My Confession

nimeamua kuja kwa wapya na mabinamu mnishauri kwanza kabla sijajikusanya na kuanza kumwambia. inaniuma sanaaaaa jamani naandika kwa uchungu sana hapa, akili yote na mawazo yako kwake ukizingatia siku hizi ameongeza upendo kwangu mara dufu, sometimes nahisi sijui kanistukia?, yani hapo ndo naumia balaa. sio siri lazima nikonfess mbele yake

hapa utapata mawazo tofauti jinc mtu anavyolichukulia binafc, kama mie nilivyosema nicngependa uniambie, mwingine angependa umwambie, sasa cjui utashika lipi....unavyoelezea utasema hukuwa timamu ulivyokuwa unafanya hayo mambo, saa hivi unajishtukia mwenyewe, c ajabu hata mdada wa watu kajiongezea tu mapenzi wewe kwa mambo yako unahic kakushtukia, mna mambo sana nyie, mnajikosesha amani bure.
 
hapa umenena shemeji, ndio maana kinachonikaba roho nimeamua nikiseme hapa nishaurike kwakua nimeamua hivyo kuanzia leo mie no kucheat.
na nimemuandalia zawadi spesheli leo usiku, a wonderful surprise.

mmh George_ Porjie kuna maswali amauliza Chaku niko entrest kuona majibu yake isee
 
Shost Chaku si ndivyo wanavosingiziaga utasikia wewe siku hizi mvivu ndo mana ninakwenda kule na hata wakikaa wenyewe husimuliana kuwa kule wanapelekeshwa hadi basi

Sasa kama haiko exciting than big house wanafuata nini? ngono si ni ngono tu?
 
Tunaomba utubu kwa MWENYEZI MUNGU kwani ndo ulimwahidi kuwa HUTAZINI tena nje ya ndoa pale kanisani/msikitini. Pili katubu kwa mkeo halafu badilika kikwelikweli. Zamani mademu kibao ilikuwa ufahali lakini sasa hivi ni KIFO tena cha kubauliwa na jamii. Tatu kapime uone kama afya yako ipo sawasawa. KUMBUKA MTENDA AKITENDEWA.......
 
, nimekuja kugundua kwamba mwisho wa siku ladha, utamu na mengineyo ni sawa sawa kwa wanawake wote, kwani simu ni simu tu mambo ya kwamba ina kamera, ina slide au ina bluututhi hizo ni mbwembwe tuu!!.
hapa mkuu uliua zaidi!
yani bado naitafakari post yako kabla ya kuanza kuichangia rasmi
 
Tunaomba utubu kwa MWENYEZI MUNGU kwani ndo ulimwahidi kuwa HUTAZINI tena nje ya ndoa pale kanisani/msikitini. Pili katubu kwa mkeo halafu badilika kikwelikweli. Zamani mademu kibao ilikuwa ufahali lakini sasa hivi ni KIFO tena cha kubauliwa na jamii. Tatu kapime uone kama afya yako ipo sawasawa. KUMBUKA MTENDA AKITENDEWA.......

Mkuu hajaoa bado ndo bado ni BF na GF kwa hiyo hana haja ya kwenda kutubu kwa mwenyezi kwa kuwa hakuahidi kuwa hatazini njee ya ndoa hivyo hajaoa
 
ila lazima nikatubu kwa padiri kwamba nilizini, kuzini ni kuzini tu hata iwe ndani au nje ya ndoa.
 
mmh George_ Porjie kuna maswali amauliza Chaku niko entrest kuona majibu yake isee

kashanijibu kwenye cm na Pm kwa hiyo hapa peupe hutayaona kabisa majibu yangu sema alichokuwa amekosea nikuweka hewani bila kutushirikisha wadau
 
shemeji kwakweli maneno yako yananichoma kama ncha ya mkuki tena wa moto, yani kwakweli ndiye mwenyewe, nilifanya madudu haya baada ya kuona kama bado yuko mbali sana nami, ila ni hapo majuzi tu nikaja kujua a- z ya ukweli woote, kwamba there was nothing at all, she is so innocent!, basi tu mawazo potofu yaliniingia, now she has told me yuko kwangu kwa 100% ndio maana najikuta naumia sana coz sasa upendo kwake kwangu uko wazi mpaka nakuta kweli sikua mvumilivu.

ok ok ok pole sana na tamaa za kidunia zilizokuwa zimekutawala ubarikiwe na bwana mpendwa na ukae na amani yake katika maisha mema yoooooooote ya mahusiano
 
siku mwenzangu akija ku-confence kwangu nampiga na mwiko usoni aende ku-confence kanisani teh teh
kwanza ataniumiza na kuniacha na maswali yasiyokuwa na majibu
 
jamani nimecheka mpaka machozi....mbona hivi lakini FL! mie wala asijisumbue mana ctamjibu lolote nitadhani tu ame miss mtafaruku wangu.
 
siku mwenzangu akija ku-confence kwangu nampiga na mwiko usoni aende ku-confence kanisani teh teh
kwanza ataniumiza na kuniacha na maswali yasiyokuwa na majibu

unaona sasa ugumu hapo unapokuja?. mie ndio maaana nimeamua nija hapa kupata mawazo na pia wengine wajue kwamba ugumu na urahisi wa kukonfes uko wapi. ila bado roho inaniuma jamani.
nifanyaje sasa, naogopa asije kunitandika na mwiko au mche wa kinu.
 
Its good u have decided to change your habit....very well! But for the sake of yourself and your partner (wife)........keep your mouth shut......! never and ever dare to open you bowl to your wife to tell her your were cheating while she was there....this will be the mistake of your life! Unless she discovered it and wants you to confess......! again never go back to your makandomakando, you need to bury them forever!

Some things are not meant to be told to our partners for the sake of good relationship and good future.....just keep it to your heart!
 
all points noted, ntafanyia kazi mkuu!
 
[/COLOR]

hehehehehehe!mkuu hapa umeua:D

Hongele kwa hilo mzeya kitu chakfanya nenda ukamwabie umuombe msamaha,ili aweze kukulea kwa umakini zaidi.
Hebu imagine ur wife anakja kkuomba msamaha kama huo utakbali? Tafta maada nzuri yakmwngie then katkat dumbukiza hyo kwa unyenyekevu zaidi atakusikia na kkuelewa.
 
sawa mkuu nimekupata!.
mi nitakubali akija na kukonfes wala sina kinyongo kama kweli amedhamiria maana kutubu ni kkukiri na kuahidi kutorudia tena.
 
Umemwambia lakini?

Sikushauri umwambie... ataanza kukudharau na hata ikitokea na yeye akafanya kitu cha ajabu utashindwa kumuuliza, maana hata ukimuuliza atakwambia "mbona wewe ulikuwa unafanya" or something like that...

All you have to do is change your attitude towards her...
 
thanks Askofu, bwana awe nawe!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom