VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,899
- 580
hakuna issue ya majungu kama unasoma btw line kasome ile blackmail yako ya kwamba wewe ndio umefanya watu wasiamini jf sio ya CHADEMA.!!!!!!!!- Mkuu nimekusoma naona una tatizo kubwa sana kuliko unayoyasema! ha! ha! lakini naomba kukukaribisha sana, karibu ninakuosma sana between the lines kwamba una tatizo kubwa sana, ni vyema ukalisema kuliko kuzunguka zunguka! ha! ha! ha!, Umenivunja mbaavu sana na majungu majungu! ha! ha! ha!
William @ NYC, USA.
SO HUYO ULIYEKUWA UNAMJIBU UNATAKA AFANYE JE? anywa kama unasoma btw line nadhani hiyo tabia utaiacha, pili punguza ukikwete kwenye post zako unacheka sana.
point ni kwamba huu sio wakati wa watu kuwatafutana wenzao au kuwagandamiza kwa sababu walipata nafasi furani katika jamii kufanya kitu furani, ndio maana ni lisema kwa kuzingatia kwamba wewe ni sharehold sio sahihi in professional way kusema hivyo, kama ulisema ni sehemu ya umiliki wao ila sio kuja kutumia huo msuli hapa jamvini.
nimeshasema hapo juu wahandishi wetu bado ni wachanga wanaangalia sana majina badala ya fact.
mwisho mimi siwezi kukupiga wewe majungu wala mtu yeyote hacha kujishusha, in fact nilikezwa na kauli yako,
fikiria mara mbili ulikuwa na maana gani kusema hivyo, kama sio kujikweza?
anyway nitaipotezea hii post ili kuondoa fikra kwamba nakupiga majungu,
nalichukia hilo nane maaana hiyo ni tabia ya jk na nchi umeona ilikofikia, hivyo kunifananisha na jk
umenivunjia heshima katika jamii ,
gooddluck