My opinion: Je serikali ya CCM iko serious kweli au ni kiini macho tu

Niliogopa kuandika haya! Mtoa mada anazidi kuonyesha uelewa finyu alionao kwenye masuala ya taifa....mkuu unakumbuka wale akina Nalaila Kiula walivyohukumiwa? Mtikila alivyofungwa jela? Niliposoma nikachoka kabisa eti bila aibu mara 3 my footy....

- Nimeongelea high profile political cases ambazo wahusika walikuwa bado wapo kwenye power, sio wale wastaafu kina Kiula ambao wala hawakufungwa, na hata aliyefungwa aliachiliwa kabla hajamliza kifungo, I mean sio siri hapa JF tuna kazi kubwa sana kuelimisha taifa! ha! ha! ha! wewe ninakuheshimu So sitakupa Doze! ha! ha! ha! ha!

William @ NYC, USA.
 
CCM are and we Tanzanian are very much serious into politics. Tanzania tuna uwezo wa ku export politician . Tumewaxpo rt wengi sema hatujawatumia hata mapolitician tuliwaexport kunufaika kichumi na kimaendeleo. ( Uganda, rwanda, Zambia DRC congo ni mifano)

Ni wakati sasa watanzania tupunguze siasa. Tujadili mambo nje ya minyororo ya kisiasa. Sometine napata kazi kuona hataTfauti ya CCM na wengine. Nachojua ni kwamba nimewachoka CCM

Rwanda walikuwa vitani Timu yao ya under 21 ina mafanikio. Angola ilikuwa vitani wameshiriki kombe la dunia. The only thing tunawazi wenzetu ni Siasa tu.
 
Dr. W. Slaa alitajwa miezi michache tu kabla ya uchaguzi. hakuna aliyetegemea kwamba angeweza kuitoa kamasi CCM. na kwa kweli taarifa kadhaa independent zina wasiwasi na matokeo ya uchaguzi wa 2010. kwa hiyo vyama vingine havilazimiki kufuata model hiyo ya kumtaja mgombea mapema. hata CCM kwenyewe historia inaonesha tofauti. wengi wanaamini Salim A. Salim ndio alikuwa ameandaliwa kumrithi Nyerere 1985 lakini mambo yakawa tofauti. wengi walimtarajia mzee Malecela 1995 lakini mambo yakawa tofauti. JK naye alijiandaa na kutumia nguvu nyingi sana na hatimaye ameingia madarakani akiwa na makundi yake ambayo yanaendelea kumsumbua mpaka sasa second term. hakuna aliyemtarajia Mkapa, lakini ndio akaja kuwa Rais.

Huko CCM wananyukana vilivyo. wale wanaojitokeza wanagongwa nyundo kichwani. anyway, kitakachodetermine rais ajaye wa nchi hii wala sio umaarufu wake. kumbuka Kikwete alikuwa maarufu sana 2005, lakini amekuwa rejected 2010 (ama kwa lower votes ama kwa cooked votes) Determinant ya kwanza ni hasira ya watanzania kwa CCM. kama CCM itaendelea kula mtaji wake kama inavyofanya sasa hivi, watanzania watatafuta mtu mwingine wa kuwaongoza na sio CCM. na kumbuka watanzania wa leo sio wale wa enzi zile. hawa wanafanya kweli. Pili ni kama CCM itakuwa muungwana wa kutosha kukubali kushindwa. hii ni determinant kubwa sana. so far inaonesha CCM iko tayari kutumia ma F-16 yake, ma-Tomahawk yake, ma-cruise missile yake - the full arsenal, kumsambaratisha yeyote atakayejitokeza kuitishia "mkate wake". lakini kauli ya wananchi ndio ya mwisho na kama CCM watatuepusha na vurugu kwa kukubali kushindwa

- Slaaa aliitoa kamasi CCM yenye Wabunge karibu 250, against 46 wa Chadema? Duh! what a great thinking!

William @ NYC, USA.
 
William, Mdogo wangu mimi ninaswali "Hivi ni lini mara ya mwisho ulikuwa hapa bongo?" inaelekea ni long time. Na hata ukija basi maongezi yako ni Sea Criff, Holiday Inn, Mlimani City n.k. Maongezi yako na akina kasesela, Nape, na makada wenzio. Nenda vijiweni bwana ndio utapima jta halisi la siasa TZ mzee, Nakuthibitishia kuwa hujui hali ya kisiasa imekaaje hasa kwa upande wa MAGAMBA. Sio siri safari hii kama haitapatikana katiba mpya inayokidhi mahitaji ya sasa ya kisiasa na kijamii basi CCM itashinda lakini hawatatawala. Lakini katiba mpya ikipatikana, inayo kidhi mahitaji ya sasa ya kisiasa na kijamii basi ujue CCM ndio kwaheri.

Usijipe moyo sana ndugu yangu haijawahi tokea chama cha kisiasa cha upinzani kikawa maarufu katika rika zote za watanzania kama CHADEMA labda TANU during sixies. Mimi shughuli zangu zinanifanya nitembee sana mikoani CHADEMA iko juu, Uchaguzi wa 2015 issue haitakuwa mgombe, bali chama cha mafisadi na CHADEMA. Najua utakataa lakini hii ndio hali halisi. Kwasababu ndio kawaida yako kukataa hata kama kweli, jana nilikuambia kitendo cha kumkamata Mbowe kimemuongezea umaarufu ulinibishia. Sasa sijui umeona jinsi alivyo shangiliwa wakati anaingia bungeni, mkuu bunge lilizizima na makofi na kushangiliwa akiitwa Mandela, Mandela!!! mpaka wabunge wa magamba wamemshangilia. Kalaga baho!!!!

- Mkuu angalau una hoja sana, isipokuwa tu kwa kusoma matokeo ya uchaguzi uliopita ukweli unajisema wenyewe kwamba sihitaji kuwepo bongo kujua nafasi ya CCM na Chadema, kushangiliwa kwa kuvunja sheria za Jamhuri ni kuvikana kilemba cha ukoka, kwan kwenye kampeni za uchaguzi wa Rais aliyekuwa akishangiliwa sana alikuwa nani mkuu? Mbona idadi ya wabunge haifanani na kushangliwa!

- Unaasema wacheza mpira wanaoshangiliwa bongo kila siku wakigombea urais watapata maana wanashangiliwa sana na wananchi wakiingia uwanjani1 ha! ha! ha! hoja zingine bwana!


William @ NYC, USA.
 
Well said Mkulu.....once again.........heshima mbele.......

Inatia shaka sana kuona baadhi ya watu tunaoamini kuwa.......pengine watakuja kuwa viongozi wa nchi hii.......wanakuwa not only hawafuati sheria...........but also........wanasupport sheria mbovu mbovu............Nilitegemea mtu mwenye nia ya kuwa kiongozi anatakiwa awe mfano mzuri kwakila hali.....ikiwa na pamoja na kufuata sheria..............Yes kunaweza kuwa na shortfall kwneye utekelezaji wa sheria katika sehemu mbali mbali lakini hali haitupi free pass kufanya mambo the way we feel like..........NO WAY

Siasa zingine ni za kijinga sana.........na hii inaonyesha ni jinsi gani....potentially watu wanaweza kuja ku-undermine sheria na ku-insinuate watu/wananchi wafanye/lete ushabiki..........ili wawe popular.............Nilisema na ninarudia.......misingi ya sheria yeyote ni KULINDA na wala si vinginevyo.............kama kuna sheria ambayo haiko katika mtizamo huo......basi ina kasoro...........

Right on Time Billy!!............Fimbo hii hii waliyoitumia CCM yenu.......inabidi tuwakome nao Giladi mchana kweupe kwenye scandals walizonazo (kama ulivyoainisha).....well done!

- Well, kama nilivyosema sana hapa JF, kuna some of us tutaendelea kufikiria independently sio kulazimishwa kwa mafungu mafungu kama walio wengi, I mean ukiisoma sana hi thread utawaona tuu1 ha! ha! karibu sana mkuu, tuendelee kuwapiga kelele, wasuke au wanyoe!

- Ila heshima sana mkuuu maana unaonyesha kwamba sio wote humu tumenyeshwa ile Kool aid ya Chadema ya kuimba zidumu fikra za Mwenyekiti kukiuzia chama chake malori machakavu! ha! ha! ha! ha! Saafi sana!


Willam @ NYC, USA.
 
Wlly,
Mkuu nadhani huifahamu vizuri CCM ya sasa hivi na jinsi watu walivyobadilika. Ondoa kabisa mawazo ya kwamba kina Lowassa, Chenge na Rostam wataondolewa hata kamam utakuwa na mawasiliano moja kwa moja na JK. Hili haliwezekani na CC hawawezi kukiweka chama ktk vita ya ndani. Kumbuka tu kwamba EL alijiuzuru Uwaziri mkuu kukinusuru chama na hakika wahusika wote ni pamoja na Rostam, Chenge na JK mwenyewe.

Sisi wote tulifurahia sana pindi JK alipoingia madarakani kutokana na ahadi zake, lakini kumbuka pia ni wewe mwenyewe uliyetutahadhalisha na mtandao jinsi walivyotumia nguvu ya fedha kuingia madarakani. Binafsi sikuamini na ilinichukua muda sana kuamini maelezo ya mkuu wangu wa ukweli ikiwa ni pamoja na yule Mzee Es...

Hakuna kilichobadilika na hakuna matumaini tena ndani ya CCM na ndio maana nilijiunga Upinzani sii kwa sababu nyingine zaidi ya kuelewa kwamba Utawala wowote unaoingia kwa nguvu ya fedha hasa za wafadhili iwe wa ndani au nje matokeo yake ni kuwafanya wananchi ambao ndio serikali kuwa watumwa wa wafadhili hao..Hii ndio CCM ambayo unatafuta kiongozi bora atokee wakati ushindi haupatikanai isipokuwa kwa kutumia fedha.

NNauye mshikaji, bwana mdogo ambaye kapachikwa wadhifa huu makusudi baada ya kupigwa vita kule vijana wa CCM na ni ktk kujaribu kukijenga chama upya kutokana na migogoro ndani kwa ulipatanisho wa Mzee Ruksa na Kinana. Hivyo chama bado kabisa hakijaweza kupona donda la uhasama ndani kinahitaji recovery period. Kusimika kisu ktk donda la Ufisadi ati kwa kujivua magamba ni hadithi za Abunuasi..

Upatanisho wa kamati ya Mzee Mwinyi haukuwa na mshindi, hivyo kuwaondoa Mapacha ni kuwapa ushindi kundi pinzani jambo ambalo haliwezekana kabisa kutokana na kuwa JK mwenyewe ni kundi la mtandao. Na kama Lowassa alivyosema Urafiki wao haukuanza jana, Sasa wewe nambie boyza to Men walianza lini ilihali Mwalimu alimwita Lowassa fisadi na JK hajakomaa kisiasa...

Ifike wakati tukubali matokeo mkuu wangu, huwezi kuibadilisha CCM kwa siasa za kiitikadi ikiwa watu wamepania kutajirika. Utajiri hauna mfumo wala Elimu bali ni tamaa ambayo haiwezi pukutika isipokuwa kwa sheria kuwabana na bahati mbaya sheria wameikalia wenyewe.

- Bob heshma yako kwanza mkuu, well ninakusoma sana lakini ukwel ni kwamba wameshapewa barua kwamba wanaogopwa hapana siamini hilo, ninajua kwamba wana watu wengi ndani ya our Political System, lakini ninaamini kwa 100% kwamba they are done!, na CCM tutairudisha inapotakiwa very soon, maana Nape na Januari ni mtoto wa kuotea mbali sana hao ndio ninawaminia kwamba ndio the future smart CCM!

