote, mnafanya maisha yangu na mnyampara yanakuwa marahisi zaidi.
 
Nampenda sana Barnabas Shadrack, huyo ndiye ananifanya nifungue Jf.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Back
Top Bottom