Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,412
Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.

Nilichosikitika sana...
  • Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
  • Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi na ndio sababu bei yao ya
mafuta ni ndogo kulinganisha ni yetu kwasababu Supply ni kubwa demand!!

Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu?

Kwa reasoning yake Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!

- Anasema tozo lililowekwa ni dogo sana na anashangaa watu kulalamika wakati wanahitaji Shule na madawa Hospitali!

Huyu Jamaa Madaraka na pesa zimemfanya awe tofauti sana na maisha ya kitaa haelewi lolote kabisa!
Daah! Yaani nimefika point hadi nimechoka kumsikiliza na kujawa hasira tu!
Ameshindwa kabisa kujenga hoja ya kueleweka kutetea tozo yake!
Aliyekuwa anamhoji alikuwa anamsukumia vigongo vya maana lakini Dr wa Uchumi ameboa big time!

Mwandishi anamuhoji ni kwanini Serikali isionyeshe mfano kwa kubana matumizi hata kwenye ununuzi wa mavite na misafara mirefu ya Viongozi ili pesa itumike kwenye kupunguza makali ya tozo??!
Mwigulu anajibu kuwa misafara ya Viongozi zaidi ya robo tatu kwenye hiyo misafara wanatumia Magari yao na sio ya Serikali!

Aiisee kwahiyo zile STL zaidi ya 100 ni namba tu sio za Serika[Tunaamini sasa hata zile zenye namba za ajabu ajabu ni zawatu wasio julikana.]li?

Yaani hadi Mwandishi amecheka na kumuacha tu!!

Yaani yule Mwandishi Midley alionekana yeye ndio PhD!! Midley alisunya kimoyo moyo, na Mwigulu, Ndalichako, Bi-tukinao/Doro Gwaji wao ni wanafiki waliopitiliza na so far ndio wamemuharibia MAMA Sammy Kwa kiasi kikubwa na hata ikiitishwa open poll , Samia kashuka umarufu kidogo aliokuwa nao, ameshuka drastically within a very short time.

Wanasahau walikotoka, Mwigulu O Level Ilboru toka amefika form one hajawahi kurudi kwao likizo zote anabaki shule kwa sababu hakuwa na uwezo wa nauli, leo kafika hapo anasahau kuwa kuna wazazi wanatafuta 10,000 mwezi mzima wawatumie watoto wao shuleni lakini kwa zile tozo wanaumizwa.

Kuna watu mwisho wao huwa mbaya sana.
Wananchi: tozo ni kubwa, tozo ni kubwa

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
 
Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu??!!

Kwa Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!

ANGALIA HIKI KIBONZO
20210716_160047.jpg
 
Kuna tatizo kubwa ndani ya mfumo wa serikali ya CCM. Wataalamu wengi wakiingia katika mfumo huu hawapewi nafasi ya kuonyesha umahiri wao zaidi ya kuwa watumwa wa vilaza wengi wenye mizizi iliyojichimbia ndani yake.

Si ajabu kuona watu wabobezi wa mambo, kwa kuwataja wachache kama vile ex CAG Mussa Assad na Jaji Warioba wanajikuta hawapendwi na mfumo huu. Mfumo badala ya kuwa endelevu kutokana na matakwa ya wakati ili kutafuta kujijenga na kujiendesha kama taasisi imara bado unabaki kutegemea fikra za kizamani zilizopo ndani ya "socialism hangover"!
 
Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.

Nilichosikitika sana...
  • Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
  • Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi na ndio sababu bei yao ya
mafuta ni ndogo kulinganisha ni yetu kwasababu Supply ni kubwa demand!!

Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu??!!

Kwa Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!

- Anasema tozo lililowekwa ni dogo sana na anashangaa watu kulalamika wakati wanahitaji Shule na madawa Hospitali!

Huyu Jamaa Madaraka na pesa zimemfanya awe tofauti sana na maisha ya kitaa haelewi lolote kabisa!
Daah! Yaani nimefika point hadi nimechoka kumsikiliza na kujawa hasira tu!
Ameshindwa kabisa kujenga hoja ya kueleweka kutetea tozo yake!
Aliyekuwa anamhoji alikuwa anamsukumia vigongo vya maana lakini Dr wa Uchumi ameboa big time!

Mwandishi anamuhoji ni kwanini Serikali isionyeshe mfano kwa kubana matumizi hata kwenye ununuzi wa mavite na misafara mirefu ya Viongozi ili pesa itumike kwenye kupunguza makali ya tozo??!
Mwigulu anajibu kuwa misafara ya Viongozi zaidi ya robo tatu kwenye hiyo misafara wanatumia Magari yao na sio ya Serikali!

Aiisee kwahiyo zile STL zaidi ya 100 ni namba tu sio za Serika[Tunaamini sasa hata zile zenye namba za ajabu ajabu ni zawatu wasio julikana.]li?

Yaani hadi Mwandishi amecheka na kumuacha tu!!

Yaani yule Mwandishi Midley alionekana yeye ndio PhD!! Midley alisunya kimoyo moyo, na Mwigulu, Ndalichako, Bi-tukinao/Doro Gwaji wao ni wanafiki waliopitiliza na so far ndio wamemuharibia MAMA Sammy Kwa kiasi kikubwa na hata ikiitishwa open poll , Samia kashuka umarufu kidogo aliokuwa nao, ameshuka drastically within a very short time.

Wanasahau walikotoka, Mwigulu O Level Ilboru toka amefika form one hajawahi kurudi kwao likizo zote anabaki shule kwa sababu hakuwa na uwezo wa nauli, leo kafika hapo anasahau kuwa kuna wazazi wanatafuta 10,000 mwezi mzima wawatumie watoto wao shuleni lakini kwa zile tozo wanaumizwa.

Kuna watu mwisho wao huwa mbaya sana.
Wananchi: tozo ni kubwa, tozo ni kubwa

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
Sio mchezo.
Unamsikiliza Waziri hadi unaogopa
 
Tatizo la nchi hii, ni wanasiasa wapumbavu na wafuasi wao misukule.

Mara Tume siyo huru,

Mara mama Dikteta,

Mara mama hapendwi CCM,

Mara mama ndio anateua Tume,

Mara hapendwi,

Upuuzi mtupu.

Mara 2025 hapiti,

Mara nchi anaendesha Kikwete,

Mara mama anaupiga mwingi

images (2).jpeg

images (1).jpeg
 
Umaarufu wa mh.SSH haujapungua.....

Wako watanzania wenye "FIKRA MFUNGUKO" ambao ujaji wa hii TOZO haukuwafanya WAICHUKIE SERIKALI YAO bali waliishangaa tu kwa ukubwa wa hizo TOZO.....

Kwao waliielewa vyema kauli ya "KUFUNGA MKANDA" kwa kuwa MAENDELEO hayapatikani kwa kupita njia rahisi.....

#KaziIendelee
 
pHd za maganda ya korosho,
Sasa Mwigulu nae anaujuzi Gani wa uchumi wakati kabla ya teuzi za kisiasa alikua mbwa koko tu?

Yaani jitu halijawahi hata kumiliki biashara ya unga wa Dona Leo anajiita mchumi wakati hajui hata kupanga bajeti ya familia yake linaishia kuhonga tu Malaya likipata mshahara
Leo ndio Kawa mpangaji wa bajeti ya fedha hapa nchi

Haaahaaahaaa tuna safari ndefu Sana Kama nchi aiseee
Kwanini hiyo wizara asipewe hata Msukuma aliekua mjasirimali wa kuuza bange Huko geita Toka long maana inaonesha anaexperience ya kupanga mipango yake swafi japo ni std zero aliweza ingia Hadi mjengoni!

Shame to all CCM's!
 
Tatizonla nchi hii, ni wanasiasa wapumbavu na wafuasi wao misukule.

Mara Tume siyo huru,

Mara mama Dikteta,

Mara mama hapendwi CCM,

Mara mama ndio anateua Tume,

Mara hapendwi,

Upuuzi mtupu.

Tatizo la Watanganyika, mnalalamika tu, hakuna solution, wanaokuja na solution kudai katiba mnawapinga alafu hauonyeshi mbadala,
tufanyeje tutoke hapo?

unamiliki bando na smart phone alafu unauliza maswali ya ushirombo?
 
Umaarufu wa mh.SSH haujapungua.....

Wako watanzania wenye "FIKRA MFUNGUKO" ambao ujaji wa hii TOZO haukuwafanya WAICHUKIE SERIKALI YAO bali waliishangaa tu kwa ukubwa wa hizo TOZO.....

Kwao waliielewa vyema kauli ya "KUFUNGA MKANDA" kwa kuwa MAENDELEO hayapatikani kwa kupita njia rahisi.....

#KaziIendelee
ongea na wananchi wa kawaida, SSH hana umaarufu tena, angalia watu wanarudia maneno ya mwendazake aliposema "MTanikumbuka"

SSH ashachemka mpira haujafika hata half time, kapanga timu mbovu kuwahi kutokea, wewe kocha unapanga mshambuliaji anayetaka kuwa kocha kwenye timu hiyo hiyo unategemea nini?
MADELU anataka urais, wewe unampanga, unategema akuachie uendelee kukubalika?
 
Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.

Nilichosikitika sana...
  • Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
  • Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi na ndio sababu bei yao ya
mafuta ni ndogo kulinganisha ni yetu kwasababu Supply ni kubwa demand!!

Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu?

Kwa reasoning yake Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!

- Anasema tozo lililowekwa ni dogo sana na anashangaa watu kulalamika wakati wanahitaji Shule na madawa Hospitali!

Huyu Jamaa Madaraka na pesa zimemfanya awe tofauti sana na maisha ya kitaa haelewi lolote kabisa!
Daah! Yaani nimefika point hadi nimechoka kumsikiliza na kujawa hasira tu!
Ameshindwa kabisa kujenga hoja ya kueleweka kutetea tozo yake!
Aliyekuwa anamhoji alikuwa anamsukumia vigongo vya maana lakini Dr wa Uchumi ameboa big time!

Mwandishi anamuhoji ni kwanini Serikali isionyeshe mfano kwa kubana matumizi hata kwenye ununuzi wa mavite na misafara mirefu ya Viongozi ili pesa itumike kwenye kupunguza makali ya tozo??!
Mwigulu anajibu kuwa misafara ya Viongozi zaidi ya robo tatu kwenye hiyo misafara wanatumia Magari yao na sio ya Serikali!

Aiisee kwahiyo zile STL zaidi ya 100 ni namba tu sio za Serika[Tunaamini sasa hata zile zenye namba za ajabu ajabu ni zawatu wasio julikana.]li?

Yaani hadi Mwandishi amecheka na kumuacha tu!!

Yaani yule Mwandishi Midley alionekana yeye ndio PhD!! Midley alisunya kimoyo moyo, na Mwigulu, Ndalichako, Bi-tukinao/Doro Gwaji wao ni wanafiki waliopitiliza na so far ndio wamemuharibia MAMA Sammy Kwa kiasi kikubwa na hata ikiitishwa open poll , Samia kashuka umarufu kidogo aliokuwa nao, ameshuka drastically within a very short time.

Wanasahau walikotoka, Mwigulu O Level Ilboru toka amefika form one hajawahi kurudi kwao likizo zote anabaki shule kwa sababu hakuwa na uwezo wa nauli, leo kafika hapo anasahau kuwa kuna wazazi wanatafuta 10,000 mwezi mzima wawatumie watoto wao shuleni lakini kwa zile tozo wanaumizwa.

Kuna watu mwisho wao huwa mbaya sana.
Wananchi: tozo ni kubwa, tozo ni kubwa

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana

hoja ya kuwa zitajenga hospitali na kununua madawa siyo sahahi kabisa
kwanza wako watu wengi wanatumia bima za afya ,wanakatwa huko makazini hivyo hawaitaji kuchangia tena mfuko wa afya kununua dawa.Angesema zinaenda kujenga SGR au Bwawa la umeme hapo ningemwelewa sana.

pili ,kusema kuwa zitaenda kujenga mashule hili pia siyo sahihi maana kuna wazazi wengi wana watoto wao wanasoma Private schools.Pia wanaosomesha watoto private school wananyimwa mkopo wa Wa HSLB.Angesema zitaenda kujenga Bwawa la umeme na SGR,kiwanda cha dawa hapo ningemwelewa sana.
kuendesha nchi ki socialism unaitaji kutumia akili sana siyo kukurupuka.
unapomwambia tajiri amchangie maskini you need to think twice.
 
Vitu vingine aviitaji ata elimu kuving'amua nashangaa wizara nzima imeshindwa kuliona hili....

Tozo azivumiliki ata ao wa mjin lilikua swala la muda tu.
 
Tatizonla nchi hii, ni wanasiasa wapumbavu na wafuasi wao misukule.

Mara Tume siyo huru,

Mara mama Dikteta,

Mara mama hapendwi CCM,

Mara mama ndio anateua Tume,

Mara hapendwi,

Upuuzi mtupu.
Hili lina uhusiano gani na majbu ya mwigulu?
Kwahiyo hayo uliyosema ndo chanzo cha tozo au tozo ni adhabu ya hayo uliyohorodhesha hapa?

Kubwa jinga ww
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Umaarufu wa mh.SSH haujapungua.....

Wako watanzania wenye "FIKRA MFUNGUKO" ambao ujaji wa hii TOZO haukuwafanya WAICHUKIE SERIKALI YAO bali waliishangaa tu kwa ukubwa wa hizo TOZO.....

Kwao waliielewa vyema kauli ya "KUFUNGA MKANDA" kwa kuwa MAENDELEO hayapatikani kwa kupita njia rahisi.....

#KaziIendelee
mambumbu ya ccm bhana
Ona kama hili sasa kubwa jinga.

Back
Top Bottom