Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
nimeamua kuja kwa wapya na mabinamu mnishauri kwanza kabla sijajikusanya na kuanza kumwambia. inaniuma sanaaaaa jamani naandika kwa uchungu sana hapa, akili yote na mawazo yako kwake ukizingatia siku hizi ameongeza upendo kwangu mara dufu, sometimes nahisi sijui kanistukia?, yani hapo ndo naumia balaa. sio siri lazima nikonfess mbele yake
hapa utapata mawazo tofauti jinc mtu anavyolichukulia binafc, kama mie nilivyosema nicngependa uniambie, mwingine angependa umwambie, sasa cjui utashika lipi....unavyoelezea utasema hukuwa timamu ulivyokuwa unafanya hayo mambo, saa hivi unajishtukia mwenyewe, c ajabu hata mdada wa watu kajiongezea tu mapenzi wewe kwa mambo yako unahic kakushtukia, mna mambo sana nyie, mnajikosesha amani bure.