Nahitaji msaada wa kisheria ndugu zangu

Kwa sasa kuna wimbi kubwa sana la Vijana kutembea na wake za Watu, nakushauri Acha kabisa hizo tabia
Broo nadhani usiwe judgemental mm sijafanya wala kufikiria kufanya hiko kitendo ila ni scandle iliyochochewa au kutengenezwa na mwenye pharmacy kwenda kwadiwani akatia chumvi anavyo weza ,,kutokana na ujio wangu kikazi kua barrier kwa wateja kazini kwake na muuza duka ladawa baada ya yy mwenyewe kuwahi kunipeleka kwenye hyo familia(nikiwa mgeni )ya kua tunatokea mkoa mmoja hapo ndipo nilipopata namba yake,hata hivyo hakukua namawasiliani ya mara kwamara au yahusuyo mahusiano..
 
Kabla ya ww kua hapo hao watu walikua wanapata huduma vzr ondoka hapo haraka sana hamna tuzo ya kuhudumia watu wenye Nia ya kukudhuru
 
Hapa imenibidi niende ofisi ya upelelezi wilaya kuelezea wasiwasi wangu ila naona wako slow au ndio mimi sielewi elewi gani nilitegemea hili suala lichukuliwe uzito wahali ya juu ila naona wako relactant sana .
Ukiona wilayani hawakupi ushirikiano na ushahidi unao, panda kwa RPC. Numbers za simu za wakubwa zote zipo kila kituo cha Polisi. Chelea chelea tuje kuibeba maiti yako ikiwa msituni haya.
 
Jibu basi na hii tafadhali Benbulugu
Naomba nirudi nyuma kidogo mm mwenyeji wamikoa yakanda yaziwa,baada ya kua nimefika hapa nikama vile yule jamaa muuza famarcy mtu wa manyara around40-45 alitumbuliwaaga namagufuli so akaamua kuuza dawa huku vijijini, nilipofika akawa ananiambia kuna wamusoma wenzio nao wako kijiji jirani nije nkupeleke ukawaone watakua nikama nduguzako wahiari ,so tukawa tumepanga tour kwenda kuwaona one day,tulipofika huko kwa watu wamusoma wenzangu ndipo nikamkuta mzee mmoja wa around 65-70yrs,anaitwa Joseph sagi,(shemeji yake nahuyu dada mary ameoa dada yake) namama mwenye around 40-45yrs wakuitwa mary.ilikua nisehemu yakuuza pombe hadi zakienyeji kusema ukweli nawauzaji walikua nihyo familia ,katika salam kuulizia wakasema hapo ndio kwa diwani anawake wanne na huyo mary nimiongoni mwa wake zake na niwakati huu tulipobadirishana namba nahuyu mama pamoja na mzee sagi nikawa mawasiliano nao wote wawili kwa nyakati tofauti na pia katika kuleta wagonjwa wao kazini kwangu kuwahudumia,nahata huyu diwani kuna nyakati nimewahi kua kwake nayyy akiwepo aidha kuongea maswala ya kikazi...lakn wenyeji wanakiri huyo bwana kua nawivu mkubwa kupitiliza hadi wangu wengine hua anawachungulia akidhani kutembea namkew nakuwakwida mara kadhaa.its asad story ndio maana naletachapa mnipatie ushauri.
 
Ukiona wilayani hawakupi ushirikiano na ushahidi unao, panda kwa RPC. Numbers za simu za wakubwa zote zipo kila kituo cha Polisi. Chelea chelea tuje kuibeba maiti yako ikiwa msituni haya.
Hili nalo neno ndio ushauri nadhani pia nnahitaji aidha maana inauma kuona watesi wako mtaani tu wanagonga mvinyo huku wewe uliyetaka kuuliwa ukipigwa mikwara unapojitahidi kufatilia kwa kina
 
Jibu basi na hii tafadhali Benbulugu
In addition ,niyy mke wa diwani amekua akinipigia kupitia simu mbalimbali(hapa kabla ya tukio )akiniambia kua amepata taarifa kutoka kwa mkewe ikiwemo vipigo kwakuwa ameambiwa nammewe kua nnatembea naye nakwmaba ataniua huu nikabla ya tukio nahii nilikua nachukulia poa kumbe tukio linakuja kweli,Mheshimiwa diwani aliwahi kuja na dawa za Ukimwi ofisini kwangu akanionesha kua amekuta dawa za ukimwi zimefichwa Ktk begi la mkewe kumbe lengo lake aone kama nitareact kwa mshtuko endapo nnatembea namkewe .
 
Asante sana kaka,kuna mazungumzo ya simu kwa mkewe diwani akinitahadharisha juu ya usalama wangu kwavile baada ya kuchochewa nayule bwana muuza duka ladawa mumewe alienda kumuwashia moto ndio akanipiga kupitia namba ngeni
Hizi tahadhari nikabla ya tukio lenyewe.
Umesema huna mahusiano mbona a nakupa taarifa muhimu za kifo chako.......bro wew lazima ufe mke wa mtu ni alikiba ft marioo
 
ndugu nshaona kesi kama hizo huko vijijini kwa watumishi wa afya, rudi wilayani nenda kwa katibu wako wa afya, ongea na dmo wako wakiwa wazito fikisha suala lako kwa ded na afisa utumishi wako, likiwa na pingamizi muone das, huko hakikisha wamekuondoa mara moja wakishindwa andika barua chap kwa ded kupitia dmo kuomba kuondoka sababu kuu kutishiwa maisha na wasio julikana, kijana huwezi washtaki wenyeji hutoweza watakuumiza tu ww ondoka huko, waachie kijiji chao
Mm nimtumishi wa umma katika idara ya afya, miezi sita nyuma nilihamia katika kata moja maeneo ya mkoa wa lindi kutumikia wananchi.

Sasa katika utoaji wa huduma eneo nilipangiwa kikazi kama incharge wakituo husika, huduma zikapendwa nawananchi kiasi cha kupelekea kushuka mapato katika moja ya duka ladawa la mtubinafsi lililokaribu na eneo langu la kazi.

Jambo ambalo lilipelekea chuki kwa bwana huyo kuwepo dhidi yangu, huyo bwana akanitengenezea scandle yakua nnatembea na mke wa diwani jambo ambalo sikuwahi kulifanya wala kujihusisha nalo, ilikua mwezi wapili tr10/02/2024 nakumbuka ilikua mechi ya Afcon mshindi wa tatu kati ya Kongo drc na south Africa.

Baada ya mechi nikarudi kulala majira kama ya sasita kabla usingizi haujanikamata vyema niliona moto mkubwa uliowashwa kwa mafuta ya petrol uliowashwa kwenye dirisha la chumba changu, na NONDO yenye lengo la kunichoma ila nikapiga kelele na kuwahi kuzima moto ,kisha kuamsha majirani baadae watu wengi wakakusanyika kwenye eneo la tukio, asubuhi ya tr 11/02/24 police walikuja pamoja na uongozi wa kata kuchukua maelezo na pia kufanya mkutano na wananchi.

Kwasasa suala hilo baada ya mm mwenyewe kulipeleka police kumekua na mazingira ya mdororo wa shauri langu huko police,naona kama wahusika wametoa rushwa ikiwa ni pamoja na kuwaona watuhumiwa wakidhurula tu mtaani bila ya kukamatwa nakwamba jambo langu linaonekana kutotiliwa nguvu.

Nimejaribu kwenda kwa mkuu wa kituo OCS anaonekana kunikalipia nakuniambia kua mnazingua nnaleta Majungu sasa naona kabisa suala hili ambalo nadhani nijaribio la mauaji dhidi yangu,nifanye hatua gani kuweza kupata haki yangu.

Naomba nisamehewe kwa uandishi mbovu.
 
In addition ,niyy mke wa diwani amekua akinipigia kupitia simu mbalimbali(hapa kabla ya tukio )akiniambia kua amepata taarifa kutoka kwa mkewe ikiwemo vipigo kwakuwa ameambiwa nammewe kua nnatembea naye nakwmaba ataniua huu nikabla ya tukio nahii nilikua nachukulia poa kumbe tukio linakuja kweli,Mheshimiwa diwani aliwahi kuja na dawa za Ukimwi ofisini kwangu akanionesha kua amekuta dawa za ukimwi zimefichwa Ktk begi la mkewe kumbe lengo lake aone kama nitareact kwa mshtuko endapo nnatembea namkewe .
Mmmmmgh hapana, hujajibu swali langu, anyway. Pole sana
 
Naomba nirudi nyuma kidogo mm mwenyeji wamikoa yakanda yaziwa,baada ya kua nimefika hapa nikama vile yule jamaa muuza famarcy mtu wa manyara around40-45 alitumbuliwaaga namagufuli so akaamua kuuza dawa huku vijijini, nilipofika akawa ananiambia kuna wamusoma wenzio nao wako kijiji jirani nije nkupeleke ukawaone watakua nikama nduguzako wahiari ,so tukawa tumepanga tour kwenda kuwaona one day,tulipofika huko kwa watu wamusoma wenzangu ndipo nikamkuta mzee mmoja wa around 65-70yrs,anaitwa Joseph sagi,(shemeji yake nahuyu dada mary ameoa dada yake) namama mwenye around 40-45yrs wakuitwa mary.ilikua nisehemu yakuuza pombe hadi zakienyeji kusema ukweli nawauzaji walikua nihyo familia ,katika salam kuulizia wakasema hapo ndio kwa diwani anawake wanne na huyo mary nimiongoni mwa wake zake na niwakati huu tulipobadirishana namba nahuyu mama pamoja na mzee sagi nikawa mawasiliano nao wote wawili kwa nyakati tofauti na pia katika kuleta wagonjwa wao kazini kwangu kuwahudumia,nahata huyu diwani kuna nyakati nimewahi kua kwake nayyy akiwepo aidha kuongea maswala ya kikazi...lakn wenyeji wanakiri huyo bwana kua nawivu mkubwa kupitiliza hadi wangu wengine hua anawachungulia akidhani kutembea namkew nakuwakwida mara kadhaa.its asad story ndio maana naletachapa mnipatie ushauri.
Hapa sasa ndio umejibu
 
Back
Top Bottom