Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
The guy is very luck............................haya madaladala ni machinjioni.......................may the Almighty God preserve him for the betterment of this rotten nation..................................
 
Habari za asubuhi wadau,napenda kuwajulisha kuwa Baba yetu Mzee Mtambuzi amepata ajali asubuhi ya saa kumi na mbili leo ya kugongwa na gari daladala T.837 AUK na wakati akivuka barabara maeneo ya Tabata mawenzi ambapo daladala hilo lilingia kushoto gafla likiovertake daladala lingine kuwahi abiria ndipo lilimkuta baba na kumgonga.Katika ajali hiyo baba amevunjika mkono wa kulia na yuko Amana hospitali kwa matibabu,mpaka naandika hii taarifa alikuwa bado anasubiri kufanyiwa kipimo cha x-Ray nakujua amevunji UPDATE 26,Oct.Habari za asubuhi wapenda,napenda kuwajulisha Mzee anaendelea vizuri na anawashukuru kwa salam zenu na maombi yenu,Asubuhi hii Daktari wake ameshaconfirm kuwa operation itafanyika leo saa kumi jion,na mzee bado yupo amepumzishwa pale regency hospital chumba cha casuality kilichopo karibu na chumba cha x-rayUPDATE 26,Oct.Wapendwa napenda kuwajulisha kuwa kwa habari za mda huu ile operation ya Mzee Mtambuzi imeairishwa mpaka kesho saa kumi na moja alfajiri,hii ni kutokana na kuwa na wagonjwa wengine ambao kesi zao ziko sirias sana na zinahitaji operation ya haraka zaidi na madaktari ni wachache wamezidiwa, hivyo mgojwa ataendelea kuwepo hapo regency mpaka kesho akisubiri zamu yake ya kufanyiwa operation.
pole sana Cantalisia
 
Pole mzee mwenzangu,mungu akuponye haraka uwezekuendelea na shuguli zako.Jamani hiki kifo tunatembea nacho hatujui muda,siku wala saa kinawezatokea,tuombe na kushukuru kwa kila jambo.
 
Nifikishie salamu zangu kwa huyu Ndugu!
Mweleze kuwa sala zetu ziko juu yake, na atapona haraka sana!
 
Nimestuka niliposoma hapo juu,i knw the guy,natumai mambo yatakua poa na atapona,pole sana kwake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom