Mwigulu Nchemba Balaaaaa

Ni kweli Mwigulu ni balaaaa......KWA KUHUTUBIA WATOTO NI BALAAAA..!!!!!!!!

3.++Mgombnea+wa+CCM%252C+Dk.+Dalaly+Kafumu+akihutubia++Maelfu+ya+wananchi+waliofurika+kwenye+mkutano+wa+CCM%252C++Mwanzugi%252C+Kata+ya+Igunga+Vijijini%252C+mkoani+Tabora%252C+jana..jpg
 
Nlivyosoma kichwa cha habari kwamba jamaa ni balaa nikajua unamaanisha
"ni balaa kwa wake za watu" manaake ndiyo fani yake Mzee wa Chemba!!
 
Jamani tuache uhalisia na tuwatendee haki wa jamii mtu anaweza kukushangilia kufuata kofia na tshirt tusubiri tarehe mbili
 
@Kusema Mwigulu ana nguvu ya ushawishi kwa vijana wa Igunga ni uongo mkubwa na ni uzushi, na nikujidanganya kabisa. Ukweli ni kwamba Mwigulu si mwanasiasa kiasilia ni mtu wa kawaida sana, Si katika kuongea wala kujenga hoja, Nina uhakika 100% hakuna kijana yoyote anayeweza kushawishiwa na Mwigulu. Hata kashfa ya kukutwa na mke wa mtu naamini ni bahati mbaya au labda ndio ameamua kuanza huo mchezo sasa. Kwani yuhu mtu si wa kihivyo kabisa. @Hizi hapa chini ni baadhi ya hoja zake ambazo amekuwa akizitumia Igunga, ambazo kamwe haziwezi kuwabadilisha vijana wa Igunga; 1/Hoja ya kumwagiwa tindikali 2/Madai kuwa eti Chadema ni chama cha kikabila 3/Madai ya eti Chadema imeleta makomandoo 4/kuitumia Ilani ya Ccm 2010. @Mtoa mada anakiri kuwa hapo kabla vijana wengi kama si wote wa Igunga walikuwa wanakiunga mkono Chadema, Swali ni nini na nani aliwafanya vijana wa Igunga wawe wanawaunga mkono Chadema?
Unacheza kweli wewe!!!!!
 
inawezekana pia walikuwa hawajaona show ya mwigulu nchemba kitambo lakini walipo kuja kuona ccm wakishirikiana na TOT wanamleta msanii huyo halafu bule kwa nini wasiende kuangalia show
 
hakuna kitu, VIJANA WA IGUNGA WENGI NI MALIMBUKENI, WAJANJA WA BUSHI. Chadema noumer wewe!
 
inawezekana pia walikuwa hawajaona show ya mwigulu nchemba kitambo lakini walipo kuja kuona ccm wakishirikiana na TOT wanamleta msanii huyo halafu bule kwa nini wasiende kuangalia show
The fact that he can climb into a podium/stage and address the public after the infidelity incidence shows how far we are as a community in uplifting our moral values.
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Ni kweli ni balaa kwa kufumaniwa na wake za watu....najua umetumwa hapa JF shame on you,hivi nani hamjui huyu jamaa mpaka useme kuwa ana mvuto? Tuache siasa uharo hapa kwenye jukwaa hili makini,katika viongozi wote walipo Igunga toka CCM hakuna kilaza kama huyu na Lusinde wa Mtera..Na vijana kukaa wakiimba sasa kama wana njaa na kuna ubwabwa kwanini wasikae wakaimba wakapata chochote kitu?
 
Mimi niliwahi kuwambia tangu mwanzo kabla huyo jamaa kwenda alipoteuliwa tu nikawambia namfahamu Mwigulu tangu Ilboru, mazengo na chuo kikuu, ana aina fulaani ya uongeaji ambayo mungu kamjalia na anadamu ya kuwavutia watu hata kama hajafanya kitu. Hata jimboni kwake wanamwona kama mtu wa ajabu ambaye hawajui amezaliwaje. Kuna mtu alinipinga leo amefika kule mmesikia, huyo jammaa akiongea na hasa akiongelea swala lenye mguso utamwona kama nyerere. Tumeanza kumsema amebaka, amefumaniwa na mengine lakini mimi nimekuwa igunga na nimeongea na makundi na wandishi wa habari kuwataka waiandike habari hiyo wamesema ukweli kuwa jamaa hajafanya hivyo, ni mtu smart, halewi pombe wala hanywi na hana muda hata wa kuchana nywele hivyo hata mazingira na wanaigunga wanaona sis mabwege cos wanamwona kila leo na amegeuka kivutio igunga hata angegombea angeshinda. Nadhani cdm tungemtumia zitto anaweza kwenda nae smbamba. Sina maana ya kukatisha tamaa ila jamaa kawabadilisha sana watu
 
Ndugu yangu unayesema huyo jamaa kilaza hujui Mwigulu is one of the bright persons academically and interms of talking sensible, darasani alikuwa kipanga hata bila kusoma na was at special school, aliwaduwaza watu ALevel kwa kufanya mock ya form 6 na kuwa wa kwanza huku yeye akiwa form 5, alikuwa wa kwanza mwaka wa kwanza had MA Economics. I know the boy. Akihutubia ni mtu makini na anaouwezo wa kuhutubia kwa mtiririko kwa zaidi ya masaa mawili bila kusoma popote na kuwa na kigugumizi. Huyo jammaa atakuwa mtu hatari sana ktk siasa za nchi. Mfuatilieni hata bungeni akiongea japo magamba hushangilia ovyo lakini wanamtegemea sana ccm kuwapiga cdm na kweli hata wakati wa bajeti ndio aliyeipiga bajeti ya zito akisema ni giza sio kivuli
 
Hv we Mwigulu ni tabia gani ya kuja humu JF na kujipigia debe na kutafuta umaarufu humu? Au unataka CCM waone wewe ndio unafanya kazi sana au? Huo ujanja wako peleka huko huko na si humu ndugu yangu tushakugundua mapema we ndugu huna sera.
 
Ndugu yangu unayesema huyo jamaa kilaza hujui Mwigulu is one of the bright persons academically and interms of talking sensible, darasani alikuwa kipanga hata bila kusoma na was at special school, aliwaduwaza watu ALevel kwa kufanya mock ya form 6 na kuwa wa kwanza huku yeye akiwa form 5, alikuwa wa kwanza mwaka wa kwanza had MA Economics. I know the boy. Akihutubia ni mtu makini na anaouwezo wa kuhutubia kwa mtiririko kwa zaidi ya masaa mawili bila kusoma popote na kuwa na kigugumizi. Huyo jammaa atakuwa mtu hatari sana ktk siasa za nchi. Mfuatilieni hata bungeni akiongea japo magamba hushangilia ovyo lakini wanamtegemea sana ccm kuwapiga cdm na kweli hata wakati wa bajeti ndio aliyeipiga bajeti ya zito akisema ni giza sio kivuli

Ndugu naona na wewe umetumwa huyo unayemsifia tunamfahamu vizuri sana nchii hii ye si wa kwanza kufanya hivyo...mkazo kwenye red...kasoma mazengo na watu walikuwa wanamburuza kila kukicha na kama kufaulu watu wengi wana faulu sema hawajiingizi kwenye Siasa kama Mwigulu ni bright peson ni kwako tu sio kwa wote na huyo ndio ataiangamiza ccm huku Igunga kama hujui ndugu siku zote ni mropokaji mkubwa asiye na vithibitisho.................labda kwa kuchukua wake za watu tu hapo sawa...nothing new from Mwigulu.....na pale bank kuu alikuwa anamendea wake za watu tu.
 
Mzee wa njaa let us be serious on serious matters, Mwigulu is a familly man, acha uongo na uzushi ndugu yangu hauna tija cos ukweli utajiweka wazi tu, pale mazengo mwigulu alikuwa zaidi ya walimu mpaka alikuwa anaitwa kuandaa marking scheme za mock. Walimu walikuwa wakimwita cos wakimwacha atawasahihisha tu, chuo hivyohivyo. Sijatumwa ila naongea ninachokifahamu. Unaesema mropokaji labda anasema yale ambayo sisi hatupendi kusikia, pita chinichini utasikia watu wanavyomsema vizuri, hilo la wake za watu benki na igungs haliwaingii watu akilini sivyo anavyoonekana ningependa kusikia hayo lakini sivyo,
 
Mimi nakubaliana na Mtoa hoja, Mwigulu ana uwezo mkubwa sema Chama chake kwa mivutano kiliyo nayo ni vigumu kuamini.ngoja tuone wakivuana gamba.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom