ha ha ha u made ma day ..sio sababu hiyouna kizaigoti
pole sana haya ni mambo ya duniani
yataisha
PM not allowed
:rain:
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
asante my shemeji ..ngoja nione siku inaendaje missing u big time ..mbona umepotea
Pole sana,hiyo hali huwa inajitokeza........kama vipi jifungie chumbani halafu weka mziki uanze kucheza winde winde aah winde winde aah
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
Wait kwa siku 5 ukitoka kwenye MP mambo yatakuwa mazuri.Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
Shemeji hayupo jamani!!!!!!Mwambie akupoze kidogo eeeeeh.tehteNimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........