Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Habari za asubuhi wapenda,napenda kuwajulisha Mzee anaendelea vizuri na anawashukuru kwa salam zenu na maombi yenu,Asubuhi hii Daktari wake ameshaconfirm kuwa operation itafanyika leo saa kumi jion,na mzee bado yupo amepumzishwa pale regency hospital chumba cha casuality kilichopo karibu na chumba cha x-ray.
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Asante kwa taarifa. Unaweza pia kuweka updates hizi kwa ku edit ile post yako ya mwanzo...itatusadia kwa sie wafatiliaji (badala ya kupekuwa kila post kutafuta updates).
 
Habari za asubuhi wapenda,napenda kuwajulisha Mzee anaendelea vizuri na anawashukuru kwa salam zenu na maombi yenu,Asubuhi hii Daktari wake ameshaconfirm kuwa operation itafanyika leo saa kumi jion,na mzee bado yupo amepumzishwa pale regency hospital chumba cha casuality kilichopo karibu na chumba cha x-ray.

Mwambie awe na Imani kwani Mi kwa nafsi yangu nimemweka katika hali ya Imani na atafanyiwa hiyo opereshen na ataenenda vema kbs. Mpe salaam zangu nyingi na MUNGU tunayemwamini atafanya miujiza ktk hali yake ya kuweza kupona mapema tofauti na itarajiwavyo. Amen!!
 
Mtambuzi..."You are in my thoughts and my prayers. I am praying for a quick recovery
 
Mwambie awe na Imani kwani Mi kwa nafsi yangu nimemweka katika hali ya Imani na atafanyiwa hiyo opereshen na ataenenda vema kbs. Mpe salaam zangu nyingi na MUNGU tunayemwamini atafanya miujiza ktk hali yake ya kuweza kupona mapema tofauti na itarajiwavyo. Amen!!
Amen,salamu zako zimefika mkuu!
 
Kwa hakika ALLAH (S.W) atampa nafuu na uponyaji, kwani yeye ndiye kimbilio letu. Tunawashukuru wale woooote Madaktari, Mkewe Mpendwa, Dada yetu kwa kutujuza habari zake, na wadau wooote kwa ujumla katika maombi na sara zao. Pole sana mgonjwa wetu tu pamoja nawe.
 
Pole sana mtambuzi, nitamiss thread zako mpaka mkonoo upone, Mungu akujalie upone haraka
 
habari za asubuhi wapenda,napenda kuwajulisha mzee anaendelea vizuri na anawashukuru kwa salam zenu na maombi yenu,asubuhi hii daktari wake ameshaconfirm kuwa operation itafanyika leo saa kumi jion,na mzee bado yupo amepumzishwa pale regency hospital chumba cha casuality kilichopo karibu na chumba cha x-ray.

tunasshukuru kwa taarifa cantaalisia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom