Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Caludji

Senior Member
Jan 2, 2022
131
164
Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata.

Naitwa Caludgi Mtemi Mpota nina miaka 43. Nina Shahada ya Kwanza ya Chuo Kikuu. Ni Mkristo wa Katoliki na Kabila langu ni Mmwela.

Nakaribisha Mwanamke mwenye Umri wa kuanzia miaka 38 mpaka miaka 43 tu tafadhali.

Kama kutakuwa na Mwanamke mwingine ambaye siyo Masikini kama niliyemhitaji na atapenda kuwa nami basi Kwanza awe tayari Kuupokea huu Umasikini wangu na Kipaumbele chetu kiwe ni Kushirikiana ili tuinuke pamoja.

Nipo tayari kupima nae Afya ya Magonjwa yote makubwa na hatarishi katika Hospitali yoyote ile muda na wakati wowote akihitaji ili ajiridhishe nami na tujiridhishe sote pia Kiafya.

Kwa Mwanamke atakayekuwa na nia ya Dhati nami basi tuwasiliane kupitia email address yangu hii ya mtemi.m@yahoo.com na nakaribisha zaidi Wanawake wa walioko Dar es Salaam, Morogoro na Tanga kutokana na Ukaribu wa Kijiografia.
 
Usitafute maskini wala tajiri,tafuta mwenye mapenzi ya dhati nawe.. Kuna laana imejificha kwenye pesa... Ndio maana Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako..
Wengi kwenye hali ya umasikini walipendana sana Lakini walipopata mali mvua ikanyesha na kulikovuja kote kukaoneakana
 
Yaani unaweza peruz jf alafu unasema wewe maskini...jamani tuna madharau kweli kweli.
Kama ninaongopa / nasanifu kuhusu Umasikini wangu ( ambao siutaji kama Sifa ) bali ni kweli kwa sasa nina hali hii kutokana na Changamoto kadhaa zilizonipata namuomba Mungu ( Allah ) anipige Kofi la Kudumu la Kimaisha.
 
Safi sana mkuu na utafanikiwa ktk ilo uliombalo ila nakuomba tu usisahau
Umaskini sio sifa nzuri umaskini ni mattzo umaskini ni rahana
Shukran Mkuu ila naomba ieleweke kuwa kusema Kwangu ni Masikini siyo kwamba najivunia na hi hali bali nimependa kuwa Muwazi na Mkweli tofauti na ilivyozoeleka kuwa Wanaume wengi hupenda kuwa Waongo na Kujimwambafai.

Na hata ukisoma vyema Maelezo yangu hapo juu nimesema nahitaji Masikini Mwenzangu na hata akitokea asiye Masikini ila Kipaumbele chetu kiwe ni Kushirikiana kwa pamoja Kimawazo na Kiubunifu ili tuweze Kunyanyuka nikiamini kuwa hilo linawezekana kama pakiwa na Upendo wa Dhati ambao ninausisitiza mno hapa.

Nipo tayari Kuchekwa au Watu hasa Wanaume Kunishangaa kwa kujiweka wazi kuhusu Uhalisia wangu wa Kimaisha kwa sasa kuwa Mimi ni Masikini ( nina Changamoto za Kiuchumi na Kimaisha ) ila najua na nina uhakika kupitia Mtandao huu huu Mwenyezi Mungu atanijibia Hitaji langu na Kumpata ninayemuhitaji na Kuanza pamoja kwa Malengo ya kuja Kufanikiwa pamoja.

Asanteni.
 
Usitafute maskini wala tajiri,tafuta mwenye mapenzi ya dhati nawe.. Kuna laana imejificha kwenye pesa... Ndio maana Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako..
Wengi kwenye hali ya umasikini walipendana sana Lakini walipopata mali mvua ikanyesha na kulikovuja kote kukaoneakana
Shukran Mkuu ila naomba ieleweke kuwa kusema Kwangu ni Masikini siyo kwamba najivunia na hi hali bali nimependa kuwa Muwazi na Mkweli tofauti na ilivyozoeleka kuwa Wanaume wengi hupenda kuwa Waongo na Kujimwambafai.

Na hata ukisoma vyema Maelezo yangu hapo juu nimesema nahitaji Masikini Mwenzangu na hata akitokea asiye Masikini ila Kipaumbele chetu kiwe ni Kushirikiana kwa pamoja Kimawazo na Kiubunifu ili tuweze Kunyanyuka nikiamini kuwa hilo linawezekana kama pakiwa na Upendo wa Dhati ambao ninausisitiza mno hapa.

Nipo tayari Kuchekwa au Watu hasa Wanaume Kunishangaa kwa kujiweka wazi kuhusu Uhalisia wangu wa Kimaisha kwa sasa kuwa Mimi ni Masikini ( nina Changamoto za Kiuchumi na Kimaisha ) ila najua na nina uhakika kupitia Mtandao huu huu Mwenyezi Mungu atanijibia Hitaji langu na Kumpata ninayemuhitaji na Kuanza pamoja kwa Malengo ya kuja Kufanikiwa pamoja.

Asanteni.
 
Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata.

Naitwa Caludgi Mtemi Mpota nina miaka 43. Nina Shahada ya Kwanza ya Chuo Kikuu. Ni Mkristo wa Katoliki na Kabila langu ni Mmwela.

Nakaribisha Mwanamke mwenye Umri wa kuanzia miaka 38 mpaka miaka 43 tu tafadhali.

Kama kutakuwa na Mwanamke mwingine ambaye siyo Masikini kama niliyemhitaji na atapenda kuwa nami basi Kwanza awe tayari Kuupokea huu Umasikini wangu na Kipaumbele chetu kiwe ni Kushirikiana ili tuinuke pamoja.

Nipo tayari kupima nae Afya ya Magonjwa yote makubwa na hatarishi katika Hospitali yoyote ile muda na wakati wowote akihitaji ili ajiridhishe nami na tujiridhishe sote pia Kiafya.

Kwa Mwanamke atakayekuwa na nia ya Dhati nami basi tuwasiliane kupitia email address yangu hii ya mtemi.m@yahoo.com na nakaribisha zaidi Wanawake wa walioko Dar es Salaam, Morogoro na Tanga kutokana na Ukaribu wa Kijiografia.
Mkuu umeona mbali sana. Masikini mwenzio ni type yako na hadhi yako, mlo duni unaokula na yeye ndiyo anaokula kwao, mkianza kuishi pamoja kwa kula mlo duni wala hatoona kitu cha ajabu kwakua ameshazoea maisha hayo.

Kila la kheri Mkuu, maisha yako ya mahusiano yatakua marefu sana na yenye amani.
 
Shukran Mkuu ila naomba ieleweke kuwa kusema Kwangu ni Masikini siyo kwamba najivunia na hi hali bali nimependa kuwa Muwazi na Mkweli tofauti na ilivyozoeleka kuwa Wanaume wengi hupenda kuwa Waongo na Kujimwambafai.

Na hata ukisoma vyema Maelezo yangu hapo juu nimesema nahitaji Masikini Mwenzangu na hata akitokea asiye Masikini ila Kipaumbele chetu kiwe ni Kushirikiana kwa pamoja Kimawazo na Kiubunifu ili tuweze Kunyanyuka nikiamini kuwa hilo linawezekana kama pakiwa na Upendo wa Dhati ambao ninausisitiza mno hapa.

Nipo tayari Kuchekwa au Watu hasa Wanaume Kunishangaa kwa kujiweka wazi kuhusu Uhalisia wangu wa Kimaisha kwa sasa kuwa Mimi ni Masikini ( nina Changamoto za Kiuchumi na Kimaisha ) ila najua na nina uhakika kupitia Mtandao huu huu Mwenyezi Mungu atanijibia Hitaji langu na Kumpata ninayemuhitaji na Kuanza pamoja kwa Malengo ya kuja Kufanikiwa pamoja.

Asanteni.
UNAPITIA CHANGAMOTO IPI HADI UNAJIITA MASIKINI CHIEF?
 
Siko hapa Kuanika kila nikipitiacho na sijasema hivyo ili iwe Topic bali nimegusia kwa Kiasi ili kutoa mwanga kwa atakayekuwa na nia ya kweli nami na nadhani huyo ambaye atakuwa nami ndiyo atakuwa na wakati mzuri wa Kuujua undani wangu na hata Mimi pia kuujua wake.

Asante kwa muda wako na Kusoma pia huu Uzi wangu Mkuu na nikutakie tu Siku njema na Mafanikio mema katika Majukumu yako ya Kimaisha.
 
Mmmmh something is wrong somewhere!!!
 
Back
Top Bottom