Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata.
Naitwa Caludgi Mtemi Mpota nina miaka 43. Nina Shahada ya Kwanza ya Chuo Kikuu. Ni Mkristo wa Katoliki na Kabila langu ni Mmwela.
Nakaribisha Mwanamke mwenye Umri wa kuanzia miaka 38 mpaka miaka 43 tu tafadhali.
Kama kutakuwa na Mwanamke mwingine ambaye siyo Masikini kama niliyemhitaji na atapenda kuwa nami basi Kwanza awe tayari Kuupokea huu Umasikini wangu na Kipaumbele chetu kiwe ni Kushirikiana ili tuinuke pamoja.
Nipo tayari kupima nae Afya ya Magonjwa yote makubwa na hatarishi katika Hospitali yoyote ile muda na wakati wowote akihitaji ili ajiridhishe nami na tujiridhishe sote pia Kiafya.
Kwa Mwanamke atakayekuwa na nia ya Dhati nami basi tuwasiliane kupitia email address yangu hii ya mtemi.m@yahoo.com na nakaribisha zaidi Wanawake wa walioko Dar es Salaam, Morogoro na Tanga kutokana na Ukaribu wa Kijiografia.