William @ NYC, USA.
 
Mkuuu Tawi la CCM USA linafunguliwa nini. teh teh teh . Naona na CDM nao wako mbioni. Kweli ukombozi unakaribia.:rofl::rofl:

- Well, kufungua tawi sio ushabiki wa mpira So! sasa hivi tunaunganisha nguvu na Houston na soon linakuja, karibu sana mkuu, tujivue magambas!!

William @ NYC, USA.
 
- Mkuu wa Polisi wa Tanzania, anachukua amri toka kwa Waziri wa Ndani, ambaye ni Mbunge wa CCM aliyechaguliwa na Rais wa ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, Mwenyekiti wa Chadema hawezi kukamatwa bila hao wawili kujua in advance na pia hata kutoa their input, kama ulikuwa hujui haya basi ndio maana hapa JF hatuelewani, ni very simply National Politics ambazo hata mtoto wa Shule ya Vidudu anatakiwa kujua, kwamba sio bongo ni siasa za Dunia nzima! UNDERSTAND!

wIlliam @ NYC, USA.

Hujui nilifeli vidudu...hahaha! Mkuu wa polisi anachukua amri toka lini kwa waziri? Nipe mfano wa amri iliyotoka kwa waziri kwenda kwa mkuu wa Polisi ifanyiwe kazi? Ndio maana nasema wewe hujui maana ya polisi....unaropoka tu kama mtu anayeteremsha matapishi? Ivi Mbowe alikamatwa kwa amri ya ccm au mahakama? Au na hapo utadai hakimu amechaguliwa na ccm ndio kwa hiyo anafuata amri ya ccm? Am not sure kama wewe unauwezo wa kufikiri. NYC unaendesha magari ya kuzomba takataka?
Pili, kwa hiyo unasifia system mbovu ambayo inaendekeza upendeleo katika kazi za taifa? Yani polisi wapate amri kutoka kwa politicians? Kweli wewe unaipenda Tanzania! Ndio maana upo ccm maana ni wajinga ndio mmejazana huko. Huwezi kuwa na akili alafu ubaki ccm.
 
- Nonsense!

William @ NYC, USA.

Nadhani kiswahili kidogo kinakupiga chenga, hukuelewa nilikuwa namaanisha kitu gani, William mbona kana kwamba uraia wako wa Tanzania uliupata kwa kuomba? Nadhani umeshindwa kuifafanua hiyo sentensi uliza wanaojua kiswahili fasaha wakufafanulie hapo ndipo utakapojua kati yangu mimi na wewe nani anaongea nonsense. Sina sababu ya kukujibu kwa kejeli naamini kabisa hukuelewa ndio maana ulikimbilia dictionary.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
- Bob heshma yako kwanza mkuu, well ninakusoma sana lakini ukwel ni kwamba wameshapewa barua kwamba wanaogopwa hapana siamini hilo, ninajua kwamba wana watu wengi ndani ya our Political System, lakini ninaamini kwa 100% kwamba they are done!, na CCM tutairudisha inapotakiwa very soon, maana Nape na Januari ni mtoto wa kuotea mbali sana hao ndio ninawaminia kwamba ndio the future smart CCM!

William @ NYC, USA.
Kweli ukipenda chongo utaita kengeza, njoo uwaone hao jamaa zako wanavyo mwaga upupu badala ya kujenga hoja za kukitetea chama chao.
 
