nnunu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 654
- 230
Asante, pia hongera / pongezi kwa moyo mzuri uliounesha kwa huyu msichana wako ,
wa kumpeleka shule, hiyo mimba aliyoipata isikuvunje moyo wa kuendelea,
kumsaidia tu,binadamu hatuachi kukosea kila siku,
na kibaya zaidi tunapenda kujifunza kwa makosa yetu,
siyo kwa makosa ya wenzetu.
huyo msichana endelea kuishi naye,
huyo mama yake kakosea kumwambia mwanaye atoe mimba, ila najua kasema hivyo ksb,
mama mtu hataki mwanaye apoteze hiyo nafasi ya kusomeshwa ,
kila mama/mzazi anapenda mwanaye awe na maisha mazuri,
kwa hiyo mamayake anaona kama mtoto wake ataendelea kuwa na hiyo
mimba basi shule atakosa na huenda hata hapo utamfukuza.
Ila mama mtu anasahau kuwa tatizo siyo mimba tu,
na je kama mwanae ana vvu pia je navyo atavitoa??
Endelea kuishi na huyo msichana wako, ila tafuta muda mzuri,
wa kuongea naye kwa urefu,na upana zaidi naamini sasa atakuelewa zaidi,
kuliko mwanzo alivyomkanya kabla haja do, ila sasa kwavile ka do na kaona madhala ya
ku do kabla ya wakati wake atakuelewa vzur sana.
Pia ongea na mama yake kuhusu ubaya wa ushauri aliompa mwanaye,kwani
kutoa mimba siyo suluhisho la tatizo,
huyo msichana lazima apate elimu ya kujitambua yeye kama msichana,
pia kukabiliana na vishiwishi vya mwili na wanaume ktk jamii.