Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
sasa wewe ulitegemea atoe hotuba gani? awachekee tucta? umeshau hotuba za ben zilizvyokuwa?
hOTUBA za ben zilikuwa strategic na zilizokwenda shule
sasa wewe ulitegemea atoe hotuba gani? awachekee tucta? umeshau hotuba za ben zilizvyokuwa?
ilikuwa hotuba ya kipumbavu sana kupata kuisikia katika umri wangu
sasa wewe ulitegemea atoe hotuba gani? awachekee tucta? umeshau hotuba za ben zilizvyokuwa?
Mkama ni matusi gani ya mwl. nyerere unayakumbuka, ila nimesikiza juzi tbc radio hotuba ya mwl kwa wafanyakazi alikua mkali lakini si kwa kcc ila ni kwa mabosi walidai marupurupu zaidi, lakini huyu amejinadi kwa kusema sina shida na kura zenu na msiponipigia na nizikose japo wafanyakazi wapo wachache lakini haba na haba hujaza kibaba. Kwa umoja wetu tutashinda
Wanaweza wakawa wamepata shinikizo/tishio kwamba wasipofanya hivyo watafutiwa sababu ya kufungiwa vyombo vyao vya habari. Hivi ikitoka directive kutoka State House kwamba vituo hivyo vinatakiwa viitoe hotuba hiyo mara kwa mara, wenye vyombo vya habari wana ubavu wa kukataa?
Kubenea alimwagiwa tindikali na hatimaye gazeti lake likafungiwa. Hakuna kisichowezekana kwa Serikali inayotaka ishinde uchaguzi kwa nguvu hata kama haina sifa za kuweza kushinda.
Mkuu wangu unazungumza vitu ambavyo havifanani kabisa. Hotuba ya Nyerere kuhusu Mapinduzi ya kina Kambona yalihusu Mapinduzi na umwagaji damu na Nyerere aliwalenga wale waliotaka kupindua serikali yake. Hakuna sehemu hata moja alizungumzia kutohitaji kura za Wananchi wakulima au Wafanyakazi.Katafute ile Hotuba inayosadikika walitaka kumpindua akina kambona. Kusema sitaki kura zenu hiyo ndo deemokrasia ama ulitaka aseme je? kwamba kura zenu mnipe ila siongezi kipato chenu? Sahizi tulipofikia hizi kauli ndo zinatakiwa kwamba sifanyi hiki na kile na nitafanya hiki na kile sasa mpira unabaki kwako kusuka ama kunyoa.