My Confession

hahhaaaaaaaa... kakako mwenyewe huwa siweki hizo nadhiri, kama ni kuoga we oga tu ila ukichafuka oga tena

nakupa tano kamili mkuu kwa uamuzi wako

Apo tu mpwa,

By the way umemsikiliza kwa makini kaka MTM anachosema lakini, na umemwelewa? yeye ametangulia duniani ujue? hebu rudia tena kumsoma mpwa

mpwa MTM nimemsoma na nimemuelewa kwa uzuri mkubwa, ishu mkuu ni uamuzi tu. kuna binamu yangu mmoja humu ndani JF nilikua nae juzkati hapo ndio haswa aliyeniinspaya mpaka nikaamua kuchukua uamuzi huu.
kutokumega nje kunawezekana, na kunaanza ni mimi kisha na wewe!!.
and from now this is my new signature
 
ndoa bado changa kwasasa ndugu yangu, ntamwambia tu.
ila imeniuma kiasi ambacho nimeona machungu nije niyaseme hapa kwa mabinamu na wapwa atleast wanipe mawazo nini nifanye, kivipi nimuanze kumwambia my confession.

yaani ulikuwa unachiti kipindi cha honeymoon? kama hujamwambia basi usimwambie kwanza maana nina uhakika utachiti tena. subiri kuna kipindi baada ya honeymoon kinakuja, ukikimaliza hicho (in 10-12 years of marriage) then u-confess na uahidi hutarudia tena
 
aaah, mkuu sio kihivyo. kuchit kwenyewe ni mara 2 tu sijui, ila imeniuma sanaaaaaaaaaaaa mkuu. haina ulazima wa kusubiri 10 years
 
George_Porjie, kuchit ni kuchit tu. kwanza huna hata uhakika kama ni mara 2 au zaidi. mimi nakushauri tu usubiri kwanza kabla ya ku-confess, maana usije ukaomba msamaha mara nyingi nyingi.
Ni vizuri roho ikakuuma, labda utakuwa unajisikia vibaya kila utakapotaka kuchit. cha kufanya for the time being sali sana, Mungu ataona nia yako na atakusaidia. All the best
 
...mnh,

yataka moyo, 'mwonja asali japo kwa dole ataonja tena...'
mapenzi yana majira yake; kiangazi, masika, kipupwe, na vuli...

Kujizuia siku za 'kiangazi' kwataka moyo wakti ushaonja alternative ya kuganga njaa!...

Kila la kheri mkuu, kila mtu ana skeletons zake kabatini,...
Usijidanganye kuungama kwa mkeo/mumeo,...
"...to forgive and to forget are two different things!"
 
mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu pasina kushurutishwa na mtu yoyote, kwani moyo wangu umekua ukiniuma sana hasa pale nimuonapo mai waifu wangu kwamba kuna kipindi nilikua namchiti. roho ilinimua sana tena inaniuma sana kuona napata na ninapewa kila nikitakacho toka kwake (yale yaliyo halalishwa only) na mengine ni zaidi na matamu kuliko huko vichochoroni, nimekuja kugundua kwamba mwisho wa siku ladha, utamu na mengineyo ni sawa sawa kwa wanawake wote, kwani simu ni simu tu mambo ya kwamba ina kamera, ina slide au ina bluututhi hizo ni mbwembwe tuu!!.
napenda pia kuchukua fursa hii kutubu kwa mai waifu wangu popote alipo kwamba anisamehe sana na nina ahidi kuanzia leo kwamba mimi na yeye ni kufa na kuzikana. na wala sitarudia tena kumchiti.
wanaJF wenzangu, mabinamu, mashemeji na wazee wa kujiexpress jamani nyama ni nyama, tutamaliza mabucha but nyama ni ile ile, tubadilike.
nimeamua kubadilika kuanzia sasa.

oui, j'ai décidé de me changer, parce que la charité commencent à la maison….

eeeh Mwenyezi Mungu nisamehee kwa kumchiti mai waifu wangu.

Ingekuwa ni mke wako ningekushauri usimwambie kabisa ILA ubadilike kwa dhati.Kumwabia mke mabo hayo ni risk kubwa mno.Kubadilika ingetosha kabisa.

Sasa basi,kwa kuwa hujamuoa bado binti wa watu ni vema ukamwambia.Mwambie aujue ukweli na ubadilike.Mwachie aamue kuolewa nawe akijua past yako(I call it past coz assume umeamua kubadilika kweli).Hamna sababu ya msingi ya kuumiza moyo wake hapo baadaye atakapo jua(u never know) ukweli tayari akiwa mke wako.Ni mawazo yangu tu mkuu.
 
Mkuu bado una deni kama ww ulifanya kwa wake za watu na wako ujuwe atalipizwa uende ukawaangukie "mahazbandi" wa hao uliokuwa ukibinjuka nao "makaburini" ndo iwe salama vinginevyo wakati ww unajidai umetubu mkeo ataanza.
 
Subiri kidogo na sisi tukionja sana ndo tutakuwa kama wewe!
 
Mkuu bado una deni kama ww ulifanya kwa wake za watu na wako ujuwe atalipizwa uende ukawaangukie "mahazbandi" wa hao uliokuwa ukibinjuka nao "makaburini" ndo iwe salama vinginevyo wakati ww unajidai umetubu mkeo ataanza.

Two wrongs don't make a right. Sidhani kama mkewe ana akili timamu na ana jiheshimu ata lipiza kisasi kwa kwenda kuliwa uroda na wanaume wengine. Tuombe hayo yasi tokee.
 
mtoe out sehemu moja nzuri sana weka mazingira ya kimahaba zaidi,then katika maongezi yenu tafuta right moment anza kwa kumuomba msamaha then eleza kilicho akilini mwako,mwambie ni ibilisi tu alikushawishi lakini yeye ndo mapigo ya moyo wako.....usiogope mpwa wanawake ni viumbe wepesi wa kusamehe endapo utamaanisha yale uyasemayo na kumwonyesha kuwa kweli unamaanisha....gud luck
 
Ingekuwa ni mke wako ningekushauri usimwambie kabisa ILA ubadilike kwa dhati.Kumwabia mke mabo hayo ni risk kubwa mno.Kubadilika ingetosha kabisa.

Sasa basi,kwa kuwa hujamuoa bado binti wa watu ni vema ukamwambia.Mwambie aujue ukweli na ubadilike.Mwachie aamue kuolewa nawe akijua past yako(I call it past coz assume umeamua kubadilika kweli).Hamna sababu ya msingi ya kuumiza moyo wake hapo baadaye atakapo jua(u never know) ukweli tayari akiwa mke wako.Ni mawazo yangu tu mkuu.

duh, kwa mke ndio rahisi hawezi kukuacha coz tayari mu mwili mmoja na si gf risk ya kutoswa ni kubwa mkuu!.
 
Nimeisoma mpaka mwisho lakini bado kuielewaelewa hii confession. Ngoja niendelee kuitafakari.
 
mi hanipati babake toka jana nimekwisha toa msimamo wangu kuwa na muunga mkono ila siko pamoja naye kwenye hilo.

Ahaa! Kumbe hata ushauri kama huo unakubalika? Hahaha! Haya bana, mpwa G_P nakuunga mkono lakini kwa hilo, sijapanda boti yako bado.
 
ndoa bado changa kwasasa ndugu yangu, ntamwambia tu.
ila imeniuma kiasi ambacho nimeona machungu nije niyaseme hapa kwa mabinamu na wapwa atleast wanipe mawazo nini nifanye, kivipi nimuanze kumwambia my confession.

Dhamira imekusuta enhee?! Umechiti mwenyewe bila kulazimishwa na roho inakuuma alone. Raha kweli kweli.Mshirikishe na mkeo ili kikutoke moyoni completely.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom