Naenda jimboni... Nitawamiss sana

Mheshimiwa sana Mgombea Ubungo kumbe umezoea kuwapotosha watu inawezekana kabisa unatupotosha tena kwa huko kujitetea kwako, tutaaminije kama sasa ndiyo unasema ukweli.

Unajua ni vigumu sana kwa mtu muongo kuaminika kama amebadilika hata akisema ukweli watu hawataamini.

ukiangalia post na threds za watu engine hapa JF utaamini kuwa nami nilitumia tu mtindo huo wa uandishi kufikisha ujumbe, na sikufanya kitu cha ajabu ambacho wengine hawafanyi. jitahidi utaona
 
Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
post_old.gif
2nd January 2010, 04:52 PM Replies: 17
thread_hot.gif
Ndoa hizi.....we acha tu
Views: 584
Posted By Mgombea Ubunge
icon1.gif
Re: Ndoa hizi.....we acha tu

nakubaliana na wewe kuwa huyo anakijua mwenyewe. hata mie kuna wakati nafikiria kumjengea nyumba dada mmoja kwa mapenzi makuwa ya heshima na uaminifu anayonipa. ni moyo tu ndio unaotaka!!!!!!!!!!...

Hapa hujapewa Ubunge ukipewa je si utakuwa una honga honga ovyo!!!!
 
Kimtokacho Mtu Ndicho Kimtiacho Mtu Unajisi, Maana kimtokacho mtu kiantoka Moyoni namo hujaa Mawazo Machafu, Uzinzi Uasherati nk

Mgombea Ubunge Umenajisika kwa hili
 
Huyu Mgombea Ubunge inadhihirisha kabisa wazi wazi anapenda kutoa rushwa tayari hili lipo wazi maana kasema timu yake ipo kazini jimboni kama hawatembezi rushwa ni nn? Si mmeona hapo juu yupo tayari kumhonga mwanamke nyumba kwa ajili ya penzi je akipita Ubunge huo atakuwa na wake wangapi? Kama si tamaa za kuanza kufuja mali za walalahoi nini kuna kila dalili jamaa akafanana na wale wa EPA na mauchafu mengine bora usigombee.
 
Hapa hujapewa Ubunge ukipewa je si utakuwa una honga honga ovyo!!!!

Ss hommie ukikesha kidogo kny kamba hiyo, utaona uozo zaidi....kuna sehemu anasema.....yeye anauzoefu sana na ''K'', amepitia nyingi eti......mbunge mtarajiwa?...ha!ha!ha!ha!haaaaa
 
Hapa hujapewa Ubunge ukipewa je si utakuwa una honga honga ovyo!!!!

mbona hili ni jambo jema sana? lina ubaya gani? zaidi ya yote ni mapenzi binafsi.

tena nasema bila kuficha kuwa ni kutokana na mapenzi, wema na uaminifu wake kwangu. tena huyo mtu hajaolewa, ingekuwa mke wa mtu labda ingeuwa tatizo. hii ni kama zawadi zingine hata kama kwa mtazamo wa wengine inaonekana ni kbwa sana.

kuna mtu hapa duniani haruhusiwi kutoa zawadi? au ni zawadi gani zilizon fair kutoa na zawadi gani si fair, labda tusaidiane hapo.
 
Well and good.....tell us something! Hapo ulikuwa unamaanisha wewe au napo uliuvaa uhusika mheshimiwa mtarajiwa?
 
Kimtokacho Mtu Ndicho Kimtiacho Mtu Unajisi, Maana kimtokacho mtu kiantoka Moyoni namo hujaa Mawazo Machafu, Uzinzi Uasherati nk

Mgombea Ubunge Umenajisika kwa hili

mkuu ndege ya uchumi heshima mbele.

nakubaliana na hilo la kimtokacho mtu......

lakini mie sijanajisika, mashambulizi haya yanatokana na mitazamo ya watu tu. unajua wanawatisha vijana wasijaribu kutangaza hadharani makusudio ya kuwania uongozi,

hivi kama tungefunga scaner hapa JF ikam-scan kila mtu moyo wake, linywa chake na miguu yake, nani angesimama? mi nakubali wanitundike msalabani lakini nitaejea tena apa JF siku moja kuwashukuru wote , hakika siku moja nitakuwa mshindi!

tuombe uzima
 
Ni kiasi gani I mean ni sh. ngapi umeshatumia mpaka sasa? kwani inaonekana unatimu kubwa sana huko jimboni,na chama unachotaka kugombea bila kuwa na za mzee Chenge i mean Vijisenti hutapata kura za wananchi. Je umeandaa kiasi gani cha kuwadanganyia wananchi? yaani kununulia chumvi,kanga na pombe kwani chama chako kimeshawazoesha wananchi hivyo na wao wanaona ni haki yao kununuliwa chumvi angalau nusu kilo kwa kila familia ndo wakupe ubunge kwa miaka kitano.
 
Unaenda kugombea Jimbo gani? Au bado ni siri?
 
ndugu, matumizi ya fedha hayakwepeki kwenye kampeni, kuna masuala ya usafiri, malazi, posho nk. lakini si hayo uliyosema sijui ya chumvi. tisheti nakubali ni muhmu kwa ajili ya uhamasishaji na sio kwa ajili ya kuhonga. nimetumia kiasi gani, kwa sasa ni mapema mno kufanya tathmini kwani shughuli yenyewe ndio kwanza imeanza na kwa kweli lazima pesa zitatumika japo si nyingi. kuna baadhi ya marafiki, ndugu na jamaa wameahidi kuwa watanisaidia mambo fulani mfano kunifadhili malazi wakati nikizunguka maeneo mbalimbali jimboni, na utaona ni takrima za kwaida kabisa za kiafrika.

yote hayo na gharama zake vitajulikana tu baada ya zoezi kukamilika. tutafika tu mkuu
 
......ndugu na jamaa wameahidi kuwa watanisaidia mambo fulani mfano kunifadhili malazi wakati nikizunguka maeneo mbalimbali jimboni, na utaona ni takrima za kwaida kabisa za kiafrika.

......

Mamaaaaaaaaaa! Hakika hawakujui hao! au watakuwa hawana vibinti vidogo.......!ha!hahahaaaaa!
 
Katika kipindi cha wiki tatu nitafanya safari kadhaa katika nchi takriban nne hivi ikiwa ni katika kuweka sawa masuala yangu huku ughaibuni kwani februay nitarejea nyumbani ambapo pamoja na mambo mengine nitatangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimboni kwangu.

Ntarajia kugombea ubunge kupitia jimbo la uchaguzi kwa tiketi ya ccm. kutokana na ukweli kwamba kura za maoni za ccm zitapigwa na wanchama wote, ni wazi kuwa kazi ya kuweka mambo sawa jimboni ni kubwa zaidi kuliko katika chaguzi zilizopita. Tayari timu yangu iko jimboni kwa wiki kadhaa sasa na ninalazimika kwenda huko mapema kuiongezea nguvu hasa ikizingatiwa kuwa baada ya march nitakuwa tena na safari nyingine za ng'ambo.

Kutokana na ratiba yangu kuwa ngumu katika kipindi hiki, ni wazi sitaweza kuwa na muda mwingi ndani ya JF halikadhalka nikiwa jimbon siaweza kupata connection ya uhakika ya internet na hivyo nitawamiss sana wapendwa.

Nawatakien kila la her na tuendelee kuombeana heri katika harakati mbalimbali tuanazofanya kwa manufaa yetu na nchi yetu

asanteni

Hapa naona unafanya kwa manufaa yako tu kwa sababu tabia yako ya kubaka mabinti wadogo wadogo ambayo umeionyesha dhahiri ni tosha kabisa huna uwezo wa uongozi na unafahamu fika ni Chama Cha Majambazi tu ambacho kitakukubali kwa sababu wao kinachojalisha ni idadi ya pesa ulizonazo mfukoni. Mpe salamu JK na kundi lake la mafiadi na waambie tunakuja kuwashughulikia kuondoa Mvundo ambao unanuka katika pembe zote za Jamuhuri ya Muungano.

BTW tutaku-miss vipi wakati wewe hata robo mwaka hujamaliza hapa JF na kwa michango ipi? Au unafikiri hiki ni kilabu cha kunywa kimpumu au kangala?
 
Hapa naona unafanya kwa manufaa yako tu kwa sababu tabia yako ya kubaka mabinti wadogo wadogo ambayo umeionyesha dhahiri ni tosha kabisa huna uwezo wa uongozi na unafahamu fika ni Chama Cha Majambazi tu ambacho kitakukubali kwa sababu wao kinachojalisha ni idadi ya pesa ulizonazo mfukoni. Mpe salamu JK na kundi lake la mafiadi na waambie tuinakuja kuwashughulikia kuondoa Mvundo ambao unanuka katika pembe zote za Jamuhuri ya Muungano.

BTW tutaku-miss vipi wakati wewe hata robo mwaka hujamaliza hapa JF na kwa michango ipi? Au unafikiri hiki ni kilabu cha kunywa kimpumu au kangala?

naona tunaanza kuelewana sasa. salam zako kwa ccm hakika nitazifikisha. ni mambo kama haya ndiyo yanayonitia uchungu hata mimi hadi niamue kujitosa majini kuiokoa chama chetu na nchi yetu, amini usiamini, tutafika tu. muhimu tudumishe mshikamano miongoni mwetu wanachaa waadilifu
 
Mgombea ubunge, nakushauri kwa manufaa ya nchi hii usigombee ubunge, bali usimame pembeni uwe mtaalamu wa kutoa ushauri kulingana na taaluma yako tu. Ingawa unaweza kushinda uchaguzi kulingana na wingi pesa ulizotayarisha kununulia kura, tabia yako inaendana sawasawa kabisa na wale tulio nao kule dodoma walioshindwa kutupeleka mbele. Ukifika hapo dodoma na kukutana na hao changu doa wanaowinda wabunge, utawakurupukia wote kwenda "KUKAMUA" na sidhani kama utaweza kuwa na muda wa kutosha kufuatilia vikao vya bunge; mchango wako bungeni utabaki 0- Huu ni mtazamo wangu kufuatia trend ya michango yako hapa kwenye forum: akumulikaye mchana,ujue mkikutana naye usiku atakuchoma moto.
 
Back
Top Bottom