Mwigulu Nchemba Balaaaaa

CCM NAMBARI ONE! CCM NAMBARI ONE! furaha nilionayo si kifani.MWIGULU OYEEEE!
 
Magwanda Bwana, Wangeshinda sijui ingekuaje maana matokeo ya vituo vitano ilikuwa hatari tupu hapa jf. Kweli Ngoma Yakitoto Haikeshi.
 
Sasa kila kitu kipo wazi kwamba CCM wameshinda kwa margin ya kura +4000. Hii ni kazi ya kijana makini na mahiri sana Nchemba Mwigulu ambayo niliwaeleza toka mwanzo kwamba huyu mtu ni balaa sana sana,,, sasa inueni mioyo na kila mtu atajaza kwa wakati wake. Usiku mwema wote. TUMEPELEKA KILIO MAHALI FULANI.
Dada yangu Salimia mimi siko upande wowote lakini hili la kumsifu mtu mmoja kila kukicha kunanitia wasiwasi,hata kama CCM wameshinda juhudi ni za wengi wewe umekazania kumsifu mtu mmoja tu ? kama ni shemeji yetu kuwa muwazi tutamuheshimu.
 
Nape matokeo yako fake, igunga kuna kata ya mbutu moja tu. Iweje uweke mbili? Siamin wall yako ya fb. Wewe daily huwa unapost majungu pale.

Silali mpaka tume itangaze.
 
Sasa kila kitu kipo wazi kwamba CCM wameshinda kwa margin ya kura +4000. Hii ni kazi ya kijana makini na mahiri sana Nchemba Mwigulu ambayo niliwaeleza toka mwanzo kwamba huyu mtu ni balaa sana sana,,, sasa inueni mioyo na kila mtu atajaza kwa wakati wake. Usiku mwema wote. TUMEPELEKA KILIO MAHALI FULANI.

Tutajua ukweli tu siku si nyingi. Lakini CCM mjue kwamba dalili za mvua ni mawingu.
 
Kweli ni hatari sana maana kuzini na mke wa ustaadhi tena ni kada wa CCM huyo demu,nadhani mna mpango baada ya muda kadha ujao mmpatie U-Fatuma Kimario?nae aligawa bure tu maana kwa kilichotokea Igunga hamtakuwa na nafasi tena ya kunyonya jasho na ufisadi wenu 2015,kipimo ni Igunga,kama wasukuma wale wamegeuka na kwa Igunga ilivyo,mnashangilia msiba wa kesho.
Na msemo wa Lusinde kuna haja ya kuwapima,maana badala ya kusikitika mnachelea,hivi hapo kilichootkea Igunga mnahitaji elimu ya PHD kujua kama mmefeli?kwa wenye akili timamu wala haihitaji kushangilia bali kusikitika na kukaa chini kujipanga upya,na hiki ndo hamkiwezi.
 
Tutajua ukweli tu siku si nyingi. Lakini CCM mjue kwamba dalili za mvua ni mawingu.

Mawingu wapi bwana we have to accept to be beaten sometimez,kwanini tunakuwa kama si chama cha demokrasia...mimi nadhani kama umeanguka ukikubali kwamba umeanguka ni wazi kwamba utafanya jitihada za kusimama,lakini kama umeanguka na kila mtu anakuona hivyo halafu wewe ukaendelea kujiona kwamba bado umesimama it means huwezi kusimama milele kwani utaendelea kuamini umesimama,chadema inabidi sasa tubadili strategy zetu kuelekea chaguzi mbalimbali,otherwise tutaendelea kugaragazwa na ccm kila kukicha,mimi sioni ajabu kushindwa na ccm bali naona aibu tunashindwa na ccm dhaifu,ccm mapande mapande,naamini moto ule wa nccr ya mrema na marando kipindi kile ungeikuta ccm dhaifu kama hii nccr wale wangechukua dola.
 
Sasa kila kitu kipo wazi kwamba CCM wameshinda kwa margin ya kura +4000. Hii ni kazi ya kijana makini na mahiri sana Nchemba Mwigulu ambayo niliwaeleza toka mwanzo kwamba huyu mtu ni balaa sana sana,,, sasa inueni mioyo na kila mtu atajaza kwa wakati wake. Usiku mwema wote. TUMEPELEKA KILIO MAHALI FULANI.

Wewe Kigwangalah si unalipa fadhila kwa ubunge wako wa kuchakachua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Moto ndiyo umewaka hivyo mkoa wa Tabora na hapo Nzega ni karibu tu!!!!!!! 2015 kwanza mmwenye jina lazima arudishiwe, baada ya hapo unafunguliwa mashtaka ya forgery. Ila huu uchaguzi umekuvua nguo wewe pamoja na vijana wenzio wa CCM kumbe si lololote si chochote yaani nyie ndiyo mstari wa mbele kueneza udini na ukabila bwahaha ahahaha ahahahaha!!!!!!! Hii dhambi mtatembeya nayo mpaka kaburini.
 
Halafu na ile kesi yako ya wizi pale mgodini resolute lazima ifufuliwe!!!!!!!
 
Ok,, tufanye mii shoga,, ila bottom line CCM imeshinda na MWIGULU ndiye mume wenu. Kaja Slaa, kachukua za uso toka kwa kijana mdogo,, kaja Mbowe kala za mbavu, kaja Zitto ka[ewa za CHEMBE,, CCM wamechukua wameweka aaaahhh, shangilia ushindi unakuja!!1 teh teh teh

Inaonekana uwezo wako wakufikilia ni mdogo...yani we naakili zako unashangilia chama cha MAGAMBA
 
Kinachonishangaza kwenye hii topic ni matusi yaliyovurumishwa. Humu hapanifai, bora niwapishe.
 
Nionavyo mimi, Chadema wamefanya Vyema sana, kwa utofauti huo wa kura na sehemu yenyewe Igunga na nguvu ambayo ccm wameitumia! hii inatoa sura mpya kwa taifa hili, chama amabacho 2010 kilikuwa na asilimia 0% hapo Igunga na sasa kama kimeweza kupata zaidi ya 40% jiuluze in next 3years mambo yatakuwa tofauti kabisa. ccm sherehekeeni lakini kwa sisi wenye malengo ya kudumu tunasema Chadema Hongera mwanga unaanza kuonekana, sijui Cuf a.k.a ccm b wamepata asilimia ngapi?.

Kumbuka Wanachi watazidi kufunguka zaidi kadri muda unavyokwenda na pia kuna watu wengi sana hasa vijana watajiandikisha kupiga kura 2015. naanza kuona kuna kilio kikubwa sana chaja kwa ccm.
 
Kama ni ushindi wa hali haina shida ila kama ni kwa dhuluma bado Tanzania haitakombolewa
 
sasa kama nape ameweza kutupa matokeo,inakuaje tume ya uchaguzi washikwe na kigugumizi mpaka mda huu,hawajatangaza matokeo.au wanachakachua jamani.mimi siwatrust hawa jamaa wa nec.wao na magamba lao moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom