Naenda jimboni... Nitawamiss sana

sijaona hoja yake kwani kama anaenda kugombea angeweka jina wazi ili kama ni watu waanze ama kumsaidia au kumpa mbinu, sasa jina hana analeta hoja gani hapa?

Naona huja pitia posts zote kny kamba hii......ndo maana huwa mnashindwa kuwabana ccm kwa sababu ya uvivu wa kupekua mambo mkuu MK!
 
On another note.....huyu jamaa si mwadilifu kivile, ni mchafuzi wa mazingira huyu.....natafuta ushahidi hapa.....kuna thread wakati anachangia alikiri mwenyewe kuwa yeye.....ana uzoefu wa kuvibikiri vibinti, na alikiri kuwa mpaka siku ile anachangia alishavibikiri vibinti vitano.....???

Huyu akipata ubunge, watoto wetu Msalato atawamaliza......hii si tabia njema kabisa kwa kiongozi....very serious here!....!subiri ushahidi! Will be back!

Mkuu umegusa penyewe kabisa, yaani akiwa mbunge halafu kwa bahati mbaya awe waziri wa elimu basi kila akienda kutembelea mashule au ziara si ni lazima aandaliwe wanafunzi?? Enzi hizo jeshini au kama mkoa umepata ugeni mkubwa basi matron wa shule au wakuu wa shule za wasichana au pia jeshini walikuwa wanaambiwa waandae mabinti entertainers!!! Jamani hii kitu bado ipo tena au imekufa kwa sababu ya ukimwi??

Basi ikatokea wakati fulani kibosile mmoja alitembelea mkoa fulani na mkuu wa shule fulani ya wasichana akaambiwa aandaei kiintetainer, kumbe shule ile kulikuwa na binti wa yule kibosile na mkuu wa shule akijua kabisa alimwandalia yule kibosile binti yake!!!! HooooooooH mambo yalikuwa pata shika kanga kuchanika, na yule mama akajidai hakujua kuwa ni binti yake!!! Soo ikawa so na mchezo mchafu hakuwepo tena, nafikiri yule mwalimu shupavu alitafutiwa mizengwe na akawa demoted, to assistant mistress somewhere else. But she sent a practical signal to the Kibosile!! Heshimu watoto wa mwenzio kama walivyo wa kwako. Wazazi mnaofanya ngono na watoto (wenye umri sawa na watoto au wajukuu zako) fahamu kuwa hiyo ni laana unajitengenezea kwa watoto wako na vizazi vyako vyote. Can you imagine mzazi wa umri wako amefanya uzinzi na mtoto wako au mjukuu wako?? Put on their shoes!! Shame on you!!
 
Imechafuka mnooooooo......no one will pay attention to ur posts!

Hahahaha home boy bana.
Hivi huyu anae mendea ubunge ni jimbo gani vile? Maana amekuja moto anaenda kuwashika wanakijiji huko bush kwa kugawa vi-tshirt na khanga ila yeye ananeemeka miaka 5 na kinua mgongo juu.
 
Respect mkuu.....bt mbele ya post uliyoquote taona madudu zaidi.....hii likuwa na trailler tu mzee!
 
Mkuu umegusa penyewe kabisa, yaani akiwa mbunge halafu kwa bahati mbaya awe waziri wa elimu basi kila akienda kutembelea mashule au ziara si ni lazima aandaliwe wanafunzi??!!

Ankal huyu atakuwa anacheza na walimu tu wale wanao taka uhamishe, promotion n.k yaani vitakuwa vinatumwa vimemo tu sehemu husika duh unajua watu kama hawa tayari wamesha chafuka lakini ukistaajabu ya Mose utaona JK anampa uwaziri hivi hivi wkt tayari mchafu.
 
Wabunge wakoloni huanza hivi hivi, halafu kesho keshokutwa hawaonekani jimboni mpaka miezi mitatu kabla ya uchaguzi.
 
Hahahaha home boy bana.
Hivi huyu anae mendea ubunge ni jimbo gani vile? Maana amekuja moto anaenda kuwashika wanakijiji huko bush kwa kugawa vi-tshirt na khanga ila yeye ananeemeka miaka 5 na kinua mgongo juu.

Hommie,

Sina tatizo na jf members kwenda kugombea ubunge, tatizo langu na huyu jamaaa ni UCHAFUZI wa mazingira tu.......! posts zote za huyu mhishimiwa zinaonesha ni jamaa wa kungonoka sana, tena na vibinti vidogo.......!
 
tanganza sera zako tuzichambue tukupe sapport kwani safarii wadanganyika hawdanganyiki tena anyway tutakumis pia
 
tanganza sera zako tuzichambue tukupe sapport kwani safarii wadanganyika hawdanganyiki tena anyway tutakumis pia

Duuuuuuh...no wonder CCM huwa wanjishindia kirahisi rahisi aisee......? nyie mnataka sera gani tena from this man?...this guy should stay away from the game right away!
 
tanganza sera zako tuzichambue tukupe sapport kwani safarii wadanganyika hawdanganyiki tena anyway tutakumis pia

nashukuru mkuu,

ngoja niangalie nadhani kesho naweza kuleta hapa baadhi ya mambo itakayopigania huko jimboni, naogopa kuweka wazi sana kila kitu si mnajua ipenga hakijapulizwa rasmi?
 
Hivyo kuna wakati mtu anasema ama anakaa kimya au anatumia majina bandia kwa lengo la kulinda kitu ama kuelewesha vizuri kitu Fulani. Na ndivyo nilivyofanya mimi. Na ndivyo wafanyavyo na wanJF wengine. Hivyo post aliyotumia next level inaonekana kama ni mimi haswa, bali ukweli ni kwama nilihifadhi jina halisi la mhusika na nikaisimilia kama ni mimi wenyewe kwa lengo la kufikisha ujumbe uliokusudiwa na ambao naamini ulfika. Kukereka walikokereka wachangiaji hapa JF ni kiashiria kingine kuwa ujumbe uliokusudiwa ulifika kikamilifu. Labda kosa la kukiri hapa ni kuwa sikusema tangu mwanzo kuwa si mimi bali nimetumia mtindo wa uandishi kama vile mimi ndiye. Hapo naweza kusema smahani kwa kuwapotosha wale niliowaptosha. Kweli hata mimi napinga sana matendo ya kifataki katika jamii yetu.

Tuendelee kukabiliana na matendo ya aina hii bila kuchoka na naamini ushindi ni wetu.

Mheshimiwa sana Mgombea Ubungo kumbe umezoea kuwapotosha watu inawezekana kabisa unatupotosha tena kwa huko kujitetea kwako, tutaaminije kama sasa ndiyo unasema ukweli.

Unajua ni vigumu sana kwa mtu muongo kuaminika kama amebadilika hata akisema ukweli watu hawataamini.
 
mbona naye anaonekana fisadi kwa kiwango kizuri tu! hujamsoma anaenda ughaibuni kufuata hela ya kampeni na amesha tanguliza vijana wake wanamwaga pesa jimboni.

We are dommed

ni hivi mkuu,

sio kuwa naenda ughaibuni kutafuta hela mimi nasafiri mara nyingi huku nje na pia huwa nahangaika hangaika huku kutafuta maisha sasa si vizuri kurudi jimboni bila kuweka mabo sawa. na hao vijana huko jimboni hawahongi watu fedha bali wanniandalia mazingira ya kutangaza rasmi kuwa nawania ubunge katika jimbo lile.

kama ungejua vizuri siasa za ndani ya ccm, ungenielewa vizuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom