Mwigulu Nchemba Balaaaaa

The fact will always surface, hakuna cha wizi wala ndugu yake na wizi. Mbowe, slaa wote wamevuliwa nguo na kijana mdogo, hapo Nape hajafika. Mlie tu chadema

Kijana mdogo yupi? Ni Mkapa?, Mashishanga? Magufuli? au kijana gani vile?
 
Ataacha watoto wa kampeni kwa kutembea na wake za watu, anatumia mdomo wake vibaya huyu fisadi kiwembe.
 
mi sielewi vigezo gani hutumika kumpiga mtu ban?huyu jamaa na wengine wengi wasiomkubali mwigulu kwenye hii thead wanakosa uvumilivu baada ya kushindwa jimboni wamekua na hasira za kitoto wanatukana matusi lakini hakuna hatua wanayochukuliwa,wengine tukiongea kidogo tu kuhusu slaa na zitto na kashfa za ngono na kusambaratisha ndoa za watu tunapigwa ban..this is not fair at all bwana...
 
amewa t.o.m.b.e.a na kura wamempa! Magamba bwana!

mi sielewi vigezo gani hutumika kumpiga mtu ban?huyu jamaa na wengine wengi wasiomkubali mwigulu kwenye hii thead wanakosa uvumilivu baada ya kushindwa jimboni wamekua na hasira za kitoto wanatukana matusi lakini hakuna hatua wanayochukuliwa,wengine tukiongea kidogo tu kuhusu slaa na zitto na kashfa za ngono na kusambaratisha ndoa za watu tunapigwa ban..this is not fair at all bwana...
 
NiKweli,Juzi nilikuwa Igunga nikakuta vijana wa CDM wanawang'ong'a wenzao wa CCM kuwa bila Mwigulu ccm ingeshindwa vibaya, walitaja sababu wakasema jamaa anaongea lugha karibu saba anawaelewesha watu wa rika zote na fitna za kiuchaguzi alizipiga na vijana walijikuta ghafla wanashabikia CCM. Hata mazense aliwavutia sana watu waliokusanyika nami niliwambia huyu jamaa hawi kilaza kwa kumwita kilaza na hawi mhuni kwa kuitwa mhuni, the man is so smart na ni kati ya vijana wa kutegemewa na chama chake na nchi kwa ujumla
 
It does not need a degree to know how ccm is declining!ref to law of diminishing return!a party with no even a single outlet in igunga, no candidate stood 11 months ago in the general election but now the same party abtained 23+ of votes out of 55+!u must be crazy or idiot!!!!
 
Where is a value of politician?too much talking or the one who really understand his roles in the community?are we interested with art of talking and absument language at this point in time?really?can u dare to post such kind of thread, with no impression no merit, no foundation, luck of supporting factors?are u paid to post these shits!a party served for almost 18 yrs since then to date people they have already lost their hope!no schools, no healthcare centres, no stable road and infrastructure in general?what are U prounding for mwigulu!use ur common sense, not all members and guests i this forum are stupid and idiot like u!we can not make any pace having on board people like u!
 
yani CCM wote choko kweli, mnakubali mtu kuwachapia wake zenu nd kada wa kuwabadilisha CDM....leten hoja za kujadilika humu jamvini
 
Where is a value of politician?too much talking or the one who really understand his roles in the community?are we interested with art of talking and absument language at this point in time?really?can u dare to post such kind of thread, with no impression no merit, no foundation, luck of supporting factors?are u paid to post these shits!a party served for almost 18 yrs since then to date people they have already lost their hope!no schools, no healthcare centres, no stable road and infrastructure in general?what are U prounding for mwigulu!use ur common sense, not all members and guests i this forum are stupid and idiot like u!we can not make any pace having on board people like u!

Where is a value of politician=too much talking

Mkuu hilo ndilo jibu na hakuna lingine, hayo mengine yote ni theories.
 
Msharaf umesema neno, nina ndg yangu yuko kanda ya ziwa ameniambia jamaa anamaneno yenye hisia sana na mvuto mkubwa, anakisaidia sana chama chake. Wanaobisha hawajamsikiliza tu na jamaa anafunika sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom