My opinion: Je serikali ya CCM iko serious kweli au ni kiini macho tu

- Kwani ni lazima ziwe nzuri mkuu? Na ni kwa standard za nani mkuu?

William @ NYC, USA.

Kwa uzuri nina maana convincing. Ziwe supported na evidence. Ulijaribu kutoa evidence lakini nimezitengua zote. Mwisho umeishia kusema tupo off topic! Kwa standard ya mtu yeyote aliyeenda shule atajua umeshindwa ku-support assertions zako.
 
Kijana William Mtoto wa Babu Malecela,
naomba maisha na starehe zako za
huko New York zimekutawala na
kukufanya ujisahau kuwa kwenu ni
MTERA-DODOMA VIJIJINI. Then kulazimishwa kwako na wazazi wako
kuingia ccm kwa tamaa ya kukuweka
ktk system ndio haswa ikuponzayo na
kukufanya uwe mpofu na mchanga
ktk siasa hususani za tz.
Nimekufatilia sana toka ulipo'post hii thread, binafsi nilitaka kujua
objectives zako, premises zako ili
niwezejenga conclusion. Nimegundua
wewe ni popo ucejua chochote/huna
msimamo na hauna upande unao
utetea zaidi ya kubwabwaja. Serikali za ccm inaudhaifu na
mapungufu makubwa, ni aina ya
serikali isiyo na uthubutu pia
ijengwayo na watu wasio wazalendo
wa nchi (ni km genge fulani la
mafisadi na wala rushwa, watu hatarishi kwa maendeleo ya taifa. Ni
serikali iliyoshindwa kusimamia sheria
haswa ktk maadili ya viongozi wake.
Naomba TUKUBALIANE KWA PAMOJA
JUU YA HAYA MAPUNGUFU YA SERIKALI
YA CCM then kwa pamoja as youth, lets discus the future of our land
(Tanganyika), haya ya kutetea ccm
wkt wajua inavuruga sio vizuri, ni
upofu wa kujitakia. Once again i
would like to thank you for your
good, unique and challenging threads, i realy enjoy to read them and
comment, though wkt mwingine
huwa unaboa! Always kumbuka
kwenu ni Mtera,Dodoma Vijijini.
 
- Naona hili neno la oportunists unalijua sana vipi unahusika nalo sana nini? ha! ha! ha!, Chief ni nani aliyekukataza kumfungulia thread Malecela? ha! ha! mbona unajivua nguo na mawazo yako finyu sana, I mean unabadili majina lakini mawazo ni yale yale ya wivu wivu wa kike vipi wewe mkuu kazana hapa tunajadili taifa vipi mkuu huna hoja ya kusaidia taifa? Duh!

- Hayo maneno mekundu ndio unapojivua nguo kwamba wewe ni nani! ha! ah! ah! ha!

William @ NYC, USA.

Nadhani wewe ndio unayeongea maneno ya kike, Taifa lipi unalolijadili wewe zaidi ya unafiki, hapa hujadili siasa zaidi ya kujaribu kuwapiga vita kina Mkapa; ukweli hao ndio walio waliomnyamazisha Mzee Malicella leo unapojinadi taifa mbele muulize Mzee Malecella alipokuwa ndani ya system aliweka watu wangapi ndani au watu wangapi walikufa mikononi mwa system aliyokuwa akioongoza Mpaka leo hii ujidai kumsikitikia Mbowe? System ndio ile ile kilichobalidilika jina tu, nikuonee wivu kwa kipi? Acha UNAFIKI kama unataka tuongee siasa za kujenga nchi tuongee unafiki hatuwezi kuuvumilia. CCM maji mazito kashindwa kuyaoga Mzee utayaweza wewe?
Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Kijana William Mtoto wa Babu Malecela, naomba maisha na starehe zako za huko New York zimekutawala na kukufanya ujisahau kuwa kwenu ni MTERA-DODOMA VIJIJINI. Then kulazimishwa kwako na wazazi wako kuingia ccm kwa tamaa ya kukuweka ktk system ndio haswa ikuponzayo na kukufanya uwe mpofu na mchanga ktk siasa hususani za tz.
1. Nimekufatilia sana toka ulipo'post hii thread, binafsi nilitaka kujua objectives zako, premises zako ili niwezejenga conclusion. Nimegundua wewe ni popo ucejua chochote/huna msimamo na hauna upande unao utetea zaidi ya kubwabwaja.
Serikali za ccm inaudhaifu na mapungufu makubwa, ni aina ya serikali isiyo na uthubutu pia ijengwayo na watu wasio wazalendo wa nchi (ni km genge fulani la mafisadi na wala rushwa, watu hatarishi kwa maendeleo ya taifa. Ni serikali iliyoshindwa kusimamia sheria haswa ktk maadili ya viongozi wake. Naomba TUKUBALIANE KWA PAMOJA JUU YA HAYA MAPUNGUFU YA SERIKALI YA CCM then kwa pamoja as youth, lets discus the future of our land (Tanganyika), haya ya kutetea ccm wkt wajua inavuruga sio vizuri, ni upofu wa kujitakia.2. Once again i would like to thank you for your good, unique and challenging threads, i realy enjoy to read them and comment, though wkt mwingine huwa unaboa! Always kumbuka kwenu ni Mtera,Dodoma Vijijini.

- Genius, I mean soma tena maneno yako mwenyeweuone the flow! ha! ha! ha! ha! ha! ha! halafu ninakuboa lakini you keep on coming na kupitia threads zangu zote ha! ha! ha! ha! kweli akili ni mali kila mtu ana zake, na unapoongea ndio kabisa unaoyesha upeo wa kufikiri unapoaniza na kuishia!

William @ NYC, USA.
 
Nadhani wewe ndio unayeongea maneno ya kike, Taifa lipi unalolijadili wewe zaidi ya unafiki, hapa hujadili siasa zaidi ya kujaribu kuwapiga vita kina Mkapa; ukweli hao ndio walio waliomnyamazisha Mzee Malicella leo unapojinadi taifa mbele muulize Mzee Malecella alipokuwa ndani ya system aliweka watu wangapi ndani au watu wangapi walikufa mikononi mwa system aliyokuwa akioongoza Mpaka leo hii ujidai kumsikitikia Mbowe? System ndio ile ile kilichobalidilika jina tu, nikuonee wivu kwa kipi? Acha UNAFIKI kama unataka tuongee siasa za kujenga nchi tuongee unafiki hatuwezi kuuvumilia. CCM maji mazito kashindwa kuyaoga Mzee utayaweza wewe?
Chama
Gongo la Mboto DSM.

- Well, lets talk Malecela na all his acomplishments from DC, MP, RC, Minister, Prime Minister, Vice President, CCM Vice Chairman, Commonwealth Eminent Person, now retired but Permanent CCM's CC member, now wewe unaongeelea nini kuhusu Malecela na siasa? After all this anahitaji nini tena na kwa sababu unataka siasa za baba why dont you talk kuhusu accomplishmnet za baba yako hapa tuone unakoipata hiyo authority! ha! ha! h1 ndio maana ninakwambia hivi unasumbuliwa na wivu na tatizo masikini wa Mungu huelewi kwamba ni maneno yako ndio yanakushitaki, kwa sababu ni only kama baba yako ameweza ku-accomplish zaidi ya Malecela's political career ndio unaweza kuwa na hiyo authority na besides matatizo yako binafsi yanathibitishwa na the fact kwamba hii sio thread ya Malecela, kwa nini usianzishe? ha! ha! ha! ha!

- Inaonekana wewe upo hapa kujinadi pole sana mimi nipo na mitandao for years, na sio wote tupo hapa kujinadi kama unavyojisema mwenyewe, pole sana!

- Simsikitiii anybody, isipokuwa ninatumia haki yangu kisheria ya hapa JF na Jamhuri kutoa maoni yangu, wewe uamuzi ni wako kukubali au kunipinga, ila kuingilia maisha yangu binafsi kwa sababu ya maoni yangu ya siasa za taifa langu ni dalili za upumbavu wa hali ya juu sana on your part! na ninakushngaaa sana maana unahangaika sana lakini huwezi kuninyamazisha wala kunilazimisha niwe na mawazo ya kipumbavu na mgando kama yako, kubadili badili kwako IDs hakunidanganyi Mwalimu mpumbavu!

- CCM ni chama changu katiba yake inaniruhusu kushiriki as much as I see to be fit, hayo ya maji ya shingo labda huko kwenu Chadema, halafu naomba tena kwamba kama huna la kuchangia kuhusu taifa basi kaa pembeni maana unanipotezea muda na upumbavu wako na mawivu ya kijinga, kama unataka kumuongelea Malecela basi anzisha thread yake! ha! ha! ha! ha! ha!

- Have a nice day!

William Malecela @ NYC, USA.
 
Kwako William John Chigwiyemisi Malecela,

Ungekuwa wa kukaja ningesema ujobile nyambala kangi kyala akutulegee, na bahati mbaya sikijui kigogo zaidi ya mihanyenye.
Ndani ya Tanzania kuna kundi la watanzania haliguswi kabisa na mkono wa sheria hata wakifanya nini. Na kundi hilo ndilo linaloharibu Tanzania.
Kwangu naona wezi wa EPA, KAGODA, RICHMOND, MEREMETA, RADA, NDEGE YA RAISI, MGODI WA KIWIRA ni watu wa kunyongwa mpaka kufa. Kama wadokozi wa mifukoni tunawapiga na kuwachoma moto kwanini hawa wezi wakubwa wanapeta mitaani kwa udhamini wa CCM?. Watanzania tunaelewa nini ama tutakielewa vipi CCM na serikali yake?.
 
Kwako William John Chigwiyemisi Malecela,

Ungekuwa wa kukaja ningesema ujobile nyambala kangi kyala akutulegee, na bahati mbaya sikijui kigogo zaidi ya mihanyenye.
Ndani ya Tanzania kuna kundi la watanzania haliguswi kabisa na mkono wa sheria hata wakifanya nini. Na kundi hilo ndilo linaloharibu Tanzania.
Kwangu naona wezi wa EPA, KAGODA, RICHMOND, MEREMETA, RADA, NDEGE YA RAISI, MGODI WA KIWIRA ni watu wa kunyongwa mpaka kufa. Kama wadokozi wa mifukoni tunawapiga na kuwachoma moto kwanini hawa wezi wakubwa wanapeta mitaani kwa udhamini wa CCM?. Watanzania tunaelewa nini ama tutakielewa vipi CCM na serikali yake?
.

- Well, ndio maana nimetoa maoni yangu through hii thread kwamba kama Serikali inaweza kufanya wonders kama walizomfanyia Mh. Mbowe majuzi, basi kumbe wanaweza kufanyia na wengine wote ambao wanatuhumiwa na ushahidi upo wazi kama ule wa kamati ya Mwakyembe, sasa kwa nini na wao wasipakizwe kwenye midege ya kijeshi wakiwaishwa kwenye sheria?

Tuko pamoja mkuu katika hili. Ninakubaliana na wewe 100%, kama CCM imeweza kutumia maguvu yote yale kwenye suala la mbowe, inashindwaje kutumia miguvu kama ile kwa wezi wetu wakubwa?.
 
- Well, lets talk Malecela na all his acomplishments from DC, MP, RC, Minister, Prime Minister, Vice President, CCM Vice Chairman, Commonwealth Eminent Person, now retired but Permanent CCM's CC member, now wewe unaongeelea nini kuhusu Malecela na siasa? After all this anahitaji nini tena na kwa sababu unataka siasa za baba why dont you talk kuhusu accomplishmnet za baba yako hapa tuone unakoipata hiyo authority! ha! ha! h1 ndio maana ninakwambia hivi unasumbuliwa na wivu na tatizo masikini wa Mungu huelewi kwamba ni maneno yako ndio yanakushitaki, kwa sababu ni only kama baba yako ameweza ku-accomplish zaidi ya Malecela's political career ndio unaweza kuwa na hiyo authority na besides matatizo yako binafsi yanathibitishwa na the fact kwamba hii sio thread ya Malecela, kwa nini usianzishe? ha! ha! ha! ha!

- Inaonekana wewe upo hapa kujinadi pole sana mimi nipo na mitandao for years, na sio wote tupo hapa kujinadi kama unavyojisema mwenyewe, pole sana!

- Simsikitiii anybody, isipokuwa ninatumia haki yangu kisheria ya hapa JF na Jamhuri kutoa maoni yangu, wewe uamuzi ni wako kukubali au kunipinga, ila kuingilia maisha yangu binafsi kwa sababu ya maoni yangu ya siasa za taifa langu ni dalili za upumbavu wa hali ya juu sana on your part! na ninakushngaaa sana maana unahangaika sana lakini huwezi kuninyamazisha wala kunilazimisha niwe na mawazo ya kipumbavu na mgando kama yako, kubadili badili kwako IDs hakunidanganyi Mwalimu mpumbavu!

- CCM ni chama changu katiba yake inaniruhusu kushiriki as much as I see to be fit, hayo ya maji ya shingo labda huko kwenu Chadema, halafu naomba tena kwamba kama huna la kuchangia kuhusu taifa basi kaa pembeni maana unanipotezea muda na upumbavu wako na mawivu ya kijinga, kama unataka kumuongelea Malecela basi anzisha thread yake! ha! ha! ha! ha! ha!

- Have a nice day!

William Malecela @ NYC, USA.

Wewe ndio unayepotezea muda watu kwa UPUMBAVU na UNAFIKI wako sitachoka kujibu UPUUZI narudia tena wewe ni CHADEMA unashindwa kujitangaza hadharani kinakuogopesha nini? Una tatizo la IQ ndio maana umeng'ang'ania kutofautisha MAVI na KINYESI, sina sababu kumjadili Mzee Malecela, hizo kelele zako za kipunguani hazisaidii kitu ukweli utabakia kama ulivyo. Umekazana kusema wivu hiyo inajionyesha ni kwa kiasi gani usivyojiamini. IT IS WHAT IT BABY I'M GOOD AND HAPPY WITH MY ACHIEVEMENTS BOMBO CLATH!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
- Nonsense!, nilidhani utaeleza accomplishments za baba yako kwanza vipi can we go there now tukate mziizi wa fitina? ha! ha! ha! ha!

Willie @ NYC, USA.
 
Kwa uzuri nina maana convincing. Ziwe supported na evidence. Ulijaribu kutoa evidence lakini nimezitengua zote. Mwisho umeishia kusema tupo off topic! Kwa standard ya mtu yeyote aliyeenda shule atajua umeshindwa ku-support assertions zako.

- Labda unisaidie tena unaongelea nini mkuu maana sikuelewi kabisa unasema nini? Eti unasema nikiamini kwamba Serikali ya CCM hahihusiki na utawala wa polisi ndio nitaonekana mbele ya uso wako nina elimu kubwa? ha! ha! ha! ha!

William @ NYC, USA.
 
- Nonsense!, nilidhani utaeleza accomplishments za baba yako kwanza vipi can we go there now tukate mziizi wa fitina? ha! ha! ha! ha!

Willie @ NYC, USA.
Holly Mary mother of God! I can't believe this crap. Do I have time to discuss Mzee Malecela achievements? Hell no! he is PAST in Tanzania politics, he was ambitious to be president which he will be dreaming for the rest of his life. I am talking about the FUTURE. I know your frastruation is not about Tanzania or CCM; its all about CCM inner circle which shut him down. I never had chance to ask my father what he accomplished but for sure I know he is happy with what he had; the best of all he gave me A VERY GOOD LIFE. So keep it on your mind I have nothing to be jealous of you. MWANANGU KIATU HIKI SAIZI YAKO UTAAMUA MWENYEWE KUKIVAA AU KUVAA KUBAZI.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Holly Mary mother of God! I can't believe this crap. . I never had chance to ask my father what he accomplished
Chama
Gongo la Mboto DSM

- Well, ha! ha! ha! ha! ha! good night bro, in politics we call it waste! ha! ha! ha! hilo jibu linajibu maswali yote!

William @ NYC, USA.
 
Holly Mary mother of God! I can't believe this crap. Do I have time to discuss Mzee Malecela achievements? Hell no! he is PAST in Tanzania politics, he was ambitious to be president which he will be dreaming for the rest of his life. I am talking about the FUTURE. I know your frastruation is not about Tanzania or CCM; its all about CCM inner circle which shut him down. I never had chance to ask my father what he accomplished but for sure I know he is happy with what he had; the best of all he gave me A VERY GOOD LIFE. So keep it on your mind I have nothing to be jealous of you. MWANANGU KIATU HIKI SAIZI YAKO UTAAMUA MWENYEWE KUKIVAA AU KUVAA KUBAZI.

Chama
Gongo la Mboto DSM

- Great Thinking from a Great Thinker!

Es!
 
Chama cha Magamba oyeeeeeeeeeeeee! inaelekea ilani ya uchaguzi wa sisisemu (magamba) ni kuiandama chadema (chama makini) hivyo basi badala ya kushughulikia mambo muhimu wao wanafuatilia chadema, haya tutakutana 2015. Nyie pigeni porojo zooote lakini sasahivi ccm baada ya kujivua magamba mko uchiiii kila kitu tunakiona.
 
- Well, ha! ha! ha! ha! ha! good night bro, in politics we call it waste! ha! ha! ha! hilo jibu linajibu maswali yote!

Huna jipya, usiku mwema tunakazi ya kulijenga Taifa kesho, ukiwa na hoja ya maana yenye lengo ya kulisaidia Taifa ilete, hizo hasira zako za kisiasa tafuta pa kuzipeleka. Nakukumbusha tu kwenye politics hakuna idea ambayo ni waste wanasiasa wanazifanyia kazi idea zote hata kama zinapingana na ajenda zao. Nafurahi umejaribu kunijibu kupitia field marshal wewe ni mtu mmoja. Porojo za siasa acha.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Back
Top Bottom