Hujui nilifeli vidudu...hahaha! Mkuu wa polisi anachukua amri toka lini kwa waziri? Nipe mfano wa amri iliyotoka kwa waziri kwenda kwa mkuu wa Polisi ifanyiwe kazi? Ndio maana nasema wewe hujui maana ya polisi....unaropoka tu kama mtu anayeteremsha matapishi? Ivi Mbowe alikamatwa kwa amri ya ccm au mahakama? Au na hapo utadai hakimu amechaguliwa na ccm ndio kwa hiyo anafuata amri ya ccm? Am not sure kama wewe unauwezo wa kufikiri. NYC unaendesha magari ya kuzomba takataka?
Pili, kwa hiyo unasifia system mbovu ambayo inaendekeza upendeleo katika kazi za taifa? Yani polisi wapate amri kutoka kwa politicians? Kweli wewe unaipenda Tanzania! Ndio maana upo ccm maana ni wajinga ndio mmejazana huko. Huwezi kuwa na akili alafu ubaki ccm.

- Waziri wa Mambo ya Ndani Mwinyi Awamu ya kwanza, alijuzulu kwa sababu polisi waliwasumbua wananchi waliodhaniwa kuwa wachawi kule Shinyanga, otherwise naona una matatizo ya binafsi zaidi kuliko kuelimishana sasa unasemaje kwamba Chadema ikishika nchi wanaofanya kazi za kusomba taka taka mtawaua wote maana hawafai kuwepo kwenye jamiii?

- Ha! ha! ha! ha! karibu sana New York City mkuu wangu Big Apple you know, MUCH RESPECT BRO! HA! ha!


William @ NYC, USA.
 
Nadhani kiswahili kidogo kinakupiga chenga, hukuelewa nilikuwa namaanisha kitu gani, William mbona kana kwamba uraia wako wa Tanzania uliupata kwa kuomba? Nadhani umeshindwa kuifafanua hiyo sentensi uliza wanaojua kiswahili fasaha wakufafanulie hapo ndipo utakapojua kati yangu mimi na wewe nani anaongea nonsense. Sina sababu ya kukujibu kwa kejeli naamini kabisa hukuelewa ndio maana ulikimbilia dictionary.

Chama
Gongo la Mboto DSM

- Matatizo ya binafsi zaidi, kwa nini you want to waste your time na asiyejua lugha unayoongea badala ya wanaojua lugha yako? ha! ha! vipi mkuu can we get back to the mada, siku njema sana mkuu! ha! ha! ha! ha1

William @ NYC, USA.
 
- Bob heshma yako kwanza mkuu, well ninakusoma sana lakini ukwel ni kwamba wameshapewa barua kwamba wanaogopwa hapana siamini hilo, ninajua kwamba wana watu wengi ndani ya our Political System, lakini ninaamini kwa 100% kwamba they are done!, na CCM tutairudisha inapotakiwa very soon, maana Nape na Januari ni mtoto wa kuotea mbali sana hao ndio ninawaminia kwamba ndio the future smart CCM!

William @ NYC, USA.

Hapo kwenye RED Huyo jamaa mwakani ni out of green stand, kama una notebook andika utakumbuka maneno yangu. mzimu wa ccj utammaliza mwakani wakati wa uchaguzi mkuu wa ndani wa ccm take my word.
 
Bro Bill,

Hongera sana sana kwa hii post ya maana sana. Nimefurahishwa sana na kufarijika na uthubutu wako katika kiwango hiki. Hakika nimesoma vizuri na nimekuelewa vema. Binafsi kama kweli tunataka tusonge mbele viongozi wetu wachukue maamuzi magumu. Najua hii ni ishu ambayo kweli inaweza kulitikisa taifa na kukigawa chama, lakini utakuwa uamuzi wa kuitakika mema nchi yetu.
The big ishu ni utaifa kwanza na mambo ya ushabiki wa chama baadae. Hakika nitajisikia vema kama woote wanaotuhumiwa na ufisadi kuchunguzwa kwa kina sana sana pasipo kumuonea mtu na kupindisha pindisha. Na ikitokea kama kweli wamehusika katika namna moja ama nyingine basi waburuzwe maakamani na sheria ifuate mkondo wake.
Pamoja sana sana kaka! isipokuwa kuwa makini wasije waka KUKOLIMBA kwani hiii thread inachoma sana.

MUNGU IBARIKI Tanzania.
 
- Waziri wa Mambo ya Ndani Mwinyi Awamu ya kwanza, alijuzulu kwa sababu polisi waliwasumbua wananchi waliodhaniwa kuwa wachawi kule Shinyanga, otherwise naona una matatizo ya binafsi zaidi kuliko kuelimishana sasa unasemaje kwamba Chadema ikishika nchi wanaofanya kazi za kusomba taka taka mtawaua wote maana hawafai kuwepo kwenye jamiii?

- Ha! ha! ha! ha! karibu sana New York City mkuu wangu Big Apple you know, MUCH RESPECT BRO! HA! ha!


William @ NYC, USA.

The man from the Big Apple...Nitakuja kukutembelea siku moja na mimi nitoke bwana. Bongo ni full shida na chama chako.
Anyway...Nadhani wewe unachanganya vitu vingi kwa kusudi la kuleta point unayojua ni wrong. Na hapo ndipo unaponiboa. Yani unatoa point ya waziri kujiuzulu kwa makosa ya polisi kama evidence ya kuwa polisi wanapokea maagizo kutoka kwa serikali? Sioni link yeyote hapo mkuu. Kujiuzulu kwa Waziri ni kuonyesha responsibility na accountability. Nadhani nahitaji kukupa somo fupi sana juu ya maana ya separation of power, serikali na accountability.
1. Polisi ni sehemu ya Serikali ambayo ni sehemu ya tatu ya Dola
2. Serikali inachaguliwa na wananchi kwa hiyo ipo accountable kwa wananchi
3. Polisi haichaguliwi na wananchi - CIVIL SERVANT
4. Polisi haipokei maagizo kutoka kwa serikali bali inalinda au kushinikiza sheria za nchi. (LAW ENFORCEMENT)
Note: Tofauti ya Polisi na civil servants wengine ni duties zao. Police as the only Law Enforcement Body within the State has one duty alone - to protect the Law. Kwa vile Sheria inatungwa na bunge na kuwa interpreted na mahakama, basi Polisi wana link na hizi organs nyingine za State. Lakini wako karibu zaidi na mahakama katika utendaji.
Kwa hiyo Polisi ni sehemu ya Serikali iliyokaribu na Mahakama kwa sababu ya duties zake.
5. Hii ndio TOFAUTI KUU kati ya polisi na vyombo vingine vya serikali (other civil servant duties)
6. Kwa vile serikali inachaguliwa na wananchi na polisi ni sehemu ya serikali, basi pale polisi inapoboronga, ni sawa kwa Waziri kuhusika kujiuzulu. Hii ni sahihi kama vile kukitokea failure katika Govt departments nyingine zozote.
7. Hapo ndipo principal ya accountability comes to play.
8. Kama polisi nayo imevunja sheria, inatakiwa ishtakiwe kama entity nyingine yeyote.

Bottom line ni kuwa POLISI HAIONGOZWI NA CHAMA BALI SHERIA. Ukielewa hilo utakuwa umeelimika mkuu.
 
@ Facebook: by William Malecela on Tuesday, June 7, 2011 at 8:36pm

@ NEW YORK CITY-US: Hongera sana Serikali ya CCM kwamba kwa mara ya Tatu toka tupate Uhuru, imeonyesha kuwa ikiamua inaweza kusimamia Sheria bila kujali inamgusa mwananchi au kiongozi wa taifa. Ninasema kwa mara ya Tatu kwa sababu mara ya kwanza ilianza na Balozi Mahalu, halafu Mawaziri Wake Yona na Mramba, na safari hii Mwenyekiti wa Chadema. Kama kawaida siku zote the end of hizi National Legal dramas huwa ni open for debate, na hasa iwapo the end justifies the means, lakini angalau hata kidogo kuliko kutokuwepo kabisaa! Ninasema hivi, kusimamia Sheria za Jamhuri ni lazima kuwepo na gharama na sisi wananchi walipa kodi lazima tuwe tayari kulipia gharama za Serikali yetu kusimamia Katiba ya Jamhuri, ambayo Viongozi wetu wa taifa hukubali kwa kiapo cha vitabu vyetu vitakatifu kwamba bora wafe, kuliko kuona Sheria za Jamhuri zinavunjwa!

- HOWEVER: Serikali ya CCM ifike mahali sasa isituchukulie sisi wananchi kama ni wendawazimu au walevi walevi flani hivi, ambao tunaweza kudanganyika kirahisi sana na viini macho. I mean huu mwendo wa kasi sana uliotumika katika kusimamia Sheria kwenye ishu ya Mwenyekiti wa Chadema, kwa nini isitumike na kwenye kesi zingine ambazo ushahidi wake wa maovu against sisi wananchi, na kwa Sheria za Jamhuri yetu upo wazi kabisa! I mean upo ushahidi wa kutosha sana kuhusu Ufisadi wa Radar na BAE, tunajua kwamba upo ushahidi wa kutosha sana kuhusu Richmonduli, tunajua sana kwamba upo ushahidi wa wazi kuhusu Dowans na Kagoda, sasa kwa nini huku upande wa pili unaowahusu Viongozi wa CCM Serikali inasua sua na kuwa na makengeza? Hivi ni kweli Serikali ya CCM inaweza kwa macho makavu sana na uso kwa uso kutuambia wananchi kwamba Farijala na Maranda tu ndio waliochota hela za EPA? Yaani kazi yote ile na gharama za kamati ya Mwakyembe na Richimonduli mpaka leo kwa nini hakuna kiongozi hata mmoja aliyefikishwa kwenye Sheria? Kumbe Serikali ya CCM ikitaka kusimamia Sheria inaweza kutumia hata midege ya Jeshi ambayo tafsiri yake inaweza kuwa Amiri Mkuu Wa Majeshi yetu ndiye Chief Of Our Law Enforcement, kwa hiyo mkono wa kushoto kuusaidia wa kulia sio dhambi, Bravo for that lakini vipi wahalifu sugu huko ndani ya CCM?

- I mean we are taking Serikali ya CCM at its words kwenye ishu ya Mwenyekiti wa Chadema, kwamba iko serious na kusimamia Sheria za Jamhuri, So! tunasema hivi Charity begins at home sasa ni wakati wa Serikali ya CCM kutuhakikishia wananchi kwamba katika kusimamia Sheria za Jamhuri, hakuna aliye juu yake kwa kuwafikisha kwenye Sheria Viongozi wake wengi wanaotuhumiwa kuvunja Sheria ile ile iliyovunjwa na Mwenyekiti wa Chadema, mpaka kumbeba na Midege ya Jeshi letu ili akaridhie Sheria Arusha, sasa hii Midege iwabebe na wanaohusika na Radar & BAE, Richmonduli, IPTL, Dowans, Kagoda, EPA, Deep Green, Meremeta, Anabem, Kiwira, ATC na wao tuone wakibebwa na midege ya Jeshi kwenda kwenye Sheria za Jamhuri!: Tunasema hivi sisi wananchi wa Tanzania sio mabwege tena!

Well, People Good Night!

William Malecela @ New York City, USA.


Mbona humtaji baba yako malecela alipewa hela na JIETU kwa ajili ya kumuoa mama yenu wa kambo..
 
- Matatizo ya binafsi zaidi, kwa nini you want to waste your time na asiyejua lugha unayoongea badala ya wanaojua lugha yako? ha! ha! vipi mkuu can we get back to the mada, siku njema sana mkuu! ha! ha! ha! ha1

William @ NYC, USA.

Siku njema kada usichoke tupo kuelemishana usichojua uliza, jazba na kejeli havitakufikisha popote majibu ya mada unayo na unayajua unataka kuzengua watu tu CCM na serkali yake ndio ile ile hakijabadilika kitu.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Back
Top Bottom